Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,483
- 18,233
Sawa kamandaMwache aibie ronja lakini hawez kufanikisha research yake. Ngoja nikasome detail mkuu nahisi weekend niko 'non do'
Sawa kamandaMwache aibie ronja lakini hawez kufanikisha research yake. Ngoja nikasome detail mkuu nahisi weekend niko 'non do'
Umenikumbusha kuna siku hapa jirani walivamia wazee wa ngwasuma (majambazi) nikawapigia simu polisi, nikawaelekeza na ni karibu kabisa na kituo chao.polisi ni wanaa na wanapenda sifa kupitiliza kwenye mambo laini...lakini unapotokea mtiti wa maana huwaoni kabisa kama wapo karibu basi watatokomea
Mimi nakereka natabia ya police kuwaonea raiaPolicè misifa wazee wa media wacha wachapwe tu kwanza wengi wao mandez
Duh aiseeLabda polisi wajinawajinga lakini nimewahi kuona jw wakila kichapo cha nguvu kisa walitaka kuingia uwanjani kwa nguvu ndipo wakakutana na wenzao wa kofia nyekundu na watu wengi wakabaki midomo wazi
Sio mara moja hadi kwenye fiesta wanachapwa sana na FFU sababu ya kutaka kuingia kinguvu au kutofuata utaratibuLabda polisi wajinawajinga lakini nimewahi kuona jw wakila kichapo cha nguvu kisa walitaka kuingia uwanjani kwa nguvu ndipo wakakutana na wenzao wa kofia nyekundu na watu wengi wakabaki midomo wazi
Waulize operation tokomeza wananchi waliwakumbuka police kwa busara zao.Ukweli ni kwamba JW wengi ni darasa la Saba Huu ndio ukweli mchungu, elimu ni tatizo na hawajipangi kabsa kimaisha wapo hovyo ndio maana walioenda jkt utasikia ahhh me nataka JW tuu ebu fuatilia elimu Yao wengi form four failure na last Saba ila huwezi ingia police hata uwe mtoto wa nani, kingine majukumu ya polisi ni tofauti na jw.
Watu wengi wanapenda wanajeshi kwa kudhani kuwa ni wastaraabu ila ukweli ni kwamba hawafanyi kazi zinazojihusisha na wanainchi moja kwa moja iwapo wakipewa wajibu huo ndani ya siku moja mtawaona polisi ni malaika kutokana na utendaji wao.
Ajabu yake wakatumia nguvu kuliko akili wakabomoa majengo, kuharibu mali na kupora pia.Huo ndio ubabe usio na maana ,kazi ya Navy Seals haiwezi kuwa sawa na Naval infantry ,Makomando wakageuza na kuwaachia KDF ngoma ? Kwani kwenye hiyo operation ya kuwaokoa watu westgate hakukua na joint chiefs ?
Hapakua na fursa ya kuunda joint command, ndio ilikua mara yetu ya kwanza kuvamiwa na magaidi waliongia kwenye jengo na kuanza kuua kila asiye muislamu. Ikawa kila kikosi kufanya mchakato wa kufika pale haraka iwezekanavyo, kwa vile makomando huwa wamesubiria matukio kama haya, wao walifika mara moja na kutathmini ngoma ilivyo, wakabuni fasta mkakati wa kufunga kitabu kwa dakika thelathini na wakaanza shughuli kishujaa na kikomando.
Ghafla KDF wakaingia kwa vurugu na ubabe, maana wao wamefunzwa kupiga bila kukamata. Kwa bahati mbaya wakampiga askari mmoja ambaye alikua kiongozi wa wale makomando, alikua anaongoza jeshi lake kwa mbele. Pakaibuka majibizano na ugomvi baina yao, makomando wakaona busara wageuze na kuwaachia wababe.
Sasa baada ya hilo tukio, mikakati imebuniwa ya kuwawezesha kufanya kazi pamoja, kifupi ni kwamba wakati inatokea ngoma kama hii, makomando wanapewa kipao mbele. Kama jinsi ilitendeka pale Garissa, makomando walifika na kuzima ngoma ndani ya dakika 12. Tazama hii video
Pumba tupuWanajeshi wengi bangi na shule yao ndogo.afu pia wanajesh huwa wanawaonea wivu police kimaslahi,maana ingawa police wanalipwa kidogo kuliko wanajesh lakin police wengi wengi wamejijenga kiuchumi kuliko wajeshi.
Ni kweli mkuukuna mtu kanambia polisi wana uwezo mkubwa hata wa kureason kuliko jwtz... sijui ukweli wa hili