Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,998
- 24,904
Jina Ali ni maarufu sana lenye asili ya Kiarabu likiwa na maana ya mtu mwenye hadhi ya juu sana kwenye jamii. Kuna ndugu wa mtume Muhammad aliyekuwa anaitwa Ali ibn Abi Talib. Watu maarufu miaka ya hivi karivuni wenye jina hilo ni pamoja na Muhammad Ali, Ali Khamenei, Zulfikar Ali Bhutto, Ali Saleh, Almoez Ali na wengineo
Ila kuna wasawahili wengi huandika jina Ali kama Ally. Sasa Ally ni neno la kiingereza ambalo maana yake ni mshirika, kwa mfano majeshi ya washirika ya NATO huitwa NATO allied forces. Waandikaji wa jina Ali msilibadilishe kuwa Ally.
Ali Kamwe siyo Ally Kamwe
Ali Mayai, siyo Ally Mayay
Ahmed Ali siyo Ahmed Ally