Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Wakenya naona mpo hoi hebu tupate wadhamini kidogo
Wakenya naona mpo hoi hebu tupate wadhamini kidogoView attachment 1108828
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa watu ni washamba kweli kweli. Kwani wanaenda vita ama boxing game?Hao wawili ni sawa na KDF 100View attachment 1108799
NYS[emoji16][emoji16]Huyo mmoja hapo ni sawa na KDF soldiers 250View attachment 1108808
Hawa ndio wale wa kukatwa na panga?Hao wawili ni sawa na KDF 100View attachment 1108799
NYS[emoji16][emoji16][emoji23]Wakenya naona mpo hoi hebu tupate wadhamini kidogoView attachment 1108828
Hii ni training ya kitoto sana. Wanafaa walinganishwe na NYS.
Bure kabisa[emoji16][emoji16][emoji41]Huyo mmoja hapo ni sawa na KDF soldiers 250View attachment 1108808
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa watu ni washamba kweli kweli. Kwani wanaenda vita ama boxing game?
Hawa ndio wale wa kukatwa na panga?
NYS[emoji16][emoji16][emoji23]View attachment 1108862
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...NYSHuyo mmoja hapo ni sawa na KDF soldiers 250View attachment 1108808
Huyo mmoja hapo ni sawa na KDF soldiers 250View attachment 1108808
Ushamba mwingine bana. Yaani mambo sipo kama haya ndio huwa wanayatumia kuwahadaa kwamba wao ndio majogoo? Tukitumia vigezo hivi hivi ina maana hata NYS ya Kenya ni zaidi ya JWTZ. Alafu National Youth Service(NYS) sio KDF wala Kenya Police, yaani hawa ndio vijana ambao hapo baadaye huwa wanajiunga na KDF, Kenya Police, AP(Polisi wa Utawala), KPS(Kenya Prisons Service) au KWS(Kenya Wildlife Service).
Mazee mko na uhaba wa machine gun mpk kdf wanabeba spadeNYS[emoji16][emoji16]View attachment 1108860
Hao ni NYS vijana wa kazi ya mikono[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Mazee mko na uhaba wa machine gun mpk kdf wanabeba spade
Mavaazi tu [emoji16][emoji16]
Iko chini ya serikali? Wameidhalilisha serikali yenuHao ni NYS vijana wa kazi ya mikono[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]