JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

Hizi habari za JWTZ kuwapiga Polisi au Polisi kuwapiga JWTZ huwa ni za kujirudia kila mara

Sijawahi sikia JWTZ kampiga maMkuu wa Majeshi nchini,Jenerali Davis Mwamunyange

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limelaani kitendo cha askari wake wa kikosi cha Nyandoto 27 KJ Makoko ambaye inadaiwa alishindwa kutii maelekezo ya askari polisi wa Usalama Barabarani wilayani Tarime, Mara na kusabisha mapigano baina ya wanajeshi na polisi.

Katika tukio hilo ambalo lilitokea Oktoba Mosi, mwaka huu jioni katika kituo cha mabasi mjini Tarime, raia mmoja na askari kadhaa wa Jeshi la Polisi wakiongozwa na Mkuu wa Upelekezi wa Makosa ya Jinai (RCO) Kanda maalum ya Tarime /Rorya na askari wawili wa JWTZ walijeruhiwa kwa risasi.

Mkuu wa Brigedi 202 kundi la vikosi kanda ya Magharibi, Brigedia Jenerali Mathew Mayela Sukambi, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi, alisema kitendo hicho cha aibu kimefanywa na askari binafsi na siyo JWTZ.

Alisema askari huyo amekiuka kiapo chake, hivyo hastahili kuendelea kuitwa mwanajeshi wa jeshi hilo na kwamba ameagiza sheria na taratibu zichukuliwe dhidi yake pamoja na wote walioshiriki katika tukio hilo.

"Kitendo hicho kimefanywa na askari binafsi na siyo jeshi, taratibu za jeshi zinafundisha na kueleza afisa na askari kuwa mtiifu na mwenye nidhamu na kutakiwa kutii mamlaka na kufuata sheria za nchi kwa mujibu wa katiba," ilieleza sehemu ya tamko hilo la JWTZ.

Alisema kuwa chanzo cha fujo na vurugu hizo zilisabishwa na askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kumkamata askari wa JWTZ kwa kosa la kuendesha pikipiki bila kuvaa kofia ngumu (Helment) na baada ya majibishano askari huyo aliita wenzake walikuwa jirani kwa ajili ya msaada ndipo polisi waliitana kwa wingi na kuanza kutumia nguvu kwa kutumia risasi za moto kuzima vurugu hizo.

Aliwataka maofisa na askari wa jeshi hilo kuzingatia viapo vyao, kutii sheria na taratibu za nchi, mamlaka ya kiraia kwa mujibu wa katiba ya Tanzania huku akiwaonya raia kuacha kushabikia matukio mabaya pindi yanapotokea.

Hasa Polisi mnatia aibu sana! kila siku mnakungutwa nyie! JWTZ wana nini cha ziada cha kuwapiga kila siku. Mbona mnatukunguta sana mkitukamata sisi raia!

JWTZ na POLISI mna ugomvi gani usioisha? sijawahi sikia viongozi wa Polisi au JWTZ wakiliongelea hili.
View attachment 344869
 
Hizi habari za JWTZ kuwapiga Polisi au Polisi kuwapiga JWTZ huwa ni za kujirudia kila mara

Sijawahi sikia JWTZ kampiga magereza au zimamoto.

Hasa Polisi mnatia aibu sana! kila siku mnakungutwa nyie! JWTZ wana nini cha ziada cha kuwapiga kila siku. Mbona mnatukunguta sana mkitukamata sisi raia!

JWTZ na POLISI mna ugomvi gani usioisha? sijawahi sikia viongozi wa Polisi au JWTZ wakiliongelea hili.
View attachment 344869

Nahisi sababu Kubwa Ni Upuuzi wa Polisi Kupiga Raia au Kuongea Lugha za Madharau dhidi ya Raia. Sasa kwa Kuwa Wanajeshi wanailinda nchi, anapokuwa Uraiani na nguo za Kawaida, halafu Polisi mjinga mjinga atake Kumpiga, inakuwa hakuna jinsi bali Kumfunza adabu. Mimi Nafuhi sana Nikiona Polisi nao Wanaonyeshwa jinsi wanapowapiga watu, how it feels.
 
Mkuu wa Majeshi nchini,Jenerali Davis Mwamunyange

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limelaani kitendo cha askari wake wa kikosi cha Nyandoto 27 KJ Makoko ambaye inadaiwa alishindwa kutii maelekezo ya askari polisi wa Usalama Barabarani wilayani Tarime, Mara na kusabisha mapigano baina ya wanajeshi na polisi.

Katika tukio hilo ambalo lilitokea Oktoba Mosi, mwaka huu jioni katika kituo cha mabasi mjini Tarime, raia mmoja na askari kadhaa wa Jeshi la Polisi wakiongozwa na Mkuu wa Upelekezi wa Makosa ya Jinai (RCO) Kanda maalum ya Tarime /Rorya na askari wawili wa JWTZ walijeruhiwa kwa risasi.

Mkuu wa Brigedi 202 kundi la vikosi kanda ya Magharibi, Brigedia Jenerali Mathew Mayela Sukambi, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi, alisema kitendo hicho cha aibu kimefanywa na askari binafsi na siyo JWTZ.

Alisema askari huyo amekiuka kiapo chake, hivyo hastahili kuendelea kuitwa mwanajeshi wa jeshi hilo na kwamba ameagiza sheria na taratibu zichukuliwe dhidi yake pamoja na wote walioshiriki katika tukio hilo.

