sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
labda hii habari iendelee kuwa tetesi na mwishowe isiwe kweli!
Ni umbumbumbu wa hali ya juu kutoka cdm na kwenda ccm na ukichukulia alitaka kugombea uenyekiti wa taasisi muhimu ndani ya cdm.
Hilo ni kosa kubwa kisiasa maana ukishajipambanua kama mtu aliye na mtazamo tofauti juu ya utatuzi wa matatizo tuliyonayo ambayo kimsingi yamesababishwa na ccm then mwishowe unarejea huko huko ni aibu kubwa. Ina maana hizo nccr, cuf, adc, umd nk hazioni ambazo zinaamini kinachoaminiwa na cdm???
Kweli vijana walio wengi wa nchi hii ni bure kabisa, na ndio maana wamepoteza muda kutengeneza migogoro ambayo hata hivyo imeshindwa badala ya kutatua matatizo yanayotumaliza!
Cha ajabu zaidi wiki iliyopita alihojiwa na gazeti la Mtanzania na kusema kuwa yeye bado kiongozi wa bavicha na anajiandaa kugombea uenyekiti wa Bavicha,leo yamekuwa hayaaa tena.Vijana wa siku hizi sio wakuwahamini sana maana vichwa vyao wanavijua wenyewe.