JWTZ mpo wapi? Zuieni watu kujiita Makamanda

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau!
Nina wazo km mkuu wa wajeshi ya ulinzi na usalama Tanzania atapenda naomba alichukue.

Kuna hawa watu ukipita pita Jf na kwengine wanajiita makamanda ,kama mabaharia wa meli juzi walitoa tamko kuhusu jina lao la baharia kutumika vibaya na wahuni wakakataza tabia ya watu kujiita mabaharia wakati hawajapitia mafunzo ya kibaharia.

Hivyo hivyo naomba jeshi litoe tamko kuhusu hawa wanaojiita makamanda huko mitaani na kwenye mitandao.

Binafsi sijapitia depo lolote ila ninavyojua shughuri ya mtu mpaka kufikia cheo cha ukamanda sio shughuri ndogo,kwa hiyo ili cheo kiheshimike jeshi litoe tamko kama mabaharia walivyotoa tamko.

Ila mm nawaza tu jamaani kama ni wazo zuri basi tamko litolewe mara moja.

Binafsi nakelekaga ninapokuta mafundi ambao hawana hata cheti ya veta wanajiita ma engineer wakati watu wanakaa miaka minne shule plus carry overs unaweza ukakaa miaka sita ndio waitwe angalau graduate engineer bado mitatu ya ERB hapo inakuwa saba au tisa ukijumlisha na hile ya mtaani mitatu inakuwa 10 au 12 tuheshimu vyeo vya watu jamani.

Tamko tafadhali...
 
Upuuzi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nakelekaga ninapokuta mafundi ambao hawana hata cheti ya veta wanajiita ma engineer wakati watu wanakaa miaka minne shule plus carry overs unaweza ukakaa miaka sita ndio waitwe angalau graduate engineer bado mitatu ya ERB hapo inakuwa saba au tisa ukijumlisha na hile ya mtaani mitatu inakuwa 10 au 12 tuheshimu vyeo vya watu jamani.
Kwa hiyo wewe ni "Engineer"..., mbona hujaweka hapo?

Injinia wa ajabu sana tunao siku hizi kwa kuwa na mawazo ya aina hii!
 
Boss TheDreamer Thebeliever Na wanaojiita au wanaitwa ... Rais wa ... FM Academia ... Rais wa TLS je ??? !!!

Wanaojiita Comrade je ??? !!!

Back
Top Bottom