Ze General
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 1,508
- 1,260
Huku msikia mkuu wa kaya alisema polis weng wakienda kozi wanatoa rushwa hawafanyi mazoez kwahiyo wanaenda kupokea chet na kupewa ajira
Mtu kwaoNimeona lkn pia umejaa mahaba na kikosi chako, hukuficha hisia zako.
Wewe mwenye shule unajionesha JamiiForum[emoji23] [emoji482]Hao jamaa wote wawili tatizo lao ni shule tu, na ulimbukeni kila mtu anataka ajioneshe yeye mbabe mtaani
Hapana sijioneshi bali the more nachangia mawazo na wana jamvi basi inadhihirika tu Shule ipo, sasa polisi yeye hata kama yuko kiraia au mwanajeshi bado atataka ajulikaneWewe mwenye shule unajionesha JamiiForum[emoji23] [emoji482]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umewashika kwenye konaHapana sijioneshi bali the more nachangia mawazo na wana jamvi basi inadhihirika tu Shule ipo, sasa polisi yeye hata kama yuko kiraia au mwanajeshi bado atataka ajulikane
kuviziana kivipi? unamaanisha sometimes askari polisi anafanya kosa na anatakiwa akamatwe na mwanajeshi?huo ni uongo na siamini! mara nyingi nimeona na kusikia wakiwadhibiti. hawq jamaa huwq wanaviziana..anayemuwahi mwenzake ndo halali yake.
sina hamu na wanajeshi nilikuwa mdogo kama miaka saba hv,nilikuwa nacheza mpira na kaka zangu/marafiki walionizd kidogo umri.akapita mjeshi na pkpk alikuwa speed kubwa kdogo,si akadondosha hela nyingi cjui ilikuwa sh ngap bhas watu tukagombaniana zle hela kisha tukalala mbele,yule mjesh alisimamisha pkpk mbele kdogo akawa anaangalia tuu tunavyopgana mieleka kpindi tunaokota hela,tuliposepa nae akasepa,sisi tukarud kucheza mpira zkapta kama dkk 20 tukawa tumeshajisahau,mara ghafla mjeshi akaja na defender na wajesh wengine kama watatu wakapak pale kiwanjani,wakawakamata mablaza kama watatu hv,ebana waliwapa kipondo heavy ikabd mdosi mmoja wa pale kitaa awalipe wale wajeshi ndo wakasepa.Inategemea, ukiona polis kapewa kichapo ujue kunakosa amelifanya, mwanajesh huwaga hapigan ovyo huwa amechokozwa
Mziki wa msata aibu mkuu. Ogopa sana commandant kikosi wa kuitwa Lt.Col.ChuriHahahaaaa pale kuna jamaa yangu alipata kichaa wiki ya 3 ya mkesha
Shida iko hapo mkuu. Kwamba hata kwako kukiwa pabovu unapatetea kwa nguvu zote. Kama sio kutafta suluhu za mara kwa mara, jwtz huharibikiwa zaidi kuliko polisi anavyoharibikiwa.Mtu kwao
Ni kweli kabisa lkn uzoefu wangu ni kuwa polisi hukwaruzana na jwtz wakiwa katika majukumu yao. Jwtz akikamatwa huwa hajui kutumia PR anaanzisha fujo.Hao jamaa wote wawili tatizo lao ni shule tu, na ulimbukeni kila mtu anataka ajioneshe yeye mbabe mtaani
Mkuu sidhani kama ni kweli. Kwa habari ya maslahi, wanajeshi wako juu sana. Polisi wanachowazidi wanajeshi, ni uwezo wa polisi kujenga mahusiano tu na watu. Kupitia mahusiano, polisi hupiga helaWanajeshi wengi bangi na shule yao ndogo.afu pia wanajesh huwa wanawaonea wivu police kimaslahi,maana ingawa police wanalipwa kidogo kuliko wanajesh lakin police wengi wengi wamejijenga kiuchumi kuliko wajeshi.
mkuu nakusuburiNi kweli kabisa lkn uzoefu wangu ni kuwa polisi hukwaruzana na jwtz wakiwa katika majukumu yao. Jwtz akikamatwa huwa hajui kutumia PR anaanzisha fujo.
Nakumbuka ugomvi uliotokea pale Arusha mwaka jana. Askar wa jkt oljoro, ambao nao huona ni jwtz, walikuwa wanatokea mjini. Askari polisi wa ffu alikuwa amevaa uniform, na wale jkt walikuwa kiraia.
Kondakta kudai nauli, wakaanza kutukana na kutishia kupiga. Yule wa ffu akawasihi walipe kwani hawakuvaa uniforms, walimtukana matusi ya nguoni. Kumbe kwenye gari alikuwemo mwingine ffu alivaa kiraia.
Akamshauri wapitishe gari kambini. Wale jamaa kufikishwa kambini wakatakiwa kulipa nauli, wakagoma. Ilibidi wapewe adhabu za kijeshi kwa kutokuwa na nidham.
Walipoachiwa, wakaenda kikosini, wakahamasisha wengine kuwa wavamie kambi wakalipize kisasi. Wakiwa wameingia kambini, wakashtukiwa. Baadhi walikamatwa wengine walilala mbele.
Huwa hawakubari kukosea, wakapanga njama za kupiga askari na kuwapokonya silaha. Siku moja askari polisi wakiwa doria, wakawalia timing, na mmoja akachukua magazine, polisi kuona vile akairuhusu bunduki kufanya kazi yake ili kukomboa magazine ile.
Kilichotokea ni historia pale arusha mkuu....
Ngoja niweke bundle nimalizie....
Weee huyajui majeshi. Lkn chukulia mfano wa kdf na isue ya westgate, ndo utajua akili za wanajeshi wazee wa msituni
Kama kuna sintofahamu imetokea na kuna mapigano au uvunjifu wa amani..... Raia akihisi usalama wake ni mdogo na kuna Polisi hapa na kuna JW hapa..(kushoto ama kulia) raia huona akiwa na JW is more safe, kwanini? JW huokoa zaidi na kwa akili kuliko Polisi...Polisi anaweza kukaa kimya ugomvi uishe ndipo atajitokeza! JW hasubiri hayo, atasaidia na wala hata subiri fadhila yeyote!... ataondoka zake....