ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,397
- 45,760
- Thread starter
- #21
Asante sana 🙏Usi-rush, andika kidogo kidogo sehemu nyingine siku ukimaliza ndo sasa unahamishia huku. Otherwise uwe na wewe ni miongoni mwa wale wanapewa mirabaha kuhakikisha mabandiko hayakauki humu.
Kuna wanaopewa mirabaha?
