Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

kaka naomba uelewe mahakama ya kadhi ni haki kamili ya waislamu. Walioshinikiza serikali kuondoa kodi katika ngos walikuwa maaskofu na serikali ikasalimu amri na kuondoa kodi katika institution za kidini na sisi tutaishinikiza serikali itupe mahakama ya kadhi.

Ama kuhusu kugharimiwa mahakama ya kadhi itagharimiwa kwa pesa ya serikali kwani waislamu pia tunalipa kodi serikalini hivyo basi na hela zetu zijulikane zinaenda wapi serikalini na sio kutufanya sio watu hatuelewi kinachoendelea. Ikishindakana basi tusiione serikali ikitoa michango katika shule za seminari, hospitali za seminari eti kwa kisingizio cha kusambaza huduma ya jamii. Mnasambaza huduma ya jamii wakati vilevile mnaenezo neno, mnatoa kazi kwa wakristo kufanya kazi katika hizo institution this is total unfair na waislamu hatutakubali iendelee.

Kwamba maaskofu waliishinikiza serikali na ikasalimu amri ya kurejesha msamaha wa kodi kwa mashirika ya dini na NGOs Good! waliifanya kazi yao kikamilifu kumbuka suala hili kwa hakika watanzania wote bila kujali tofauti zetu zozote ziwazo, Na kwamba ni kazi ya mashekhe kwa niaba ya waislamu wote kuhakikisha kuwa tunapata mahakama ya kadhi hilo halina mjadala. Ila kulinganisha hoja ya kurejesha misamaha ya kodi na kunazishwa kwa mahakama ya kadhi aah mi hapo sijakuelewa.

Hili la kodi za waislamu zinakokwenda sina hakika kama TRA inafanya kazi ya kibaguzi namna hiyo. Wala sina shida ya kuhangaika juu ya hilo, wasiwasi wangu ni kwamba iko siku utauliza fedha za kodi ya watu wa kabila lako zinaenda wapi, baadae ukoo wako n.k. Kaka unakoenda sio kuzuri tafakari tena hoja yako.
 
Mmh! hadi hofu inaniingia...hii mahakama ya kadhi itataka mahabusu zao, askari (jeshi lao) na zana za kijeshi, n.k kwa gharama za serikali? Tunakoelekea kubaya.
Kuna mengi yamejificha ndani ya hii mahakama ya kadhi...
Na wengi wanaotaka hii mahakama ya kadhi ni wanaume wa kiislamu na si wanawake, kamwe!!!
Naipinga kwa nguvu zote.
Mwenyezi Mungu atuepushe na balaa hili.
poor argument, afadhali ungeacha kuchangia maana uelewa wako mdogo sana kuhusu jambo hili
 
kwani nani alisema kuwa sheria za Nchi haziwatendei haki Waislamu mpaka wahitaji kuwa na mahakama yao, halafu mbona waislamu wanapenda kulalamika sana yaani kial jambo wao hawatendewi haki, mbona wakristo hawajadai mahakama yao? sasa kwenye nchi kila dini ikianza kudai mahakama yao nchi itakuwa inaendeshwa na katiba ipi, tuita nchi yenye mlengo upi? wa kikridsto au kiislamu? ebu nijibuni kwanza hilo swali halafu tuendlee, tusiwe kama bendera fuata upepo, eti kwa sababu kenya hiyo mahakama ipo basi na sisi tuwe nayo, unafikiri kwanini Mwalimu Nyerere aliivunja hiyo mahakama baada ya Tanzania kuwa huru? halafu mtu kama Lipumba msomi mzima eti anataka mhakama ya Kadhi, yaani mtu unabaki kumshangaa-------what is wrong with udaku politician????? if he ain't nothing to tell Tanzanian better he stays calm.
Mimi naomba watu wajiulize kwanini hiyo mahakama ilivunjwa mwanzo and then tuendelee na hoja.
rom
 
i hate these null and poor ideological minds, watanzania badala ya kufikiria jinsi ya kujikwamua na umaskini people are busy discussing mahakama ya kadhi, hey people please set your minds on how to work out and prosecute all EPA ROBERS, these matterrs are more crucial kuliko mahakama ya kadhi----tusiwe kama kasuku ambaye after a reply ukimwambia rudia naye anasema rudia---------pleeeeeeeeeease.
 
