TANZIA Juma Jerry (almaarufu Mzee wa Mbezi) wa TOT afariki Dunia

Acha kufananisha aids na magonjwa ya ajabu ajabu, watu wenye ngoma wanapeta tu ila siyo mapresha sijui sukari
Kuna article moja nilisoma siku chache zilizopita ilikuwa inasema dawa za ukimwi inaweza tumika kutibu covid kwa sababu ni antivirals. Ila wanaogopa kuipush kwa sababu hizo dawa ni expensive sana.
So labda ifanyike research kidogo kuona kama wagonjwa wa ukimwi wanaathirika au la

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi kila anayekufa Tanzania analetwa humu?

Misiba ya mtaani kwenu mnaileta humu ili mseme ni korona?

Shameful!
Kuna wakati mwingine ni bora zaidi mtu kukaa kimya ili kuweka dhana tu juu upumbavu wako kuliko kutoa kauli kupelekea kuondoa shaka yeyote ya kuwa wewe ni mpumbavu.
 
Back
Top Bottom