JWTZ mpo wapi? Zuieni watu kujiita Makamanda

Habari wadau!
Nina wazo km mkuu wa wajeshi ya ulinzi na usalama Tanzania atapenda naomba alichukue.

Kuna hawa watu ukipita pita Jf na kwengine wanajiita makamanda ,kama mabaharia wa meli juzi walitoa tamko kuhusu jina lao la baharia kutumika vibaya na wahuni wakakataza tabia ya watu kujiita mabaharia wakati hawajapitia mafunzo ya kibaharia.

Hivyo hivyo naomba jeshi litoe tamko kuhusu hawa wanaojiita makamanda huko mitaani na kwenye mitandao.

Binafsi sijapitia depo lolote ila ninavyojua shughuri ya mtu mpaka kufikia cheo cha ukamanda sio shughuri ndogo,kwa hiyo ili cheo kiheshimike jeshi litoe tamko kama mabaharia walivyotoa tamko.

Ila mm nawaza tu jamaani kama ni wazo zuri basi tamko litolewe mara moja.

Binafsi nakelekaga ninapokuta mafundi ambao hawana hata cheti ya veta wanajiita ma engineer wakati watu wanakaa miaka minne shule plus carry overs unaweza ukakaa miaka sita ndio waitwe angalau graduate engineer bado mitatu ya ERB hapo inakuwa saba au tisa ukijumlisha na hile ya mtaani mitatu inakuwa 10 au 12 tuheshimu vyeo vya watu jamani.

Tamko tafadhali...
Wewe una shida sasa kuna ubaya gani kumuita/kujiita kamanda kama mimi hili neno kamanda nalipenda na kulitumia sana
 
Habari wadau!
Nina wazo km mkuu wa wajeshi ya ulinzi na usalama Tanzania atapenda naomba alichukue.

Kuna hawa watu ukipita pita Jf na kwengine wanajiita makamanda ,kama mabaharia wa meli juzi walitoa tamko kuhusu jina lao la baharia kutumika vibaya na wahuni wakakataza tabia ya watu kujiita mabaharia wakati hawajapitia mafunzo ya kibaharia.

Hivyo hivyo naomba jeshi litoe tamko kuhusu hawa wanaojiita makamanda huko mitaani na kwenye mitandao.

Binafsi sijapitia depo lolote ila ninavyojua shughuri ya mtu mpaka kufikia cheo cha ukamanda sio shughuri ndogo,kwa hiyo ili cheo kiheshimike jeshi litoe tamko kama mabaharia walivyotoa tamko.

Ila mm nawaza tu jamaani kama ni wazo zuri basi tamko litolewe mara moja.

Binafsi nakelekaga ninapokuta mafundi ambao hawana hata cheti ya veta wanajiita ma engineer wakati watu wanakaa miaka minne shule plus carry overs unaweza ukakaa miaka sita ndio waitwe angalau graduate engineer bado mitatu ya ERB hapo inakuwa saba au tisa ukijumlisha na hile ya mtaani mitatu inakuwa 10 au 12 tuheshimu vyeo vya watu jamani.

Tamko tafadhali...
Mbona mkeo anajiita kamanda au kwavile unapigwa mangumi kwake sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara ya kumaliza chuo kisha unakosa ajira unajikuta unachuuza samaki (yaani fishmonger) kwa kuwa ni graduate.
 
Mleta mada kuandika Kiswahili tu ni shida nawe unataka kuanzisha mada hapa JF kwa watu wenye akili kubwa?
Kwanini hukumwambia hata mumeo ukusaidie kuhariri uharo wako wa makande mabichi? Au mmennuniana na mumeo hukumpa penzi usiku wake?
 
Kama JF of GT tunaleta mada zs aina hii hao ambao siyo GT watakuwa na mada za aina gani! Kamanda ni neno lililo huru kutumia na mtu yoyote, kwenye matumizi ya kijeshi kunakuwa na neno la ziada linaloambatanishwa ili liwe cheo.
 
Habari wadau!
Nina wazo km mkuu wa wajeshi ya ulinzi na usalama Tanzania atapenda naomba alichukue.

Kuna hawa watu ukipita pita Jf na kwengine wanajiita makamanda ,kama mabaharia wa meli juzi walitoa tamko kuhusu jina lao la baharia kutumika vibaya na wahuni wakakataza tabia ya watu kujiita mabaharia wakati hawajapitia mafunzo ya kibaharia.

Hivyo hivyo naomba jeshi litoe tamko kuhusu hawa wanaojiita makamanda huko mitaani na kwenye mitandao.

Binafsi sijapitia depo lolote ila ninavyojua shughuri ya mtu mpaka kufikia cheo cha ukamanda sio shughuri ndogo,kwa hiyo ili cheo kiheshimike jeshi litoe tamko kama mabaharia walivyotoa tamko.

Ila mm nawaza tu jamaani kama ni wazo zuri basi tamko litolewe mara moja.

Binafsi nakelekaga ninapokuta mafundi ambao hawana hata cheti ya veta wanajiita ma engineer wakati watu wanakaa miaka minne shule plus carry overs unaweza ukakaa miaka sita ndio waitwe angalau graduate engineer bado mitatu ya ERB hapo inakuwa saba au tisa ukijumlisha na hile ya mtaani mitatu inakuwa 10 au 12 tuheshimu vyeo vya watu jamani.