halafu huyu Waziri mkuuu ananiudhi----------tell these guys kuwa hakuna mahakama ya kadhi period!
 
kwani nani alisema kuwa sheria za Nchi haziwatendei haki Waislamu mpaka wahitaji kuwa na mahakama yao, halafu mbona waislamu wanapenda kulalamika sana yaani kial jambo wao hawatendewi haki, mbona wakristo hawajadai mahakama yao? sasa kwenye nchi kila dini ikianza kudai mahakama yao nchi itakuwa inaendeshwa na katiba ipi, tuita nchi yenye mlengo upi? wa kikridsto au kiislamu? ebu nijibuni kwanza hilo swali halafu tuendlee, tusiwe kama bendera fuata upepo, eti kwa sababu kenya hiyo mahakama ipo basi na sisi tuwe nayo, unafikiri kwanini Mwalimu Nyerere aliivunja hiyo mahakama baada ya Tanzania kuwa huru? halafu mtu kama Lipumba msomi mzima eti anataka mhakama ya Kadhi, yaani mtu unabaki kumshangaa-------what is wrong with udaku politician????? if he ain't nothing to tell Tanzanian better he stays calm.
Mimi naomba watu wajiulize kwanini hiyo mahakama ilivunjwa mwanzo and then tuendelee na hoja.
rom
Wanaolalamika hapa siyo waislamu ni Wakristo??? waislamu wamepeleka maombi yao serikalini maaskofu wanapinga (wanalalamika kama wewe unavyfanya hapa JF)
Wakristo wanataka mahakama zao well and good wapeleke maombi serikalini kama utaona waislamu wakilalamika "NO way" hatuna wivu wa kijinga???
Serikali inachotakiwa kufanya ni kusema "Anzisheni mahakama zenu, serikalin haina uwezo wa kulipia" lakini nafahamu hawawezi kusema hivyo kwasababu ambazo wanajua wenyewe (Usalama na NK) hebu watoe hiyo ruhusu kama waislamu watashindwa kuendesha wenyewe! That simple wakristo sijui kitu gani kigumu hapa? hasa maaskofu wana wa mis-lead sana waumini.
 
To be honest with you guys, Jk hapendi lawama kama za kadhi na kuonekana mdini but ukweli unabaki pale pale kuwa Jk ni kwamba Jk anacheza politics zake hapa na pia tazameni trend ni kwamba masuala ya kuongelewa apewe pinda na pia ni kwanini wawe waislamu pekee yao katika masuala ya Taifa kama haya ya watu wote?? Je ni kwanini kama ni Jambo la Taifa liwahusu wao mwenyewe??
 
Of course JK ameshakuwa in-decisive President itam cost sana lakini itabidi waibe kura sana 2010 ili washinde vinginevyo he is gone be one -term president
 
Mnachoongea ni jiografia ya ukatoliki! Vatican si Nchi! Hiyo ni propaganda ya kiteolojia ndani ya ukristo. Italia ndiyo nchi. Msilete Dogma! Ubalozi wa Vaticani ni crusade. Mjisomeshe msisomeshwe! Neno Ibada limetoholewa kutoka lugha ya Kiarabu .Tafuteni maana na istilahi yake.Sio kukalia benchi.
 
nadhani wanaotaka kadhi wala hawajui kwanza italeta tofauti gani na hali ilivyo sasa! igharamikiwe na na nani? secondly nitalipaje kodo yangu kama mkristo kuendesha mradi usio kuwa na tija kwa taifa? waislam wakae chini waianzishe kama vile NGO waombe misaada na michango ya waumini, sio kushirikisha nchi kwa masuala ya dini, je kila mtu akita nae aanzishe mahakama za kutumia Uyahudi? Kihindi?Kisukuma? tutafika? use common sense
 
Kweli mkuu nashindwa kukuelewa, Kuhusu kodi kwani taasisi za kiislamu hazipati misamaha hii? Nenda TRA ukapate data ndio uje JF? Mbona tulipopewa majengo ya chuo cha TANESCO Morogoro na kuwa chuo kikuu wao wakristo hawakupiga kelele? na hizi taasisi za wenzetu kwani wamepewa na serikali au wanajichanga na kujenga zao?

waislamu tujipange tuje na mikakati madhubuti na tuache kulalamika tu hatutafika. Tujenge utaifa na sio kuendeleza matabaka

Usiwe *****....Wakristo wamepewa Vyuo Vingi tu na Serikali ndo maana hawakupiga kelele Waislam kupewa chuo Kimoja Morogoro....Tafuta au Uliza..ila sitakwambia..!!!

