Juma Duni kubaki CHADEMA?

Juma Duni kubaki CHADEMA?

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,800
Kabla ya hekaheka za uchaguzi na katika umoja wa ukawa ambao kwa sasa umekuwa ukiwa tuliona "watu wazima na fahamu zao" wakihama vyama kwa maslahi yao. Mmojawapo ni Juma Duni kuondoka CUF na kuhamia chadema kwa maslahi ya kujitafutia muradi wake.

Mambo hayakwenda kama walivyotarajia, Jee, atadai talaka na kurudi kwao au atabaki kwa Mbowe kama mke asiye na sauti?

Halikadhalika, Jee Lowassa atabaki kuwa anaripoti kwa Mbowe? Au Mwenyekiti wa CHADEMA atabaki kuwa mtumwa wa fedha na kuripoti kwa Lowassa?

Kingunge?

Sumaye? (hili jina hunikumbusha Marehemu Somogae wa Mombasa), wa zamani watanielewa.

Chokono.
 
Bibi una juhudi,ya ccm yanakushinda unafuatilia ya ukawa.
 
Huna haya? Wala hujui vibaya?

CCM mbele kwa mbele.

Jibu maswali, au mtawapa ubunge wa viti maalum?

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
uliwahi kuona sehemu yoyote juma dun haji anakabidhiwa kadi ya CHADEMA?

Bab duni bado ni mwanachama halali wa CUF
 
una kazi,nikuuelize utatu mtakatifu wa kikwete,mkapa na makamba utakuwaje magufuli asipo mtaka makamba wako tunajua hawa ndio wamemuweka magufuli hapo alipo sio hata kura yako wala ya ndugu yako.
 
Lowasa atabaki mshauri wa kisiasa wa

CHADEMA

Kingunge na Sumaye sio wanachama wa CHADEMA
 
Hivi Katiba ya Tanzania inazuia raia mmoja kuwa mwanachama wa vyama viwili au zaidi ya siasa kwa wakati mmoja????
 
hilo swali mtoa mada nilikuwa najiuliza naona wanywa viloba wanabakia kutukana wanashindwa kujibu hoja.
pamoja na wote hao hakuna mtu namuone huruma kama kingunge ngambare mwiru
 
Kabla ya hekaheka za uchaguzi na katika umoja wa ukawa ambao kwa sasa umekuwa ukiwa tuliona "watu wazima na fahamu zao" wakihama vyama kwa maslahi yao. Mmojawapo ni Juma Duni kuondoka CUF na kuhamia chadema kwa maslahi ya kujitafutia muradi wake.

Mambo hayakwenda kama walivyotarajia, Jee, atadai talaka na kurudi kwao au atabaki kwa Mbowe kama mke asiye na sauti?

Halikadhalika, Jee Lowassa atabaki kuwa anaripoti kwa Mbowe? Au Mwenyekiti wa CHADEMA atabaki kuwa mtumwa wa fedha na kuripoti kwa Lowassa?

Kingunge?

Sumaye? (hili jina hunikumbusha Marehemu Somogae wa Mombasa), wa zamani watanielewa.

Chokono.

Tuwape muda tutaona mengi tena ya ajabu sana
 
Huna haya? Wala hujui vibaya?

CCM mbele kwa mbele.

Jibu maswali, au mtawapa ubunge wa viti maalum?

Kwi kwi kwi teh teh teh!

Ahahahaha! sahihi kabisa mkuu kwa mara ya kwanza naona viti maalum vikitolewa kwa wanaume.. Kafulila, Wenye, Lowassa, Sumaye nk
 
kabla ya hekaheka za uchaguzi na katika umoja wa ukawa ambao kwa sasa umekuwa ukiwa tuliona "watu wazima na fahamu zao" wakihama vyama kwa maslahi yao. Mmojawapo ni juma duni kuondoka cuf na kuhamia chadema kwa maslahi ya kujitafutia muradi wake.

Mambo hayakwenda kama walivyotarajia, jee, atadai talaka na kurudi kwao au atabaki kwa mbowe kama mke asiye na sauti?

Halikadhalika, jee lowassa atabaki kuwa anaripoti kwa mbowe? Au mwenyekiti wa chadema atabaki kuwa mtumwa wa fedha na kuripoti kwa lowassa?

Kingunge?

Sumaye? (hili jina hunikumbusha marehemu somogae wa mombasa), wa zamani watanielewa.

Chokono.

niliwaambia watu tarehe 25.10.2015 haikuwa tarehe nzuri kwa sababu kuna watu walistaafishwa kazi bila maandalizi,
kwa hiyo hamna namna nyingine,
.........watanzania wapige kura, ili hata wakiiba waibe asilimia 10%........kauli za ukawa
.........watanzania wapige kura, tume mniachie mimi kauli za ukawa..............

