JWTZ ina vikosi vingapi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kingai alaaniwe na kizaz chake makomando wetu wamelia kama watoto mbele ya kingai

mnapenda sana utani na kingai.

yeye anasema hakuhusika kabisa na hiyo adhabu wanamsingizia[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Umetisha sana mkuu kwaio kumbe unaweza kwenda kiwanja ukakuta jamaa tozi tozi kaachia uchebe anakula vyombo nje kapaki crown mpyaa kumbe komando aiseee [emoji3]
 
Kwa sisi ambao hatufuatilii inakuwaje?
Fungua nyuzi za kesi ya mbowe ziko nying tu.
Ila kwakifupi Huyo afande kingai na afande mahita na afande jumanne waliwakamata makomandoo wa jwtz wamewashushia kichapo kikali na mateso y hali ya juu mpaka hawan hamu nao.kipigo kipigo heavy na wamepew keai wakaswekwa rumande
 
mnapenda sana utani na kingai.

yeye anasema hakuhusika kabisa na hiyo adhabu wanamsingizia[emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa kuna uzi niliona unashangaa wanajeshi kufuga ndevu kisa yule wa Guinea kafuga ndevu soma huko juu. Mwanajeshi wa Special Forces anaruhusiwa kufuga ndevu.

Na kumbuka yule Mamady Doumbouya ni Mwanajeshi wa Special Forces. Naonaga comments zako unavyowapondeaga wanajeshi inaonesha una chuki nao sana kuliko kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…