Uchunjuba Punjubi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 799
- 624
Muosha huoshwa
Hii ilisababisha leo poliz kuna forjali nyingi Sana ya vyeti hadi ngazi za juu sana nao jamaa zangu wengi poliz hawatumii majina yao ila nikuhakikishie taasisi mbili ambazo nchi hii inajivunia hadi nje ya nchi ni bunge la jamhuri na JWTZ poliz sana sana kuipandisha nchi kwa viwango vya rushwa katika jumuiya ya kimataifa aibu kubwa mnatutia mahusiano na raia ni mabovuUkweli ni kwamba JW wengi ni darasa la Saba Huu ndio ukweli mchungu, elimu ni tatizo na hawajipangi kabsa kimaisha wapo hovyo ndio maana walioenda jkt utasikia ahhh me nataka JW tuu ebu fuatilia elimu Yao wengi form four failure na last Saba ila huwezi ingia police hata uwe mtoto wa nani, kingine majukumu ya polisi ni tofauti na jw.
Watu wengi wanapenda wanajeshi kwa kudhani kuwa ni wastaraabu ila ukweli ni kwamba hawafanyi kazi zinazojihusisha na wanainchi moja kwa moja iwapo wakipewa wajibu huo ndani ya siku moja mtawaona polisi ni malaika kutokana na utendaji wao.
Kilichopo ambacho wengi Hawajui poliz hupendelea kuonea raia sasa wanapokutana na mjeda hupata ukinzani ndipo cheche hutokea nchii ngumu Sana kuishi Kama raia unakutana vitoto vimetoka sisipii na elimu ya kupiga pasi nguo kwa starch tu vinamwagwa mtaani visife njaa sasa vikitua mtaani ni aibu anayebisha nenda kituoni na kesi wanachoangalia watakula upande gani...... Basi wanabase huko hata Kama ni haki yao inapotea hivi hivi unaonakuna mtu kanambia polisi wana uwezo mkubwa hata wa kureason kuliko jwtz... sijui ukweli wa hili
Police cku hizi sio km zamani jamaa wanafanya kz kwa weledi sanaKilichopo ambacho wengi Hawajui poliz hupendelea kuonea raia sasa wanapokutana na mjeda hupata ukinzani ndipo cheche hutokea nchii ngumu Sana kuishi Kama raia unakutana vitoto vimetoka sisipii na elimu ya kupiga pasi nguo kwa starch tu vinamwagwa mtaani visife njaa sasa vikitua mtaani ni aibu anayebisha nenda kituoni na kesi wanachoangalia watakula upande gani...... Basi wanabase huko hata Kama ni haki yao inapotea hivi hivi unaona
Police ukiongea na maafisa wao wako smart mnaweza hata ku urge lakini hawa wa chini elimu zao ziko chini na uelewa wao Uko chini pia ni watu wanaitumia nguvu kuliko akili mi huwa nikiingia katika mtafaruku nao huwa nasisitiza kuonana na mkuu wao tena huwa wagumu kutoa namba za wakuu wao ila ukienda kila kituo cha police zipo hadi no za C-Law huwa natembea nazo njagu yeyote akizingua nakusanya facts na evidence za kutosha zikiwemo pic narusha kwa maboss zaoPolice cku hizi sio km zamani jamaa wanafanya kz kwa weledi sana
Duh ikikuaje mkuu
Walijifanya ubabeDuh ikikuaje mkuu
Polisi n jeshi la akiba, hao sio askari! Ukikutana Na mwanajeshi wa Jws, aliyepiga level 3 atakuambia kuwa katika kusoma kwake hajawahi kufundishwa kuwa polis n askari! Lkn ukikutana Na police nae atakwambia n askari tena aliyeiva! Wakti mafunzo yao yote yanaegemea kwenye usafi Na sheria kwa ujumla! Ndio maana makuruta wanapokuwaga kwenye kozi, huwanafundishwa! Kuwaona police km wanawake tuy! Huu ugomvi wa kudundwa kwa police kamwe hautaisha!Hizi habari za JWTZ kuwapiga Polisi au Polisi kuwapiga JWTZ huwa ni za kujirudia kila mara
Sijawahi sikia JWTZ kampiga magereza au zimamoto.
Hasa Polisi mnatia aibu sana! kila siku mnakungutwa nyie! JWTZ wana nini cha ziada cha kuwapiga kila siku. Mbona mnatukunguta sana mkitukamata sisi raia!
JWTZ na POLISI mna ugomvi gani usioisha? sijawahi sikia viongozi wa Polisi au JWTZ wakiliongelea hili.
View attachment 344869
JidanganyeWale jamaa wa polisi wanaovaaga kofia nyekundu ndio wanaowaweza hawa jamaa peke yao
Tena bora Mgambo, maana wanafundishwa Na wanajeshi wenyweni kwamba, kiutawala, JWTZ ni maboss wa askari, hata kiweledi tu na kila kitu. sasa polisi hilo huwa hawataki kukubali, wanataka na wao waonekane wa maana na wana nguvu na heshima kama ile wanayopokea JWTZ. hao wanajeshi wanakuambia polisi ni raia wakakamavu tu wala si askari, kwao ni kama mgambo tu.
Tena bora Mgambo, maana wanafundishwa Na wanajeshi wenywe
Hahaahjaj, imebidi nicheke.Hizi habari za JWTZ kuwapiga Polisi au Polisi kuwapiga JWTZ huwa ni za kujirudia kila mara
Sijawahi sikia JWTZ kampiga magereza au zimamoto.
Hasa Polisi mnatia aibu sana! kila siku mnakungutwa nyie! JWTZ wana nini cha ziada cha kuwapiga kila siku. Mbona mnatukunguta sana mkitukamata sisi raia!
JWTZ na POLISI mna ugomvi gani usioisha? sijawahi sikia viongozi wa Polisi au JWTZ wakiliongelea hili.
View attachment 344869
Jaribu kuwachokoza ila usisahau kutuletea mrejeshoAisee mkuu hii kitu imekatazwa. Yaani ungeweza kurekodi tukio mpaka muda huu huyo mwanajeshi angekua Segerea ananyea ndoo. Sasa hivi wakubwa wao wameweka sheria kali dhidi ya askari wao ambao miaka ya nyuma kidogo walijitia uwendawazimu ktk matendo yao. Mfano mara kufunga mtaa na kutembeza kisago kwa anayehusika na asiyehusika.
wamebanwa kweli...
Walivamia kambi ya FFU kulipiza kisasi cha mwenzao kupigwa! Ukapigwa mkono wenzao walivyoona mambo mazito wakalala mbele hao wakadakwa!Hawa ilikuaje?
Sent using Sukhoi Su-57