Nijuavyo mimi hakuna pingamizi lolote la kuanzishwa kwa mahakama ya kazi. Waislamu wanapaswa kuangalia ni jinsi gani wataianzisha mahakama hiyo bila kuingilia mfumo wa uendeshaji nchi. Ni juu ya Waislamu na kamwe halipaswi kuwa suala la serikali.
Wewe unapinga au unaunga mkono.
Waache waanzishe ni haki yao ya mshingi,
Wamesema ni mahakama ambayo wakristo hiwahusu kabisa.
Wakati wa ukoroni waingereza walianzisha hii mahakama sisi ndio tulioifunga bila sababu yoyote
Sidhani kama serikali inavunja katiba ikiruhusu nahakama ya Kadhi, na ata kama, Katiba inaweza kurekebishwa kupisha maendekeo au freedom ya wananchi
Maendeleo ya wananchi yanaweza kuwepo hata kama Mahakama hizo wataziendesha wanaohusika nazo. Si walisema JOHN hawezi kuhukumu kesi ya mwislamu? Kwa nini JOHN huyo huyo agharimie IBADA yenu? Kwani mkishughulikia mambo yenu wenyewe kuna ubaya gani? Freedom ya wananchi ni kufanya mambo yao wenyewe kulingana utaratibu na sio kuingiliwa na serikali. Hiyo Freedom unayoizungumzia ni ipi?
Hakuna evidence inayo onyesha mahakama ya kadhi itavunja amani iliopo Tanzania, sanasana, kuktaliwa mahakma ndio kutavunja amani.
Evidence: Mbona Mahakama za Kadhi hazikuwepo na amani ilikuwepo tena kuliko za jirani zetu popote na sasa hivi amani inazidi kutoweka taratibu anapoingia huyu shetani aitwaye Kadhi?
Evidence za kutosha zinaonyesha Mahakama ya kadhi haijavunja amani popote, mfano, Zanzibari, Kenya, Uganda, UK nakadhalika, zipo mahakama na bado jamii zao zinaishi kwa amani
Evidence: Umesahau Nigeria, Somalia. Halafu ukumbuke kuwa hakuna mtu anayekataa Mahakama za Kadhi, ila ni kwamba Waislamu wenyewe WAIGHARAMIE NA KUIENDESHA kwa kuwa ni IBADA yao.
kaka naomba uelewe mahakama ya kadhi ni haki kamili ya waislamu. Walioshinikiza serikali kuondoa kodi katika ngos walikuwa maaskofu na serikali ikasalimu amri na kuondoa kodi katika institution za kidini na sisi tutaishinikiza serikali itupe mahakama ya kadhi.
Ama kuhusu kugharimiwa mahakama ya kadhi itagharimiwa kwa pesa ya serikali kwani waislamu pia tunalipa kodi serikalini hivyo basi na hela zetu zijulikane zinaenda wapi serikalini na sio kutufanya sio watu hatuelewi kinachoendelea. Ikishindakana basi tusiione serikali ikitoa michango katika shule za seminari, hospitali za seminari eti kwa kisingizio cha kusambaza huduma ya jamii. Mnasambaza huduma ya jamii wakati vilevile mnaenezo neno, mnatoa kazi kwa wakristo kufanya kazi katika hizo institution this is total unfair na waislamu hatutakubali iendelee.

Mbona kuna ubalozi wa Vatican, si tumeurithi toka kwa wakoloni! Ni kwa maslahi ya nani? Kwani umeathiri uislam? Kama siyo, kwa nini Mahakama ya Kadhi iwe Nongwa? Huyo balozi anapowasilisha nyaraka ikulu, kiprotokali mantiki yake ni nini? uhusiano wa serikali na Ukristo au ni mkorogo gani huo? Waacheni na wenzenu wajinome kama nanyi mnavyoingia ikulu kuwasilisha nyaraka za Vatican!
uKISEM MAHAKAMA YA KADHI WAKRISTU WANAKUWA WAOGA SANA NA NDIO WANAKUWA WASEMAJI WAKUU.
PILIPILI YALIWA SHAMBA EE INAKUWASHIA NINI? TUWAACHE WAISLAMU WAPAMBANE NA SERIKALI. WAKRISTU KAENI CHONJO.
KENYA, UGANDA ZIPO VIPI TANZANIA?
Ubalozi wa Vatican hauendeshwi na Serikali yetu, pia Vatican ni serikali kama zilivyo Iran, nchi ya Kiislamu ambayo ina ubalozi Tanzania. Tofauti iliyopo na ubalozi ni kwamba Mahakama ya Kadhi ni ibada ya Waislamu, ambayo waislamu wanataka Serikali iwaendeshee! Hili linahitaji kwenda shule? Wanaogopa nini kuiendesha wenyewe kwa maslahi yao? Kwani uendeshaji wa misikiti na BAKWATA vinaendeshwa na nani?
Nijuavyo mimi hakuna pingamizi lolote la kuanzishwa kwa mahakama ya kazi. Waislamu wanapaswa kuangalia ni jinsi gani wataianzisha mahakama hiyo bila kuingilia mfumo wa uendeshaji nchi. Ni juu ya Waislamu na kamwe halipaswi kuwa suala la serikali.
Poor argument, dogmatized thinking soam ndugu bado sana argument zako ni za kishabiki na uelewa mdogoWajameni, hakuna haja ya kulumba kuhusu hili. Naamini hii mahakama itakuwa inashughulika na kesi za kiislamu kama talaka, mirathi na ugoni.Waacheni waendelee watajaonea faida yake watoto wao watakapohukumiwa kupigwa mawe mpaka kufa pale wanapokamatwa wakingonoka bila ndoa. Kwanza asilimia kubwa ya hawa jamaa jioni wakati wengine wanaenda baa wao huenda guest house hivyo watakapofumaniwa mahakama yao itawahukumu vilivyo na ndipo kutakuwepo kulia na kusaga meno kwa wale ambao siyo vibogoyo. Cha msingi pesa ya serikali isitumike kuajiri masheha au wafanyakazi wa mahakama hiyo hapo ndo tifu litazuka. Vinginevyo waachwe wale pilipili zao ziwawashe wenyewe.