Juma Duni kubaki CHADEMA?

Juma Duni kubaki CHADEMA?

Wewe mleta mada siku uliyohamia chama chako ulichopo ulitutangazia?? Ni sheria ipi inataka mtu akihama au kuhamia chama lazima atangaze??

Pili kwani alikuambia alihama CUF??
 
Ulimwombea kifo mzee lowassa na mpaka ulitaja ugonjwa na kusema atakufa ikulu. Kweli wewe una dini wewe. Punguza kumdhihaki Mola wako. Wallahi hii dhambi haitakuacha, lazima ikutafune siku siyo nyingi...

Hata maombi yangu unayajuwa? Huo uongo wako sasa unavuka mipaka. Sijawahi kusema Lowassa atakufa wapi hata siku moja. Ingawa ni ukweli kuwa Lowassa ni mgonjwa lakini mimi si mtabiri wa vifo.

Nnajuwa wote tutakufa kwa wakati wetu na wote tunatembea na umauti.

Lakini Lowassa ni mgonjwa kweli, ikiwa ukisoma huelewi basi hata picha huoni?
 
Kadiri siku zinavyooenda ndivyo tunavyogundua jinsi tulivyoepushwa na figisufigisu
 
Hapana Chezea Ccm!! Ma CuF yamekutana kujadili namna ya kushiriki uchaguzi wa Marudio! Feb tunarudi kwny sanduku la kura Maalim ajiande tu kuwa Makamu wa Rais tena!!
 
Kwenye picha ya Meza Kuu katika mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi wa chama cha CUF kilichoketi huko Zanzibar, anaonekana kada na mwanachama wa CHADEMA na mgombea mwenza wa Urais wa Tanzania kupitia UKAWA Babu Duni Haji akiwa kiti cha mbele kabisa.

Baraza hilo la Uongozi wa CUF limekutana ili kujadili hali ya kisiasa katika Visiwa vya Zanzibar, lakini nimeshangaa kumuona kada wa CHADEMA Babu Duni Haji akiwa "High table" kwenye meza ya viongozi wa CUF, Je, alipata mwaliko au ndio karudi kwenye chama chake cha zamani kimya kimya?View attachment 304690View attachment 304691

Ulitakaje kwa mfano? Unakumbuka ni lini alitangaza kuiacha CUF?
 
Juma Duni Haji si CUF Original kwa taarifa yenu. Unapozungumzia CUF lazima kutazamana umetokea kisiwa gani. Ndo maana CUF walikataa kumtoa CUF halisi Jussa kuwa mgombea mwenza wa mamvi.

Duni yupo yupo CUF tu kama walivyo watu wa nje ya mji wa mlima mrefu CDM.
 
Hata maombi yangu unayajuwa? Huo uongo wako sasa unavuka mipaka. Sijawahi kusema Lowassa atakufa wapi hata siku moja. Ingawa ni ukweli kuwa Lowassa ni mgonjwa lakini mimi si mtabiri wa vifo.

Nnajuwa wote tutakufa kwa wakati wetu na wote tunatembea na umauti.

Lakini Lowassa ni mgonjwa kweli, ikiwa ukisoma huelewi basi hata picha huoni?
Faizafox ni mdini anachukia wakristo..ila sasa ni zamu yetu...
 
Back
Top Bottom