kwamwewe
JF-Expert Member
- Jul 15, 2010
- 1,908
- 608
Kuna Mungu mmoja tu, wengine wote feki.
hiyo ni kweli, mimi nimekuuliza
hivi huyo anayemtanguliza na wewe unamuona ni Mungu ??
Kuna Mungu mmoja tu, wengine wote feki.
Hahahahahaaaaaaaa! Laki si pesa mkuu wa mkoa? Labda ule mkoa wa mataahira na misukuleMimi ni mkuu wa mkoa, hapa ofisini kwangu nimeweka picha ya rais Lowasa
Mimi ni mkuu wa mkoa, hapa ofisini kwangu nimeweka picha ya rais Lowasa
Lowasa ndio rais wetu, juma duni ni makamu wa rais , hawa ndio tunaowatambua,
Lowasa ndio rais wetu, juma duni ni makamu wa rais , hawa ndio tunaowatambua,
Ameshatumika kama ile mipira yetu. Hutakuja kumuona tena huku bara
Hahahahahaaaaaaaa! Laki si pesa mkuu wa mkoa? Labda ule mkoa wa mataahira na misukule
Mimi ni mkuu wa mkoa, hapa ofisini kwangu nimeweka picha ya rais Lowasa
Khaa!! Umenikumbusha enzi zile baa zilijjaa mawaziri maRC na ma Dc : cool:Mimi ni mkuu wa mkoa, hapa ofisini kwangu nimeweka picha ya rais Lowasa
Awali ya yote natuma pongezi kwa vijana wa BAVICHA kwa ushiriki wenu mkubwa kwenye zoezi la UHURU na USAFI leo katika maeneo mbalimbali ya nchi, ikiwa ni kuonga mkono uongozi wa Rais JPM.:lock1::lock1::lock1:
Msingi wa andiko langu ni kutaka kujua aliko Babu Duni kwa vile Kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu, yameambatana na kupotea ghafla kwa Babu Juma Duni aliyekuwa mgombea mwenza wa CDM; Ndugu zangu wa CDM naomba mtujuze aliko Babu Duni kwani kwenye tukio zima la kugombea mwili wa Mawazo hakuonekana; je amesharejea CUF??
Ha ha ha ha unaongoza nyumbu