Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 346
duh.. !! hongereni Waislamu kwa kupata mahakama yenu ya kadhi ambayo ilikuwa inazuiliwa na serikali ya CCM. Jambo hili ni la kujivunia kwani mmepata kile ambacho ni sehemu ya ibada yenu. Kutokana na hilo, nina uhakika serikali itaanzisha kodi maalum kwa ajili ya kufadhili mahakama hii (kama nikweli serikali itaigharimia); kodi ambayo Waislamu tu watatozwa. Hii itaondoa mgongano wa mahakama ya dini ya Kiislamu kufadhiliwa na makafir.
a) Tatizo ni kodi? au fedha mkuu naomba nikupe chanzo:
Kwakuwa kesi nyingi za Mirathi na ndoa za waislamu zitapungua kutoka "kwenye mahakama za maintream (taifa) then maana yake ni kwamba cost ambazo mainstream court ilikuwa inapata wanazishift very simple...yaani ni
shame on you (anyway mna haki ya kufikiri
Yap! wasingekuwepo kabisa duniani...neema ingetambaa Tanzania ...Naunga mkono ingekuwa hivyo mbona raha lakini bahati mbaya ni kwamba zinahusu tu mirathi na ndoa labda Maaskofu wakikubali iwe pamoja na kesi za jinai tutashuru inshalaah!Ingekuwa poa kama Mahakama hizo za Kiislamu zihukumu pia criminal offenses, ili kesi zote za aina zote za washtakiwa waislamu zipelekwe huko, ili wezi wao wakatwe mikono, wazinzi wapigwe mawe hadi wafe, wengine wakatwe vichwa...
Ikiwa hivyo ndio itakuwa poa, kwani wataanzwa kukatwa mikono akina Rostam... Mkulu naye je atapona hapo?
Hapo ndio haki yao itatimia. Inshallah...
I'm not a someone's prisoner. However, I believe his intellectual capabilities.
Ingekuwa poa kama Mahakama hizo za Kiislamu zihukumu pia criminal offenses, ili kesi zote za aina zote za washtakiwa waislamu zipelekwe huko, ili wezi wao wakatwe mikono, wazinzi wapigwe mawe hadi wafe, wengine wakatwe vichwa...
Ikiwa hivyo ndio itakuwa poa, kwani wataanzwa kukatwa mikono akina Rostam... Mkulu naye je atapona hapo?
Hapo ndio haki yao itatimia. Inshallah...
Hiyo kidogo miaka 20! kubwa miaka mingapi piga multiplier effect 20*....inshallah itakujaNdio maana mimi sielewi kwanini mahakama za kadhi kwa Tanzania ziwe kwenye masuala ya ndoa, mirathi na wakf? Kama kweli mahakama za kadhi ni sehemu ya ibada ni kwanini zisipendekezwe kujumuisha mambo yote ya maisha ya waislamu? Zihukumu waislamu kama ilivyo Nigeria ya Kaskazini.
Kwa sababu kwa kuchagua kidogo tunazipunja majukumu yake wakati tunajua kabisa kuwa zipo sheria za Kiislamu ambazo zinahusu mambo yote ya maisha ya muumini na zinaweza kutumika kuyaongoza maisha yake.
Nawashaurii Waislamu wasikubali kupewa kitu kidogo; ni bora wadai mahakama ya kadhi ili ishughulikie maisha yao ya kila siku na hivyo basi kukamilisha ibada.
Hiyo kidogo miaka 20! kubwa miaka mingapi piga multiplier effect 20*....inshallah itakuja
Pongezi zako zimekaa kinafiki zaidi kuliko hali halisi ilivyo...!Sasa nisitoe pongezi zangu? au tatizo ni nini kwamba Waislamu hawakustahili mahakama yao ya kadhi?
Ingekuwa poa kama Mahakama hizo za Kiislamu zihukumu pia criminal offenses, ili kesi zote za aina zote za washtakiwa waislamu zipelekwe huko, ili wezi wao wakatwe mikono, wazinzi wapigwe mawe hadi wafe, wengine wakatwe vichwa...
Ikiwa hivyo ndio itakuwa poa, kwani wataanzwa kukatwa mikono akina Rostam... Mkulu naye je atapona hapo?
Hapo ndio haki yao itatimia. Inshallah...
Dini ni process...huwezi kuanza kwa pupa kwanza unaleta impact watu wanakuunga mkono kutokana na impact! hata wakristo wataipenda tuu ngoja ianze ni neemakama inawezekana sasa kwanini isiwe? hauoni kama ni kujinyima haki ya kutimiza dini?
