JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

Kama kuna sintofahamu imetokea na kuna mapigano au uvunjifu wa amani..... Raia akihisi usalama wake ni mdogo na kuna Polisi hapa na kuna JW hapa..(kushoto ama kulia) raia huona akiwa na JW is more safe, kwanini? JW huokoa zaidi na kwa akili kuliko Polisi...Polisi anaweza kukaa kimya ugomvi uishe ndipo atajitokeza! JW hasubiri hayo, atasaidia na wala hata subiri fadhila yeyote!... ataondoka zake....
 
wew unakimbia hatari..wao wanaifuata..unalala na mkeo usiku kucha kwa amani..wao wanalala na silaha wana kinda... unaingia kwako muda wowote ..wao nyumbani kwao wanakuja kwa muda maalumu.. unapanga ufanye nini..wao wanapingiwa wafanye nni....unalewa na kunywa usiku kucha wao wanakulinda..

yaank hayo yote bado unasema hawana ubongo!
Haswaaaa. Ni yule tu aliyefanya uhalifu na akafikishwa kwa pilato au aliyeshawishi asiwajibishwe kwa mujibu wa sheria ndiye anayewachukia polisi.

Mimi binafsi sina ugomvi nao, bila wao .maisha ni magumu sana.

Just imagine, iwapo pamoja na mikakati iliyopo ya kudhibiti uhalifu lkn uhalifu upo, je kama hawapo? Ni balaa naamini
 
Sijaona askari bora kuliko mwingine, isipokuwa kila askari ana majukumu yake!!! Majeshi yote vizuri ktk majukumu yake lkn kuhusu kupigana sio Picha nzuri ila kila askari ktk majeshi yote kuna askari ktk karate wana uwezo binafsi na wengine weupe pee, sio jw, polisi, magereza wala zimamoto.... Waheshimiane tu maana hakuna aliye juu kuliko mwenzake!!!
 
Kama kuna sintofahamu imetokea na kuna mapigano au uvunjifu wa amani..... Raia akihisi usalama wake ni mdogo na kuna Polisi hapa na kuna JW hapa..(kushoto ama kulia) raia huona akiwa na JW is more safe, kwanini? JW huokoa zaidi na kwa akili kuliko Polisi...Polisi anaweza kukaa kimya ugomvi uishe ndipo atajitokeza! JW hasubiri hayo, atasaidia na wala hata subiri fadhila yeyote!... ataondoka zake....
Weee huyajui majeshi. Lkn chukulia mfano wa kdf na isue ya westgate, ndo utajua akili za wanajeshi wazee wa msituni
 
Siyo lazima unisadiki

Unajaribu kudanganya umma!! Askari wa jw ni askari kama askari wengine, na kila jeshi lina majukumu yake, hakuna askari aliye juu kuliko mwingine ila uwezo binafsi kwa askari majeshi yote yana wapiga ngumi... Mi napenda kuona wakifanya majukumu yao tu na sio kupimana ubavu wao kwa wao hadi tuwadharau kwa akili kama hizo..
 
Ulinganifu wa yupi bora unategemeana na tukio... nimetoa mfano kwa minor incidences, major kunatofauti...
 
Unajaribu kudanganya umma!! Askari wa jw ni askari kama askari wengine, na kila jeshi lina majukumu yake, hakuna askari aliye juu kuliko mwingine ila uwezo binafsi kwa askari majeshi yote yana wapiga ngumi... Mi napenda kuona wakifanya majukumu yao tu na sio kupimana ubavu wao kwa wao hadi tuwadharau kwa akili kama hizo..
Wapi nimeudanya umma?
 
Sawa mkuu. Mimi nina imani nao mkuu japo wana mapungufu lkn utawala ukiyatatua watakuwa wa kupigiwa mfano
Nimelizungumzia hili hapo juu....bahati nzuri nimefanya kazi na idara ya mambo ya ndani so kuna sehemu za hawa jamaa nazifahamu kama umesoma post zangu hapo juu utakuwa umenielewa
 
Tengua kauli yako mkuu yacje yakakukuta ya bunwasi hata cku moja huwez kucompare mwanajeshi na polisi kimasilahi ndo maana mapolisi wengi wanaendekeza njaa mapolis wanaingilia mpka kaz ambazo cyo zao ilimradi mdomo uingie kinywani Leo polisi anakamata mpaka muuza mkaa? Anaingilia vitengo vya watu...
Je uliona wapi mwanajeshi anamng'ang'ania raia ili ampe rushwa Mara chache Sana.
Mtu kupokea rushwa au hongo haimaanishi ana kipato kidogo #refer viongozi wa nchi yako... Unaonekana una very low thinking capacity au ni TPDF nini?
 
Nimelizungumzia hili hapo juu....bahati nzuri nimefanya kazi na idara ya mambo ya ndani so kuna sehemu za hawa jamaa nazifahamu kama umesoma post zangu hapo juu utakuwa umenielewa
Nimeona lkn pia umejaa mahaba na kikosi chako, hukuficha hisia zako.
 
Wanajeshi wengi bangi na shule yao ndogo.afu pia wanajesh huwa wanawaonea wivu police kimaslahi,maana ingawa police wanalipwa kidogo kuliko wanajesh lakin police wengi wengi wamejijenga kiuchumi kuliko wajeshi.
Wanaonea wivu kwa kua namaendeleo baada ya kuchukua Rushwa kutoka kwa wananchi, maana kama mshahaa wao ni mdogo hicho kipato zaidi wanapata wapi.....watu wengine bwana yaani unakurupuka tu kuandika kama umetoka usingizini.
 
Back
Top Bottom