noweezy
Senior Member
- Jan 9, 2016
- 103
- 93
unajuwa tatizo la watu wengi ni ukosefu wa elimu ila ukweli jeshi anamzarau polis kutomana na utendaji wa kaZi wa polis ila duniani mafunzo ya kijeshi yote yanafanana hakuna jipya tofaut ya majeshi dunian ni uwezo wa silaha nzito jwtz wao hawajui jinsi ya kudili na raia ila polis ndio kazi yake so kuwaskiliza raia ila kama polis hawako fresh why majambazi wanakufa kila leo polis ndio anapambana nao sasa jwtz wao hawajui sheria ingawa saiv wamebanwa sana kama akitokea kakupiga ukimjua kikos chake ukienda kuripot na ushahid basi mahakama ya kijeshi inamfukuza kazi sema raia uelewa wao unakuwa mdogo