ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,397
- 45,761
- Thread starter
- #41
Angalia tena kule ndani kwako utaona kuna hoja zangu anyway ngoja nikuache tu mkuu 🙏kumbuka,
mimi hua sipiganagi mwenyewe bali napiganiwa na Baba wa Mbingu, na Vyote viujazavyo Ulimwengu.
Na kabisa huwa sigaligali hata kama nikiwa lonely,
Na kamwe siwezi kushindwa kujibu hoja tena kwa kiswahili kabisa? hazo najibu kwa haraka zaidi kuliko kwa lugha nyinginezo. halafu, sikumbuki ikiwa kuna hoja uliileta mbele yangu, ntafurahi ukinikumbusha kabla sijaanza safari niwe nimeijibu,
kiukweli,
nyama hua nakula sana na sijawahi kujivunga![]()
