Juliana Shonza aupamba ukurasa wa UDSM

Nimesoma hicho kijarida cha Jalalani, sikuona any contribution aliyoifanya kwa jamii mbali ya kupata hizo political appointments ambazo hazibainishi sababu ya kuzipata kwake. UDSM mnazidi kujidhalilisha.
 
Wanajidhalilishaje,au una chuki tu na udsm?
Hiyo page ni mahususi kwa ajili ya kuweka alumni wa hicho chuo,mtu yeyote hata asiye mwanasiasa anaweza kuwa alumni wa mwezi.
 
Sina chuki na UD wala Juliana, concern yangu ni mwandishi wa jarida kutokuweka contribution aliyofanya maana sidhani kama hakuna matakwa ya sifa za kipekee Ili alumni wa mwezi.
 
Sawa kabisa. Hiyo page ni mahususi kutambua mchango wa kitaaluma katika jamii na kuna vigezo, sio mtu yoyote eti ilimradi alisoma UDSM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom