juma homera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Juma Homera: Waliokamatwa 2045, wataachiwa ni 1,736 na 309 wataendelea kushikiliwa

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera amesema watu 2045 walikamatwa wakati na baada ya maandamano yaliyozaa vurugu Oktoba 29, 2025 maeneo mbalimbali nchini. Kati ya hao, 1,736 wataachiwa kutokana na msamaha ambao Rais Samia Suluhu Hassan aliutoa kwa kumwelekeza Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa RC Mbeya, Dkt. Juma Homera achukua fomu ya Ubunge Namtumbo

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zubeir Homera anatarajia kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Namtumbo Jumamosi June 28. Dkt. Homera amesema tayari yuko Namtumbo akisubiri zoezi hilo Jumamosi. "Nitachukua fomu Jumamosi hapa Namtumbo, mengine tutasema wakati ukifika" amesema Dkt...
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Juma homera unaondoka mbeya na Siri nzito !!

    Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mbeya, Homera: Wataumiza vidole kwa kuandika 'No Reforms No Election' sisi tunagonga uchaguzi wetu

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Homera amesema wanaoandika No Reforms No Election wataumiza mikono yao kwa kuwa uchaguzi uko pale pale. "No Reform No Election wala nini! Hiyo tunaishuhudia tu mitandaoni, wataendelea kuandia wataumiza mikono yao bure, sisi tunagonga Uchaguzi mwezi Oktoba...
  5. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Juma Homera hatutaki kukuona Namtumbo

    Huyu bwana amejipanga kugombea ubunge uku Namtumbo. Ameanzisha kiredio chake kinaitwa Cite fm, Kila siku kinamsifia. Kwa unyama uliomfanyia Mdude Nyangali, hatukutaki na hatutaki kuwa na mwakilishi wetu ambae ni killer. Ukibisha, we chukua fomu ila wajumbe tutakunyoosha.
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ahusishwa na Kutekwa kwa Mdude Nyagali

    Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera apata shahada ya Uzamivu kutoka Mzumbe, atambulika rasmi kama Dkt. Juma Homera

    Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu, ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera ameandika historia muhimu katika safari yake ya kielimu na kitaaluma baada ya kufanikiwa kutetea kwa mafanikio tasnifu yake ya Uzamivu (PhD) na sasa kutambulika rasmi kama Daktari. Utetezi wa tasnifu...
  8. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Harakati za RC Juma Homera katika jimbo la Namtumbo, zinaharibu kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia

    HARAKATI CHAFU ZA RC WA MBEYA JUMA HOMERA KTK JIMBO LA NAMTUMBO ZINAHARIBU KAZI NZURI INAYO FANYWA NA RAIS SAMIA KTK UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM. Hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera hakai kituo chake cha kazi Mbeya badala yake yupo kila mwezi anakwenda Ruvuma kufanya kampeni za Ubunge...
Back
Top Bottom