Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,333
- 3,896
wasomi walikuwa wanafungwa kamba viunoni wanaburuzwa mstari wa mbele na ma koplo kwenye vita ya kagera, digrii yako ya sheria ipeleke polisi
mkuu denoo49 acha utani.yaani pamoja na backup ya maelezo mazuri toka kwa mabingwa kama Moshe Dayan unasikia harufu ya kiroba?!yani toka nimeanza kusoma huu uzi na michango ya wadau humu ndani nahisi harufu za "viroba" tu.
mkuu denoo49 acha utani.yaani pamoja na backup ya maelezo mazuri toka kwa mabingwa kama Moshe Dayan unasikia harufu ya kiroba?!
yah na kama sikosei huyu atakuwa ni field marshal.:evil:Huenda yeye ni mwelewa zaidi wa masuala ya kijeshi
Sina uhakika na madai yako; ila ninajua kuwa kwa muda mrefu sana aliyekuwa mkuu wa Nyumbu pale (General Mashauri) ni rafiki yangu wa siku nyingi sana tuliyejuana tangu akiwa Luteni wa Jeshi akiwa anasomea Masters in Mechanical Engineering huko Ireland; huyu ni msomi aliyeiva sana Mechanical Engineering. Nawafahamu wakuu kadhaa a hospitali ya Lugalo walipita, wote ni wasomi wa hali juu sana katika nyanja zao ama wakiwa MD au wakiwa na specialist degrees. Vile vile ninawafahamu makamanda kadhaa wa vita ya ardhini (Army) niliosoma nao shule za sekondari ambao wana elimu za juu sana za masters na zaidi ya hapo walizopata sehemu mbalimbali za dunia kama Canada, Egypt, UK, USA, South Africa na China.
Nadhani madai yako uliyoweka hapo juu siyo concrete sana, labda kama unamjua mtu mmoja tu ndani ya TPDF anayefanya unayodai, ila siyo kweli kuwa JWTZ yetu ya leo ni kama ile ya mwaka 1964 ambayo haikuwa na wasomi.
Ni Shilingi kadhaaHvi mshahara wa mtu mwenye shahada jeshni ni sh ngapi?
Ukiangalia mfumo mzima wa ajira utabaini yafuatayo
1. Waalimu waliopo vyuoni 90% ni kikwazo kwa wasomi wengi wanaojiunga na jeshi hilo, akitokea mwanafunzi mwenye elimu kubwa hata Phd watafanya kila mbinu wamfukuze kwa kisingizio cha utovu wa nidhamu au watacomment kuwa kafeli.
2. Trainning zao hazija base kutafuta vipaji vya kweli katika nyanja muhimu kitaifa, kama vile madaktari, Eng, nk. Mfano Nyumbu mpaka leo wameshindwa kuifanya iwe ya kizalishaji toka enzi za mwalimu. Lugalo mpaka leo hawana hata blood bank sababu wanasayansi tiba hawapo ndio maana wanashindwa kukabiliana na migomo ya MH, sababu huko wengi 80% ni AMO na CO.
3. TMA ni kikwazo kikubwa sana katika kuwapata wasomi wazuri ndani ya jeshi hilo, elimu ya rasilimali watu kwa waalimu inawezekana ikawa ni issue. So they are trying to reduce the number of students kwa visingizio vya nidhamu ambayo ukifuatilia kiundani sio nidhamu as such but ni kutojua ubaya wakumfundisha mtu at certain level na kumwachisha mafunzo. HILO N BOMU BAADAYE.
4. Mazingira dhaifu kuwawezesha wenye vipaji kubuni kwa uhuru na kutumia taaluma zao, kufanya tafiti chanya maeneo yao ya kazi, mpaka leo hatujaziona.
5. Officer aliyetokea uraiani moja kwa moja I mean those who have got a little knowledge kuwa mkufunzi, atafundisha nini kama sio kupika majungu na kukosa comfidence?
Hayo machache yaliyobainishwa hapo juu ni chanzo kikubwa cha jeshi letu kuwa kama lilivyo hivi leo.
Nina masters ya Law ( LLB) na natarajia kujiunga na JWTZ mwakani.
Duh yaani we Mbayaaaaaa..kumbe siku hizi Masters of Law ni LLB??? na LLM itakuwa ndio Bachelor of Laws eti!!! we hatareeeee, duh, hakika we ni Mkalleeeeeee
Thanks much Yericko Nyerere Moshe Dayan Mtumishi Wetu na wadau wengine kwa maelezo murua kabisa juu ya JWTZ.
Bila shaka tuna kila sababu ya kujivunia jeshi letu. Kama wasemavyo wazaramo, kazi ya jeshi kugangamala, wasomi mgangamale basi msitafute slope hata katika kazi adhimu kama ya jeshi.
Unaingia Jeshi halafu unawaza hela?pole.Hvi mshahara wa mtu mwenye shahada jeshni ni sh ngapi?
Hvi mshahara wa mtu mwenye shahada jeshni ni sh ngapi?