Juma homera unaondoka mbeya na Siri nzito !!

Juma homera unaondoka mbeya na Siri nzito !!

Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni kweli kwamba mdude nyagali hatutamuona Tena? Haya maswali juma ameondoka bila kuwajibu wanambeya !! Hatujui waliko sisi walala hoi hata wewe juma homera hata wewe umeshindwa kupata hata fununu mahali waliko? Mbeya itakukumbuka sana brother
Huyu ndiye aliyewaua Chaula na Mdude Nyagali ili kumfurahisha Mzanzibari
 
Unafikiri kutukana ndo inakupa uhalali wa kudhulumu haki ya mtu kuishi? Kuna wakati unatukanwa kupima ustahimilivu wako kama kiongozi.Nchi imefitinika hii.Roho za hao vijana zitakuwepo Kila mahali watakapokuwa huku damu zao zikiwa mikononi mwao,machozi na Sauti za jitmai za Familia zao zitakuwa kwenye paji za nyuso zao.
Du
 
Mnamuonea bure Homera wa watu hata yeye hajui. Huo uhalifu unafanywa na kikosi maalumu kilichoundwa na Samia kikiongozwa na Abdul. Na hakiwajibiki wala kuwajibishwa na yeyote (wowote).
Sio kweli
 
Kwenda kushindana na Vita Kawawa ni kutokujua siasa, Vita kawekwa pale, Ni Kama kushindana na Salma
 
Afrika ndo viongozi upanda vyeo kwa kumwaga damu za watu wasio kua hatia sio kwamba upanda vyeo kwa kuwajibikaji na kujituma hapana
 
Back
Top Bottom