Dhambi ni mbaya sana, hakuna dhambi yenye unafuu, ukiua kwa upanga, utakufa kwa upanga, ukiua kwa risasi utakufa kwa risasi, ukiua kwa kisu utakufa kwa kisu...hayanaga option haya 100%

kama baadhi ya wana ukawa waliokuwa wametoka chama kingine walishiriki dhambi kuvipatia chama kingine ushindi, basi dhambi ileile imewatafuna........

Kwa hiyo tunapofanya jambo lolote duniani, tuwe peke yetu, tuwe tuna watu,...ardhi huandika na hukulipa hapahapa kabla hujaondoka..............
Tujifunze kufanya mema kila wakati.................
Mungu wetu ni mwema, kwa sababu ni ktk haya ndiyo imani yetu hujengwa zaidi.
 
Wanajiuliza kwa unafiki waliouufanya kwa uchu wa madaraka..

Lowasa alisema atakwenda kuchunga Ngombe wake..

Mr Zilo ajatoatamko hadi sasa..

Babu Kingunge laiti angemsikiliza mwanae mida hii tungemwita shujaa alietutumikia toka enzi zile,.
 
Lowasa atabaki mshauri wa kisiasa wa

CHADEMA

Kingunge na Sumaye sio wanachama wa CHADEMA

Mbowe ndie mwenyekiti na ndie bosi wa wote hao Lowasa, sumaye, kingunge, mwapachu, msigai, makongoro, lembeli, masha laurence, mgeja na wengine weeeengi. Kweli akili ndogo nimeamini inaweza ongoza akili kubwa BUT Only in Tanzania.!
Kwa sababu wameajiriwa naye inabidi wawe wanasaini daftari la mahidhurio kila siku tena asubuhi mapema, na Magufuli atakuwa akipita kukagua. Kwikwikwikwi.....
 
hilo swali mtoa mada nilikuwa najiuliza naona wanywa viloba wanabakia kutukana wanashindwa kujibu hoja.
pamoja na wote hao hakuna mtu namuone huruma kama kingunge ngambare mwiru
Hakuna haja ya kumuonea huruma mtu mzima,kikongwe kama Ngombale Mwiru aliyeamua kujitoa ufahamu na kujiunga na vijana wanaovaa kata k na kucheza kigodoro...lazima alinywe...
 
Kabla ya hekaheka za uchaguzi na katika umoja wa ukawa ambao kwa sasa umekuwa ukiwa tuliona "watu wazima na fahamu zao" wakihama vyama kwa maslahi yao. Mmojawapo ni Juma Duni kuondoka CUF na kuhamia chadema kwa maslahi ya kujitafutia muradi wake.

Mambo hayakwenda kama walivyotarajia, Jee, atadai talaka na kurudi kwao au atabaki kwa Mbowe kama mke asiye na sauti?

Halikadhalika, Jee Lowassa atabaki kuwa anaripoti kwa Mbowe? Au Mwenyekiti wa CHADEMA atabaki kuwa mtumwa wa fedha na kuripoti kwa Lowassa?

Kingunge?

Sumaye? (hili jina hunikumbusha Marehemu Somogae wa Mombasa), wa zamani watanielewa.

Chokono.

Wachawi bwana utawajua tu,kama bundi wa usiku!
 
Kibibi mdini naona sasa unaanza kujipendekeza...baada ya mwenzenu kumaliza mda
 
Kabla ya hekaheka za uchaguzi na katika umoja wa ukawa ambao kwa sasa umekuwa ukiwa tuliona "watu wazima na fahamu zao" wakihama vyama kwa maslahi yao. Mmojawapo ni Juma Duni kuondoka CUF na kuhamia chadema kwa maslahi ya kujitafutia muradi wake.

Mambo hayakwenda kama walivyotarajia, Jee, atadai talaka na kurudi kwao au atabaki kwa Mbowe kama mke asiye na sauti?

Halikadhalika, Jee Lowassa atabaki kuwa anaripoti kwa Mbowe? Au Mwenyekiti wa CHADEMA atabaki kuwa mtumwa wa fedha na kuripoti kwa Lowassa?

Kingunge?

Sumaye? (hili jina hunikumbusha Marehemu Somogae wa Mombasa), wa zamani watanielewa.

Chokono.

Hilo Juma Duni Haji kubaki Chadema au kurudi CUF ni swali kubwa na zuri sana ambalo linastahili mjadala wa kina. Tatizo umeliuliza kishabiki.

Hayo maswali mengine ni umeonesha unazi na uchuro mtupu. Nashinswa nianzie wapi
 
Back
Top Bottom