fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,997
- 24,803
Kumbe hili ndilo lilikuwa lengo lako.? 😂😂Itapunguza kundi la wahuni wanaozurura mitandaoni kuitukana serikali huku wakijiita makamanda (uchwara).
Poor reasoning
Kumbe hili ndilo lilikuwa lengo lako.? 😂😂Itapunguza kundi la wahuni wanaozurura mitandaoni kuitukana serikali huku wakijiita makamanda (uchwara).
TLS yule ana hati miliki mpaka mheshimiwa rais anamjua,huyu mwenzangu na mm wa pale kwa kwa Mtogole anayejiita kamanda humu ndani hayo mafunzo kayapatia wapi?Boss TheDreamer Thebeliever Na wanaojiita au wanaitwa ... Rais wa ... FM Academia ... Rais wa TLS je ??? !!!
Wanaojiita Comrade je ??? !!!
Bora mkuu umjibu huyu jamaa. Nilijua ana jaribu kujenga hoja yenye mashiko kumbe kinachomuuma ni wanna CDM kujiita makamanda!!Kwani kila kamanda ni mwanajeshi wa JWTZ ?
nyie ndo mnaosababisha hata bangi inaonekana mbaya kwa sababu huwa mnaitumia vibaya.
Wewe una ushaidi wa watu kibao waliochukuliwa hatua za kisheria kwa kujipa vyeo vya udaktari ( daktari feki) kwa nini hawa makamanda feki nao wasifute mkondo wa madktari feki??Ok now let's talk according to our army system ambayo tumeugeza mfumo wa UK. Above the rank of captain ni major, the rank that the senior officers are recognized.
Kamanda ni jina linalowakilisha kuongoza maanaake kwamba wote waliochini yako watafuata maelekezo na amri utakazotoa. So raia nao kujiita hivyo aiathiri wala haingilii mfumo wowote wa utendaji kazi kijeshi.
So enjoy being called kamanda bro
Haha aliyejiita kamanda alikutwa na uniform za JW mpaka achukuliwe hatua za kisheria?Wewe una ushaidi wa watu kibao waliochukuliwa hatua za kisheria kwa kujipa vyeo vya udaktari ( daktari feki) kwa nini hawa makamanda feki nao wasifute mkondo wa madktari feki??
Wakimaliza hapo, waje na kwawale wanaojiita rais wa...Habari wadau!
Nina wazo km mkuu wa wajeshi ya ulinzi na usalama Tanzania atapenda naomba alichukue.
Kuna hawa watu ukipita pita Jf na kwengine wanajiita makamanda ,kama mabaharia wa meli juzi walitoa tamko kuhusu jina lao la baharia kutumika vibaya na wahuni wakakataza tabia ya watu kujiita mabaharia wakati hawajapitia mafunzo ya kibaharia.
Hivyo hivyo naomba jeshi litoe tamko kuhusu hawa wanaojiita makamanda huko mitaani na kwenye mitandao.
Binafsi sijapitia depo lolote ila ninavyojua shughuri ya mtu mpaka kufikia cheo cha ukamanda sio shughuri ndogo,kwa hiyo ili cheo kiheshimike jeshi litoe tamko kama mabaharia walivyotoa tamko.
Ila mm nawaza tu jamaani kama ni wazo zuri basi tamko litolewe mara moja.
Binafsi nakelekaga ninapokuta mafundi ambao hawana hata cheti ya veta wanajiita ma engineer wakati watu wanakaa miaka minne shule plus carry overs unaweza ukakaa miaka sita ndio waitwe angalau graduate engineer bado mitatu ya ERB hapo inakuwa saba au tisa ukijumlisha na hile ya mtaani mitatu inakuwa 10 au 12 tuheshimu vyeo vya watu jamani.
Tamko tafadhali...
Usijali kaka watakufata PM watoto washajuha kwamba ww ni official kamanda ..
Kuna nyimbo watunzi huwa na maana zaidi ya wanavyoimba. Kama yule aliyeimba K ni K alimaanisha pakubwa.TLS i
TLS yule ana hati miliki mpaka mheshimiwa rais anamjua,huyu mwenzangu na mm wa pale kwa kwa Mtogole anayejiita kamanda humu ndani hayo mafunzo kayapatia wapi?
Ni kosa kisheria kujipa cheo au jina ambalo si lako.
A commander is the third-highest rank in the force, above the rank of captain and below deputy chief.
Abunowasi.Habari wadau!