JWTZ mpo wapi? Zuieni watu kujiita Makamanda

Unadhani Jeshi linaendeshwa kwa mihemko eeenh, yani wewe kwa mawazo haya ndio umshauri CDF na watu wake? dah kujipendekeza kwingine ni noma sana yani unajipendekeza mpaka unajishtukia mpaka yule unayejipendekeza kwake anona aibu,
 
Kuna wale madaktari wa kwenye tamthilia wanapima hadi wagonjwa wodini, kule hospitalini ukishavaa koti jeupe hata kama ni certificate holder unaitwa dokta, kwa hiyo lisikusumbue sana..
 
Mbona nyinyiemu mnakaa tu hapo Lumumba huku mna lipwa buku 7 wakati mafisii wenzenu yamehamishiwa mbuga ya burigi hayajawahi lipwa hata buku 1
 
Ushauri wa bure usitembee na silaha yoyote Iwe Kisu ama wembe wala kuvisogelea!!UNA DALILI ZOTE ZA UWENDA WAZIMU HATARISHI!!!
 
Yaani baada ya kutojiita makamanda automatically kiwango cha maisha ya watu kitakuwa,uchumi utaongezeka,utawala bora, maji safi,siasa za kiungwana,huduma bora za afya,maji yatapatikana nchi nzima,elimu itaboreka sana,umeme utafika sehemu zote na miundombinu itaimarika? Kwanini watu mmeamua kuwa wachawi mchana? Kwanini roho mbaya zimetutawala?
 
Habari wadau!
Nina wazo km mkuu wa wajeshi ya ulinzi na usalama Tanzania atapenda naomba alichukue.

Kuna hawa watu ukipita pita Jf na kwengine wanajiita makamanda ,kama mabaharia wa meli juzi walitoa tamko kuhusu jina lao la baharia kutumika vibaya na wahuni wakakataza tabia ya watu kujiita mabaharia wakati hawajapitia mafunzo ya kibaharia.

Hivyo hivyo naomba jeshi litoe tamko kuhusu hawa wanaojiita makamanda huko mitaani na kwenye mitandao.

Binafsi sijapitia depo lolote ila ninavyojua shughuri ya mtu mpaka kufikia cheo cha ukamanda sio shughuri ndogo,kwa hiyo ili cheo kiheshimike jeshi litoe tamko kama mabaharia walivyotoa tamko.

Ila mm nawaza tu jamaani kama ni wazo zuri basi tamko litolewe mara moja.

Binafsi nakelekaga ninapokuta mafundi ambao hawana hata cheti ya veta wanajiita ma engineer wakati watu wanakaa miaka minne shule plus carry overs unaweza ukakaa miaka sita ndio waitwe angalau graduate engineer bado mitatu ya ERB hapo inakuwa saba au tisa ukijumlisha na hile ya mtaani mitatu inakuwa 10 au 12 tuheshimu vyeo vya watu jamani.

Tamko tafadhali...
Sawa kamanda ujumbe utafanyiwa kazi
 
Huyu ni mwanajeshi ??.

Jeshi la wananchi JWTZ ,lilipokuwa likirekebisha Daraja huko Handeni.  Ila jambo ( 360 X 640 ).jpg

Au wewe sisi kujiita Kamanda ndilo pekee linakuuma ?, shwaini.
 
Back
Top Bottom