JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

Huna unachojua ww kwani polisi wameanza kuajiri lini toka jkt kama sio kuanzia 2007 nakuendelea ina maana kabla ya hapo hakukuwa na FFU???
 
Polisi ni wasimamizi wa sheria koo jw wakija huku uraiani wanafikiri wapo makambini hawataki kufata sheria anakutana na polisi analazimishwa kufata sheria ndo maana wanawachukia polisi
Kwani kambini hakuna sheria??Au ukiwa kambini hufuati sheria??Jeshi ni nidhamu mkuu hayo matukio ya kuvunja sheria yanafanywa na askari kwa hulka zake hivi jw wote wawe wanafanya hizo vurugu nyinyi polisi mtaweza kuwadhibiti??hivi kwanini msiripoti lile tukio lenu polisi mlivyopigwa fimbo na askari magereza pale mizani kibaha baada ya gari ya magereza kuwa na mzigo mzito
tatzo polisi wakishajua kuwa wamemkamata askari kutoka jw kwa kosa,lolote hata awe mstaarabu vp lazima aumie tu
 
Sijakuelewa vizuri. Inawezekana pia darasa la saba wapo lakini hao ni wale wapishi, wafagiaji na upande wa sports (kama nimekosea hapa nirekebishwe).
Hata hizi post za jeshi jkt zilizotoka juzi qualification ni form four. Kuna mtoto kamaliza form four mwaka juzi alitaka kujiunga lakini imeshindikana kwasababu hana cheti alipata zero.

Maafisa wa jeshi hakuna darasa la saba, form four wala form six. Wote ni kuanzia degree ya kwanza. Na wengi ambao waliajiriwa wakiwa wana elimu ya form six wamejiendeleza kielimu.

Jeshi lina kazi mbali mbali, qualifications tofauti tofauti. Kusema wanajeshi hawana elimu si sahihi hata kidogo. Haipo hivyo.

Mwenye uelewa zaidi atanirekebisha.
Kwa hyo pale Lugalo huwa watu wa darasa la saba ndo wanatibu?na kule Congo wale M23 walikuwa wanapigwa na mizinga bila kutafuta coordinates na kule Navy zile meli zinahudumiwa na darasa saba na zile ndege tunazoshangiliaga pale shamba la bb je aise hawa form 4 na darasa la saba wanaokwenda jeshini watakuwa walionewa na nacte maana wako vzur sana kwasababu sehem hzo zote ni pure science
 
Mkuu achana nao humu kuna raia wao hujidai wanajua kila kitu
 
Kwani kambini hakuna sheria??Au ukiwa kambini hufuati sheria??Jeshi ni nidhamu mkuu hayo matukio ya kuvunja sheria yanafanywa na askari kwa hulka zake hivi jw wote wawe wanafanya hizo vurugu nyinyi polisi mtaweza kuwadhibiti??hivi kwanini msiripoti lile tukio lenu polisi mlivyopigwa fimbo na askari magereza pale mizani kibaha baada ya gari ya magereza kuwa na mzigo mzito
tatzo polisi wakishajua kuwa wamemkamata askari kutoka jw kwa kosa,lolote hata awe mstaarabu vp lazima aumie tu

mim napenda kujua ni kea nini jwtz wana kuwa na hul
 
Kwa hyo pale Lugalo huwa watu wa darasa la saba ndo wanatibu?na kule Congo wale M23 walikuwa wanapigwa na mizinga bila kutafuta coordinates na kule Navy zile meli zinahudumiwa na darasa saba na zile ndege tunazoshangiliaga pale shamba la bb je aise hawa form 4 na darasa la saba wanaokwenda jeshini watakuwa walionewa na nacte maana wako vzur sana kwasababu sehem hzo zote ni pure science
Watu wanabwabwaja tu bila kufikiria kwa umakini. Jeshi la Tz lina wasomi wa kila aina.
 
Hapo umesema mkuu, jeshi ni Taasisi inayojitegemea kabisa, kuanzia mainjinia, wanasheria, madaktari, watafiti, wataalam wa kilimo na mifugo, n.k,
Maaskari wapiganaji wasomi ndio waongoza vikosi na operation zote za kivita, mpaka maaskari wa elimu ya chini ambao nao wamenolewa vilivyo,
Sasa vilaza wanaoponda jeshi hawajui chochote kabsa
 
Kwa hyo pale Lugalo huwa watu wa darasa la saba ndo wanatibu?na kule Congo wale M23 walikuwa wanapigwa na mizinga bila kutafuta coordinates na kule Navy zile meli zinahudumiwa na darasa saba na zile ndege tunazoshangiliaga pale shamba la bb je aise hawa form 4 na darasa la saba wanaokwenda jeshini watakuwa walionewa na nacte maana wako vzur sana kwasababu sehem hzo zote ni pure science

basi na wew kama uko huko jwtz ni shida! kwa hiyo wew askari kuendesha ndege ya kijeshi lazma awe na degree! hujui hata std seven anaweza kuendesha..na nani alikwambia coordinate jeshini zinasomwa na wawomi ..yaani hujui kuwa kuna watu ambao wako trained kwa kazi hiyo na inawezekana wakawa hawana elimu ya kutosha
 
Hapo umesema mkuu, jeshi ni Taasisi inayojitegemea kabisa, kuanzia mainjinia, wanasheria, madaktari, watafiti, wataalam wa kilimo na mifugo, n.k,
Maaskari wapiganaji wasomi ndio waongoza vikosi na operation zote za kivita, mpaka maaskari wa elimu ya chini ambao nao wamenolewa vilivyo,
Sasa vilaza wanaoponda jeshi hawajui chochote kabsa

wew umesema ka ukweli! kuna vilaza wengi na wasomi wapo pia.
 
Hapo umesema mkuu, jeshi ni Taasisi inayojitegemea kabisa, kuanzia mainjinia, wanasheria, madaktari, watafiti, wataalam wa kilimo na mifugo, n.k,
Maaskari wapiganaji wasomi ndio waongoza vikosi na operation zote za kivita, mpaka maaskari wa elimu ya chini ambao nao wamenolewa vilivyo,
Sasa vilaza wanaoponda jeshi hawajui chochote kabsa
Huu mjadala umenifanya niingie ndani zaid kujua why wanawachukia makamanda wetu,niliyobaini kuna baadhi walikosa nafasi za kujiunga na jeshi,wengine wanaonyesha walipitia jeshi wakafukuzwa ,wengine yawezekana walishachezea vitasa kutoka kwa hawa jamaa bado cjapata data kuhusu mkwanja walionao pengine napo wanaonewa kijicho na wenzao hapa anayejua atanisaidia
 
basi na wew kama uko huko jwtz ni shida! kwa hiyo wew askari kuendesha ndege ya kijeshi lazma awe na degree! hujui hata std seven anaweza kuendesha..na nani alikwambia coordinate jeshini zinasomwa na wawomi ..yaani hujui kuwa kuna watu ambao wako trained kwa kazi hiyo na inawezekana wakawa hawana elimu ya kutosha
Huwez kuwa na elimu isiyotosha ukapewa ndege halafu nikuambie hakuna upuuz huo wa degree kwenye masuala ya aviation we kalili tu nilichotaka kuwafikilisha akili ni kuwa kazi wanazofanya ndizo zinafanywa na wasomi sehem zingine sasa wao wanazifanyaje wakat ni form four failures na std seven?
 
Kuna mtu yupo katika huu uzi yeye anafanya research juu ya askari sana sana juu ya TPDF yeye alipitia mafunzo ya uaskari
 
Back
Top Bottom