Ndio maana mimi sielewi kwanini mahakama za kadhi kwa Tanzania ziwe kwenye masuala ya ndoa, mirathi na wakf? Kama kweli mahakama za kadhi ni sehemu ya ibada ni kwanini zisipendekezwe kujumuisha mambo yote ya maisha ya waislamu? Zihukumu waislamu kama ilivyo Nigeria ya Kaskazini.
Kwa sababu kwa kuchagua kidogo tunazipunja majukumu yake wakati tunajua kabisa kuwa zipo sheria za Kiislamu ambazo zinahusu mambo yote ya maisha ya muumini na zinaweza kutumika kuyaongoza maisha yake.
Nawashaurii Waislamu wasikubali kupewa kitu kidogo; ni bora wadai mahakama ya kadhi ili ishughulikie maisha yao ya kila siku na hivyo basi kukamilisha ibada.
Pongezi zako zimekaa kinafiki zaidi kuliko hali halisi ilivyo...!
Dini ni process...huwezi kuanza kwa pupa kwanza unaleta impact watu wanakuunga mkono kutokana na impact! hata wakristo wataipenda tuu ngoja ianze ni neema
Kila jamii ina wabaya wake lakini huwezi kulinganisha Saudia na Merakni/UK/France kwa makahaba na sodomy na uchafu mwingine...ambao mungu hapendiPoor you.
Huko Uarabuni kwenyewe nilipata habari siku moja sikuamini. Kuna ma Changudoa kibao, pombe na kila takataka. Kuna hadi ile video ya claric anamrudi mama mmoja na linauliza kama watu wamemuona wakati anaongia. Iliyonimaliza nguvu ni hii habari kwamba "ukiwa rubani m-kristo, basi unapata kazi haraka sana. Jamaa wanakuja kwenye ndege na ma-airhostess, wanachukua kidege chao na kuanza kuzunguka tu angani. Huko angani wanaanza kula maraha na ma airhostess wao. Mafuta yakikaribia kuisha wanatua na au kurudi makwao, au kujaza mafuta na kuendelea na maraha........" Hii kazi Muislam hupewi ng'ooooo.
Nyingine nikasikia kijana alikwenda kusoma Syria. Akaniambia wale makuadi walikuwa wanawaleta watoto wa Kiarabu ma changudoa kwenye madomitory na huko hujifanya kuwa ni kaka na dada na wamekuja kumtembelea jamaa. Pesa zililipwa na jamaa akaendelea na kazi.
Mie nataka nione jinsi hizi mahakama zitakavyokuwa zikichukua hela za kodi kutoka Viwanda vya Bia na Konyagi, kodi ya vilabu vya pombe ya Chimpumu na Tikisa, Wanzuki, nyama za nguruwe na kila pesa ambazo kwa misingi ya dini ya Kiislam ni HARAMU. Mhhh, nasikia huwa tunauza silaha na risasi, na kodi yake jamaa watatia ndani? Ama kweli njaa si mchezo....
Haya majibu mbona yamekaa kihasira hasira zaidi....?Ingekuwa poa kama Mahakama hizo za Kiislamu zihukumu pia criminal offenses, ili kesi zote za aina zote za washtakiwa waislamu zipelekwe huko, ili wezi wao wakatwe mikono, wazinzi wapigwe mawe hadi wafe, wengine wakatwe vichwa...
Ikiwa hivyo ndio itakuwa poa, kwani wataanzwa kukatwa mikono akina Rostam... Mkulu naye je atapona hapo?
Hapo ndio haki yao itatimia. Inshallah...
duh.. !! hongereni Waislamu kwa kupata mahakama yenu ya kadhi ambayo ilikuwa inazuiliwa na serikali ya CCM. Jambo hili ni la kujivunia kwani mmepata kile ambacho ni sehemu ya ibada yenu. Kutokana na hilo, nina uhakika serikali itaanzisha kodi maalum kwa ajili ya kufadhili mahakama hii (kama nikweli serikali itaigharimia); kodi ambayo Waislamu tu watatozwa. Hii itaondoa mgongano wa mahakama ya dini ya Kiislamu kufadhiliwa na makafir.
hizo ni hisia zako. Tangu mwanzo nimeunga mkono uwepo wa mahakama ya kadhi kwani sina tatizo nazo kabisa. Tatizo langu lilikuwa ni juu ya uanzishwaji wake na gharama yake. Kwa vile imedokezwa (tusubiri hasa nini kimeamuriwa) kuwa serikali imekubali basi hatuna budi kutoa pongezi hizo. Sasa kutoa pendekezo la Kodi ni pendekezo tu linaweza kuangaliwa kufaa kwake na kutofaa kwake. Au wewe unaonaje kuhusu suala la kodi maalumu kwa Waislamu kugharimia Mahakama hizi?