Waulize Wakristo ni Chuo au Hospitali Kipi walijenga kwa Fedha za Mifukoni...?

For your information, Watendaji wengi TRA ni wakristo na wao ndio walioishauri Serikali kuipitia Misamaha ya KODI...Muslims hawanufaiki na chochote ktk Misahama ya KODI.... Pitia TRA na waombe Taasisi zilizopata Misamaha uone....!!!
 
unachemka wewe huna jipya kabisa wala ddata huna kwenda zako ukatafute maisha
 
najutia kwa kulra yangu niliyompa JK kweli kabisa hawezi kuwa na maamuzi kwa nini lakini,nini kemsibu maskini ya mungu anataka kuvunja katiba mchana kweupeeee ili mradi tu wapate kura.
Namuomba ajiangalie hii nchi aliyokabidhiwa ikiwa na amani anaipeleka kwa nini asiwaache waislamu waanzishe mahakama yao wenyewe kama wanavyotaka iwe au kama mafundisho ya imani yao inavyosema kuna kitu gani kinawapelekea kuifanya nchi iwe kwenye mabishano makuu tangu atawale ananishangaza kweli namsikitikia anaweza akawa rahisi asiye maarufu kabisa pindi atakapomaliza kipindi chake kwa kweli
Nyerere ,Uhuru na Kazi
Mwinyi-Ruksa
Mkapa-Ukapa
Jakaya ..............
unatakiwa ujilaumu kuipa CCM kura yako na si personaly JK coz fanya utafiti ujue nani aliiweka Mahakama ya Kadhi kwenye Ilani ya CCM mwaka gani?.
 
kaka naomba uelewe mahakama ya kadhi ni haki kamili ya waislamu. Walioshinikiza serikali kuondoa kodi katika ngos walikuwa maaskofu na serikali ikasalimu amri na kuondoa kodi katika institution za kidini na sisi tutaishinikiza serikali itupe mahakama ya kadhi.

Ama kuhusu kugharimiwa mahakama ya kadhi itagharimiwa kwa pesa ya serikali kwani waislamu pia tunalipa kodi serikalini hivyo basi na hela zetu zijulikane zinaenda wapi serikalini na sio kutufanya sio watu hatuelewi kinachoendelea. Ikishindakana basi tusiione serikali ikitoa michango katika shule za seminari, hospitali za seminari eti kwa kisingizio cha kusambaza huduma ya jamii. Mnasambaza huduma ya jamii wakati vilevile mnaenezo neno, mnatoa kazi kwa wakristo kufanya kazi katika hizo institution this is total unfair na waislamu hatutakubali iendelee.
Mkuu,unajua kule kwetu hospital teule ya wilaya ni ya wakatoliki,ukilinganisha kadhi na huduma za jamii (Hospital) unakosea sana.Vinginevyo hao ndugu zako waislamu walioko Sengerema watatibiwa na nani,kama wakatoliki wataamua kuhudumia kufuatana na imani?
Kadhi ni swala tofauti kabisa huduma za jamii.
 
Poor argument, dogmatized thinking soam ndugu bado sana argument zako ni za kishabiki na uelewa mdogo

There is no constructive argument kutoka kwenu wanyenyekevu inayosaidia au weka uwazi ni kwanini kuwe na hiyo mahakama ya Kimwamedi, zaidi ya kufuata mkumbo wa wamanga mnao wasujudu.

Hubu tuwekeeni sababu ambazo kadhi itafanya/sababisha na/au rahisisha maisha yenu wafuasi wa MAREHEMU MWAMADI.

The only thing I see here is immature thinking kwa wanyenyekevu.

