Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Jwtz kwenye majukumu ya UN
Sasa mwenye ako na bazuka utamwendea kwa mkono ati juu umeivia boxing? [emoji23][emoji23][emoji23]Kuku ww mtu unapokuwa umeishiwa silaha maybe wafaa tumia martial law km hyo kuipata kwa adui yako ndio maana alshabaab wanawakeketa nje ndan
NYS sio KDFMazee mko na uhaba wa machine gun mpk kdf wanabeba spade
Huyo jamaa amedelete that pic because of your critic [emoji23][emoji23][emoji23]Ushamba mwingine bana. Yaani mambo sipo hivi ndio huwa wanatumia kuwahadaa kwamba wao ndio majogoo? Tukitumia vigezo hivyo hivyo hata NYS ya Kenya ni zaidi ya JWTZ. Alafu National Youth Service(NYS) hata sio KDF wala Kenya Police, yaani hawa ndio vijana ambao hapo baadaye huwa wanajiunga na KDF.![]()
NYS mambo mbaya [emoji1787][emoji1787]
NYS hadi raha [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1108890
Mavaazi tu [emoji16][emoji16]View attachment 1108882
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...NYSView attachment 1108871
Hii sasa ni uniform gani?[emoji16][emoji16]Dah huu utumbo ndio ufananishe na jkt asee
Hahaha! 😀 Watu wanajivunia kwamba wanajeshi wao wanavunja matofali, ila silaha modern na vifaa vya kivita vya Kenya ni show off. Wabongo bana. [emoji38]Huyo jamaa amedelete that pic because of your critic [emoji23][emoji23][emoji23]
Boss hakuna mtu ambaye huwa ame'kaukiwa' na 'kurarukiwa' kama mfanyakazi wa umma Tz. Magwanda ya JWTZ na jeshi la polisi huwa yameisha yameparapara, wengine hawana boots huwa wanavaa gumboots za mvua. Alafu sura ndio usiseme, yaani jamaa huwa wamekata tamaa kabisa na hali zao za kikazi. Kila wakati wamenuna zaidi ya mabushmen jangwani wakiwinda nungunungu.KK security wanavaa vizuri kuliko polisi wenu[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1108917View attachment 1108919
Hehehe amezitoa mbio [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha! 😀 Watu wanajivunia kwamba wanajeshi wao wanavunja matofali, ila silaha modern na vifaa vya kivita vya Kenya ni show off. Wabongo bana. [emoji38]
Ahlan wasahlanEti huyu naye ni mkenya!!! Yaani Kenya ukikosa lishe tu wanakugeuza kuwa comedian.
#Njugush.
#E. Omondi. View attachment 1108903
Boss hakuna mtu ambaye huwa ame'kaukiwa' na 'kurarukiwa' kama mfanyakazi wa umma Tz. Magwanda ya JWTZ na jeshi la polisi huwa yameisha yameparapara, wengind hawana boots wanavaa gumboot za mvua. Alafu sura ndio usiseme, yaani jamaa huwa wamekata tamaa kama mabushmen wakiwinda nungunungu.