Tamko tafadhali...
CHADEMA WOOOTE NI MAKAMANDA. KAMA IMEKUUMA JINYONGE AMA MEZA WEMBE UKAFIE MBALI.
 
Kwa hiyo umeona hii ndo social problem tuliyo nayo kwa sasa au?

Ndo nyie badala ya kujitahidi kuondoa ujinga, umasikini na maradhi mnatumia resources za nchi kuua vyama vya upinzani, hivi upinzani ndo tatizo nchi hii?

Haya sema leo jeshi liseme hakuna kutumia neno kamanda, je hao makamanda wa vijana wa ccm mtawaitaje? upuuzi mtupu.
 
Habari wadau!
Nina wazo km mkuu wa wajeshi ya ulinzi na usalama Tanzania atapenda naomba alichukue.

Kuna hawa watu ukipita pita Jf na kwengine wanajiita makamanda ,kama mabaharia wa meli juzi walitoa tamko kuhusu jina lao la baharia kutumika vibaya na wahuni wakakataza tabia ya watu kujiita mabaharia wakati hawajapitia mafunzo ya kibaharia.

Hivyo hivyo naomba jeshi litoe tamko kuhusu hawa wanaojiita makamanda huko mitaani na kwenye mitandao.

Binafsi sijapitia depo lolote ila ninavyojua shughuri ya mtu mpaka kufikia cheo cha ukamanda sio shughuri ndogo,kwa hiyo ili cheo kiheshimike jeshi litoe tamko kama mabaharia walivyotoa tamko.

Ila mm nawaza tu jamaani kama ni wazo zuri basi tamko litolewe mara moja.

Binafsi nakelekaga ninapokuta mafundi ambao hawana hata cheti ya veta wanajiita ma engineer wakati watu wanakaa miaka minne shule plus carry overs unaweza ukakaa miaka sita ndio waitwe angalau graduate engineer bado mitatu ya ERB hapo inakuwa saba au tisa ukijumlisha na hile ya mtaani mitatu inakuwa 10 au 12 tuheshimu vyeo vya watu jamani.

Tamko tafadhali...
Tuanzie hapa kwanza nini maana ya kamanda mtoa hoja?
Je kamanda ni cheo gani jeshini mpaka kumshauri CDF atoe tamko?
 
A commander is the third-highest rank in the force, above the rank of captain and below deputy chief.
 
Habari wadau!
Nina wazo km mkuu wa wajeshi ya ulinzi na usalama Tanzania atapenda naomba alichukue.

Kuna hawa watu ukipita pita Jf na kwengine wanajiita makamanda ,kama mabaharia wa meli juzi walitoa tamko kuhusu jina lao la baharia kutumika vibaya na wahuni wakakataza tabia ya watu kujiita mabaharia wakati hawajapitia mafunzo ya kibaharia.

Hivyo hivyo naomba jeshi litoe tamko kuhusu hawa wanaojiita makamanda huko mitaani na kwenye mitandao.

Binafsi sijapitia depo lolote ila ninavyojua shughuri ya mtu mpaka kufikia cheo cha ukamanda sio shughuri ndogo,kwa hiyo ili cheo kiheshimike jeshi litoe tamko kama mabaharia walivyotoa tamko.

Ila mm nawaza tu jamaani kama ni wazo zuri basi tamko litolewe mara moja.

Binafsi nakelekaga ninapokuta mafundi ambao hawana hata cheti ya veta wanajiita ma engineer wakati watu wanakaa miaka minne shule plus carry overs unaweza ukakaa miaka sita ndio waitwe angalau graduate engineer bado mitatu ya ERB hapo inakuwa saba au tisa ukijumlisha na hile ya mtaani mitatu inakuwa 10 au 12 tuheshimu vyeo vya watu jamani.

Tamko tafadhali...
usisahau na hawa wanaojiita Mameja

meja kunta sjui Meja kutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii laana iliyopo kwenye nchi hii cjui malaika gani anayeweza kushuka ili aje aitoe jamani, Hivi kweli changamoooto zooote zilizopo kwenye nchi hii mtu anaona suala la watu kuitana Kamanda tuu???.
Mungu atusaidie saaana,Mimi naona hata hizi chanjo labda zina madhara makubwa kwa binadamu.
 
Kwani kila kamanda ni mwanajeshi wa JWTZ ?
nyie ndo mnaosababisha hata bangi inaonekana mbaya kwa sababu huwa mnaitumia vibaya.
 
A commander is the third-highest rank in the force, above the rank of captain and below deputy chief.
Ok now let's talk according to our army system ambayo tumeugeza mfumo wa UK. Above the rank of captain ni major, the rank that the senior officers are recognized.
Kamanda ni jina linalowakilisha kuongoza maanaake kwamba wote waliochini yako watafuata maelekezo na amri utakazotoa. So raia nao kujiita hivyo aiathiri wala haingilii mfumo wowote wa utendaji kazi kijeshi.
So enjoy being called kamanda bro
 
Back
Top Bottom