- Thread starter
- #421
kwank hawako sawa mkuu?Polisi depo yake darasani kujifunza sheria, achana na habari ya mjeshi...ila kikubwa police wana penda usawa wana taka heshima kutoka kwa wana jeshi kitu amabao mjeshi hawezi kukitoa kwa police na pia hii inachangiwa na walivyo jengwa toka mafunzoni kua police ni kazi ya wanawake hata mbwa nae alitoroka jeshi akakimbilia police....