William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Wewe naona umeshindwa kujitetea! Sasa unarukia hoja za watu tu. Zijibu basi hoja zangu kama kweli ni "nyepesi, nyepesi".
Siwezi kujibu hoja ambazo hazipo, wewe hapa huna hoja ila hoja ilikuwa ni ya Mwanakijiji, aliyesema kuwa Katoliki ina mahalkama zake! ndio poiint ya msingi pale sio anything else!
Ndio Vatican na Catholic Church viko joined at the hip, lakini kusema vatican ina mahakama ni tofauti na kusema Kanisa lina mahakama.
Kwazna ufafanue Vatican ni nini na Katholic ni nini?
Marekani ina mahakama, je sheria za mahakama hiyo zinaweza kukugusa mtanzania ambaye upo nchini mwako? Na zaidi ya hilo tunatoa kodi yetu kuendesha hiyo mahakama? Hapana.
Ndio maana Mwanakijiji, akasema kuwa ina mahakama zake, sio za dunia wala zetu, vipi una matatizo ya kuelewa maana ya maneno, "zake" huelewi maana yake ni nini?
Basicly hiyo point ya vatican kuwa na mahakama ni irrelevant kwenye sababu za kuanzisha mahakama ya kadhi.
Only kwa mtu mwenye uwezo mdogo wa kuelewa, lakini kwa mwenye uwezo mkubwa, ni kitu kidogo sana yaani kuanzishwa kwa mahakama hizo za Kadhi bila kelele, hakukuwa na asababu ya kupiga kelele mpaka bungeni!