Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,581
Dah kwahyo bbc walotangaza turkana kuna njaa ndio watz au bbc walotangaxa kenya mmevamiwa westgate mall ni watz we kweli.kuku
nyuzi za aina hii ni watanzania wenzako wanazifungua kwa nia ya ku ikejeli Jeshi la kenya na kujilinganisha na kenya.Lakini wakishindwa kujilinganisha au kutetea hoja zao wanasema wakenya wanapenda show off.