nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
juma mwenyewe ataamua. ingawa bado ukawa ni muhimu...
uliwahi kuona sehemu yoyote juma dun haji anakabidhiwa kadi ya CHADEMA?
Bab duni bado ni mwanachama halali wa CUF
uliwahi kuona sehemu yoyote juma dun haji anakabidhiwa kadi ya CHADEMA?
Bab duni bado ni mwanachama halali wa CUF
Alikabidhiwa kadi na copy yake ipo katika fomu alizoziwasilisha NEC uliza jengine
kwa hiyo chadema wameweka mgombea mwenza ambaye si mwanachama wa chama hicho?
Huko ni kuvunja kwa makusudi sheria ya uchaguzi na kunabatilisha uteuzi wake kama mgombea mwenza..
😨
kwahiyo amekuwa mgombea mwenza kupitia chadema huku akiwa ni mwanachama wa cuf?
Mimi nataka nyuma kwa nyuma kwakoHuna haya? Wala hujui vibaya?
CCM mbele kwa mbele.
Jibu maswali, au mtawapa ubunge wa viti maalum?
Kwi kwi kwi teh teh teh!
Huna adabu!Sasa ni ukiwa.
Kabla ya hekaheka za uchaguzi na katika umoja wa ukawa ambao kwa sasa umekuwa ukiwa tuliona "watu wazima na fahamu zao" wakihama vyama kwa maslahi yao. Mmojawapo ni Juma Duni kuondoka CUF na kuhamia chadema kwa maslahi ya kujitafutia muradi wake.
Mambo hayakwenda kama walivyotarajia, Jee, atadai talaka na kurudi kwao au atabaki kwa Mbowe kama mke asiye na sauti?
Halikadhalika, Jee Lowassa atabaki kuwa anaripoti kwa Mbowe? Au Mwenyekiti wa CHADEMA atabaki kuwa mtumwa wa fedha na kuripoti kwa Lowassa?
Kingunge?
Sumaye? (hili jina hunikumbusha Marehemu Somogae wa Mombasa), wa zamani watanielewa.
Chokono.
onesha ushahidi hapa
Duni sio mwanachama wa CHADEMA
Watu kama nyie ndo bado mnaamini mtu akitoka ccm basi amejichumia majanga na hivyo hatofanikiwa kwa namna yoyote. Haya mawazo yamepitwa na wakati dada, maisha ni popote.
Naam, maisha ni popote. Nisome vizuri kabla hujakurupuka, ni wapi kwenye maandiko yangu ulipoyaona hayo uliyoyaandika wewe? CCM siyo baba siyo mama ya mtu yeyote, atakae abaki na kama anaona hapamtoshi aondoke.
Kabla ya hekaheka za uchaguzi na katika umoja wa ukawa ambao kwa sasa umekuwa ukiwa tuliona "watu wazima na fahamu zao" wakihama vyama kwa maslahi yao. Mmojawapo ni Juma Duni kuondoka CUF na kuhamia chadema kwa maslahi ya kujitafutia muradi wake.
Mambo hayakwenda kama walivyotarajia, Jee, atadai talaka na kurudi kwao au atabaki kwa Mbowe kama mke asiye na sauti?
Halikadhalika, Jee Lowassa atabaki kuwa anaripoti kwa Mbowe? Au Mwenyekiti wa CHADEMA atabaki kuwa mtumwa wa fedha na kuripoti kwa Lowassa?
Kingunge?
Sumaye? (hili jina hunikumbusha Marehemu Somogae wa Mombasa), wa zamani watanielewa.
Chokono.
Tatizo maelezo yako yamejaa ushabiki zaidi kuliko hoja. Unaposema alienda huko kwa maslahi yake au mradi wake unamaana gani!!. Na je kwa kwanini unadhani ataachana au atarudi alikotoka??, mi nadhani hayo hayatuhusu ni juu yao wao.