Usiwe *****....Wakristo wamepewa Vyuo Vingi tu na Serikali ndo maana hawakupiga kelele Waislam kupewa chuo Kimoja Morogoro....Tafuta au Uliza..ila sitakwambia..!!!

Waulize Wakristo ni Chuo au Hospitali Kipi walijenga kwa Fedha za Mifukoni...?

For your information, Watendaji wengi TRA ni wakristo na wao ndio walioishauri Serikali kuipitia Misamaha ya KODI...Muslims hawanufaiki na chochote ktk Misahama ya KODI.... Pitia TRA na waombe Taasisi zilizopata Misamaha uone....!!!

Bogus, there is no merits katika reply yako, zaidi ya jazba.
 
Mnachoongea ni jiografia ya ukatoliki! Vatican si Nchi! Hiyo ni propaganda ya kiteolojia ndani ya ukristo. Italia ndiyo nchi. Msilete Dogma! Ubalozi wa Vaticani ni crusade. Mjisomeshe msisomeshwe! Neno Ibada limetoholewa kutoka lugha ya Kiarabu .Tafuteni maana na istilahi yake.Sio kukalia benchi.

Mwingine anayeongozwa na jazba huyu hapa. Sasa Uarabu unaingia vipi hapa, au Uislam ni dini ya Wamanga? Hivi kuna uhusiano wowote kati ya Uislam na Wamanga? Kama neno Ibada linakaribiana na Kiarabu lugha ya allah wenu, who cares. Still having kadh is unethical and malicious kwa taifa.
 
kwani nani alisema kuwa sheria za Nchi haziwatendei haki Waislamu mpaka wahitaji kuwa na mahakama yao, halafu mbona waislamu wanapenda kulalamika sana yaani kial jambo wao hawatendewi haki, mbona wakristo hawajadai mahakama yao? sasa kwenye nchi kila dini ikianza kudai mahakama yao nchi itakuwa inaendeshwa na katiba ipi, tuita nchi yenye mlengo upi? wa kikridsto au kiislamu? ebu nijibuni kwanza hilo swali halafu tuendlee, tusiwe kama bendera fuata upepo, eti kwa sababu kenya hiyo mahakama ipo basi na sisi tuwe nayo, unafikiri kwanini Mwalimu Nyerere aliivunja hiyo mahakama baada ya Tanzania kuwa huru? halafu mtu kama Lipumba msomi mzima eti anataka mhakama ya Kadhi, yaani mtu unabaki kumshangaa-------what is wrong with udaku politician????? if he ain't nothing to tell Tanzanian better he stays calm.
Mimi naomba watu wajiulize kwanini hiyo mahakama ilivunjwa mwanzo and then tuendelee na hoja.
rom
Mkuu mie sio mwanasheria ila naona wengi wanalamika en honestly i don see the reason why kwasababu naona kama ni kuhusu mahakama ya kadhi itakuwa inashughulika na mambo ya ndoa na urithi tu kwa walio waislam na haitajihusisha na KESI YEYOTE YA JINAI. kwasababu kwenye sheria za nchi hakuna sheria inayohusisha mke zaidi ya mmoja na pia ugawanywaji wa mirathi kwenye uislam uko tofauti na wa sheria za nchi.sasa hapa TATIZO LIKO WAPI KWA WASIO WAISLAM? NA PIA mkiongelea hizzo hela za walipa kodi zitakazotumika kuendesha mahakama ya kadhi HELA NGAPI ZIMELIWA KWENYE UFISADI? tena bora hizi zitatumika kwa mambo ya imani kuliko za ufisadi zinatumika kwenye laana za UFUSKA ,kuwadhulumu wengine na kufanya mambo yasiyopendeza kwenye jamiii. TUSEMENI UKWELI JAMANI HAPA TUNAENDEKEZA USHABIKI WA DINI KULIKO UZITO WA JAMBO LENYEWE.
 
Hivi ndivyo itakavyokuwa kwenye mahakama ya kadhi

"Strike off the heads of the disbelievers; and after making a wide slaughter among them, carefully tie up the remaining captives" (Koran 47:4).😕
 
Back
Top Bottom