"Kitendo hicho kimefanywa na askari binafsi na siyo jeshi, taratibu za jeshi zinafundisha na kueleza afisa na askari kuwa mtiifu na mwenye nidhamu na kutakiwa kutii mamlaka na kufuata sheria za nchi kwa mujibu wa katiba," ilieleza sehemu ya tamko hilo la JWTZ.

Alisema kuwa chanzo cha fujo na vurugu hizo zilisabishwa na askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kumkamata askari wa JWTZ kwa kosa la kuendesha pikipiki bila kuvaa kofia ngumu (Helment) na baada ya majibishano askari huyo aliita wenzake walikuwa jirani kwa ajili ya msaada ndipo polisi waliitana kwa wingi na kuanza kutumia nguvu kwa kutumia risasi za moto kuzima vurugu hizo.

Aliwataka maofisa na askari wa jeshi hilo kuzingatia viapo vyao, kutii sheria na taratibu za nchi, mamlaka ya kiraia kwa mujibu wa katiba ya Tanzania huku akiwaonya raia kuacha kushabikia matukio mabaya pindi yanapotokea.
 
Nahisi sababu Kubwa Ni Upuuzi wa Polisi Kupiga Raia au Kuongea Lugha za Madharau dhidi ya Raia. Sasa kwa Kuwa Wanajeshi wanailinda nchi, anapokuwa Uraiani na nguo za Kawaida, halafu Polisi mjinga mjinga atake Kumpiga, inakuwa hakuna jinsi bali Kumfunza adabu. Mimi Nafuhi sana Nikiona Polisi nao Wanaonyeshwa jinsi wanapowapiga watu, how it feels.
Pot punguza nyembe basi sote ni walinzi wa amani
 
Wamezoea magari tuu manake ni kunyanyua mkono na kuonyeahsa ishara simama hapa
Sasa wajeda ni nakoz kwa kwenda ukutani
 
Acheni uraia nyie wote wafunga buti kazi yenu moja ila majukumu ndio tofauti..mnakuja hapa kuropoka siri zenu za majeshini hapa vijiweni mnajidharirisha na pia ni kinyume na nidhamu na mwenendo mwema wa majeshi.

JKT nilijifunza mengi na nahisi nilifundwa vyema.

The thread has been officialy closed!!
 
Wale warembo wa FFU wanaopiga watu kwa Wheel spanner? Hata Mimi kama sio Kuheshimu Jamhuri Naweza kukongoli hata Watano kwa Mpigo huku nimevaa suti. Hawana Nidhamu! wala Utu wale Mbwa!

hivi kjwa mwanajeshi kunakupa uwezo wa kupigana?
 
Wale warembo wa FFU wanaopiga watu kwa Wheel spanner? Hata Mimi kama sio Kuheshimu Jamhuri Naweza kukongoli hata Watano kwa Mpigo huku nimevaa suti. Hawana Nidhamu! wala Utu wale Mbwa!
Mkuu unategemewa na familia yako hapo sio pakuoshea jina.tena ukitaka ufaidi dozi yao jaribu kuonyesha unataka kishindana nao.

Kama unaweza kupigana vizuri tafuta hata mti tu utandike ngwara mpaka utepete.
 
Mkuu wa Majeshi nchini,Jenerali Davis Mwamunyange

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limelaani kitendo cha askari wake wa kikosi cha Nyandoto 27 KJ Makoko ambaye inadaiwa alishindwa kutii maelekezo ya askari polisi wa Usalama Barabarani wilayani Tarime, Mara na kusabisha mapigano baina ya wanajeshi na polisi.

Katika tukio hilo ambalo lilitokea Oktoba Mosi, mwaka huu jioni katika kituo cha mabasi mjini Tarime, raia mmoja na askari kadhaa wa Jeshi la Polisi wakiongozwa na Mkuu wa Upelekezi wa Makosa ya Jinai (RCO) Kanda maalum ya Tarime /Rorya na askari wawili wa JWTZ walijeruhiwa kwa risasi.

Mkuu wa Brigedi 202 kundi la vikosi kanda ya Magharibi, Brigedia Jenerali Mathew Mayela Sukambi, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi, alisema kitendo hicho cha aibu kimefanywa na askari binafsi na siyo JWTZ.

Alisema askari huyo amekiuka kiapo chake, hivyo hastahili kuendelea kuitwa mwanajeshi wa jeshi hilo na kwamba ameagiza sheria na taratibu zichukuliwe dhidi yake pamoja na wote walioshiriki katika tukio hilo.

"Kitendo hicho kimefanywa na askari binafsi na siyo jeshi, taratibu za jeshi zinafundisha na kueleza afisa na askari kuwa mtiifu na mwenye nidhamu na kutakiwa kutii mamlaka na kufuata sheria za nchi kwa mujibu wa katiba," ilieleza sehemu ya tamko hilo la JWTZ.

Alisema kuwa chanzo cha fujo na vurugu hizo zilisabishwa na askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kumkamata askari wa JWTZ kwa kosa la kuendesha pikipiki bila kuvaa kofia ngumu (Helment) na baada ya majibishano askari huyo aliita wenzake walikuwa jirani kwa ajili ya msaada ndipo polisi waliitana kwa wingi na kuanza kutumia nguvu kwa kutumia risasi za moto kuzima vurugu hizo.

Aliwataka maofisa na askari wa jeshi hilo kuzingatia viapo vyao, kutii sheria na taratibu za nchi, mamlaka ya kiraia kwa mujibu wa katiba ya Tanzania huku akiwaonya raia kuacha kushabikia matukio mabaya pindi yanapotokea.
Hii modes waiweke kama jibu pale juu. Cc. Invisible, paw na maxence Melo
 
Back
Top Bottom