JWTZ mpo wapi? Zuieni watu kujiita Makamanda

Habari wadau!
Nina wazo km mkuu wa wajeshi ya ulinzi na usalama Tanzania atapenda naomba alichukue.

Kuna hawa watu ukipita pita Jf na kwengine wanajiita makamanda ,kama mabaharia wa meli juzi walitoa tamko kuhusu jina lao la baharia kutumika vibaya na wahuni wakakataza tabia ya watu kujiita mabaharia wakati hawajapitia mafunzo ya kibaharia.

Hivyo hivyo naomba jeshi litoe tamko kuhusu hawa wanaojiita makamanda huko mitaani na kwenye mitandao.

Binafsi sijapitia depo lolote ila ninavyojua shughuri ya mtu mpaka kufikia cheo cha ukamanda sio shughuri ndogo,kwa hiyo ili cheo kiheshimike jeshi litoe tamko kama mabaharia walivyotoa tamko.

Ila mm nawaza tu jamaani kama ni wazo zuri basi tamko litolewe mara moja.

Binafsi nakelekaga ninapokuta mafundi ambao hawana hata cheti ya veta wanajiita ma engineer wakati watu wanakaa miaka minne shule plus carry overs unaweza ukakaa miaka sita ndio waitwe angalau graduate engineer bado mitatu ya ERB hapo inakuwa saba au tisa ukijumlisha na hile ya mtaani mitatu inakuwa 10 au 12 tuheshimu vyeo vya watu jamani.

Tamko tafadhali...

You are very stupid.🐃🖕🐷
 
Ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neenda ukachunguzwe afya ya akili
 
Acha ushamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasheria waje watupe ufafanuzi wa kisheria,binafsi naamini ni kosa la jinai kujipa cheo cha mtu au kujipa jina la mtu mwingine .Waje watukumbushe hicho kifungu cha sheria bila shaka kitakuwa kwenye makosa ya kuujumu uchumi,bado nawaza jamaani. 😎 😎 😎
 
TheDreamer Thebelievutafute tafsiri rasmi ya neno kandaost: 34455809 said:
Habari wadau!
Nina wazo km mkuu wa wajeshi ya ulinzi na usalama Tanzania atapenda naomba alichukue.

Kuna hawa watu ukipita pita Jf na kwengine wanajiita makamanda ,kama mabaharia wa meli juzi walitoa tamko kuhusu jina lao la baharia kutumika vibaya na wahuni wakakataza tabia ya watu kujiita mabaharia wakati hawajapitia mafunzo ya kibaharia.

Hivyo hivyo naomba jeshi litoe tamko kuhusu hawa wanaojiita makamanda huko mitaani na kwenye mitandao.

Binafsi sijapitia depo lolote ila ninavyojua shughuri ya mtu mpaka kufikia cheo cha ukamanda sio shughuri ndogo,kwa hiyo ili cheo kiheshimike jeshi litoe tamko kama mabaharia walivyotoa tamko.

Ila mm nawaza tu jamaani kama ni wazo zuri basi tamko litolewe mara moja.

Binafsi nakelekaga ninapokuta mafundi ambao hawana hata cheti ya veta wanajiita ma engineer wakati watu wanakaa miaka minne shule plus carry overs unaweza ukakaa miaka sita ndio waitwe angalau graduate engineer bado mitatu ya ERB hapo inakuwa saba au tisa ukijumlisha na hile ya mtaani mitatu inakuwa 10 au 12 tuheshimu vyeo vya watu jamani.

Tamko tafadhali...
Chukua kamusi kama unayo na utafu
 
Matatizo ya kula mbele na nyuma haya..mtoto akizaliwa yale mavi yanaingia kichwan na matatizo yanakuwa hivi
 
Back
Top Bottom