Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 6,332
- 3,294
ndio.Eti Kenya ipo kama ulaya
ndio.Eti Kenya ipo kama ulaya
Kuwa mtanzania ni kazi kweli. ujinga, uvivu na kukosa habari.....Wakenya wengi ni maskini wa teknolojia, na hata uchumi ‘kuafodi’ simu janja ni hoi hoi... hivyo tunafanya kuwabeba ili jukwaa lao lisiduwae kama wale wenzao.
Pia mang’aa wachache kina Lewis254 na MK254 unaweza kujua ni mburula washamba, hata jinsi ID zao ni lazima waweke code 254 as nobody could’ve noticed them!
Be thankful enyi Tony254 et al.
|
|
Mimi pia ni mburula?Wakenya wengi ni maskini wa teknolojia, na hata uchumi ‘kuafodi’ simu janja ni hoi hoi... hivyo tunafanya kuwabeba ili jukwaa lao lisiduwae kama wale wenzao.
Pia mang’aa wachache kina Lewis254 na MK254 unaweza kujua ni mburula washamba, hata jinsi ID zao ni lazima waweke code 254 as nobody could’ve noticed them!
Be thankful enyi Tony254 et al.
babayao255 njoo hapa unatukanwa na mbongolala mwenzako 😂😂😂Wakenya wengi ni maskini wa teknolojia, na hata uchumi ‘kuafodi’ simu janja ni hoi hoi... hivyo tunafanya kuwabeba ili jukwaa lao lisiduwae kama wale wenzao.
Pia mang’aa wachache kina Lewis254 na MK254 unaweza kujua ni mburula washamba, hata jinsi ID zao ni lazima waweke code 254 as nobody could’ve noticed them!
Be thankful enyi Tony254 et al.
Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya.
Hii imekaaje?
Tujadiliane.
Wah! Zaidi ya nusu ya Watanzania hawajui internet Ni Nini ndio maana meneja wa Tarura akafutwa kazi kushindwa kuita watu kushuhudia kufunguliwa kwa barabara...internet ingekuwa angewaita kupitia mitandao.Kuwa mtanzania ni kazi kweli. ujinga, uvivu na kukosa habari.....
nenda kwa lini ya kenya na tanzania, halafu urudi na uenda wazimu huo wako tena!!! internet users 2020. 46 million vs 23 million. pops 45 million(kenya) people vs 60 million(Tz) people
View attachment 1502208
Internet Users Statistics for Africa
( Africa Internet Usage, 2020 Population Stats and Facebook Subscribers)
AFRICA 2020 POPULATION AND INTERNET USERS STATISTICS Population
(2020 Est.) Internet
Users
31-Dec-2000 Internet
Users
31-DEC-2019 Penetration
(% Population) Internet
Growth %
2000 - 2020
subscribers
31-DEC-2019Algeria 43,851,044 50,000 25,428,159 58.0 % 50,756 % 19,000,000Angola 32,866,272 30,000 7,078,067 21.5 % 23,493 % 2,244,000Benin 12,123,200 15,000 3,801,758 31.4 % 25,245 % 920,000Botswana 2,351,627 15,000 1,116,079 47.5 % 6,455 % 830,000Burkina Faso 20,903,273 10,000 3,704,265 17.7 % 36,942 % 840,000Burundi 11,890,784 3,000 1,154,568 9.7 % 38,385 % 450,000Cabo Verde 555,987 8,000 352,120 63.3 % 4,302 % 240,000Cameroon 26,545,863 20,000 6,128,422 23.1 % 30,542 % 2,700,000Central African Rep. 4,829,767 1,500 655,466 13.6 % 43,597 % 122,100Chad 16,425,864 1,000 1,027,932 6.3 % 102,693 % 328,000Comoros 869,901 1,500 178,500 20.5% 11,800 % 178,500Congo 5,518,087 500 732,800 13.3 % 146,460 % 732,800Congo, Dem. Rep. 89,561,403 500 7,475,917 8.3 % 1,495,083 % 3,117,000Cote d'Ivoire 26,378,274 40,000 11,953,653 45.3 % 29,784 % 4,758,000Djibouti 988,000 1,400 548,832 55.5 % 39,102 % 211,700Egypt 102,334,404 450,000 49,231,493 48.1 % 10,840 % 42,400,000Equatorial Guinea 1,402,985 500 356,891 25.4 % 71,278 % 100,600Eritrea 3,546,421 5,000 293,343 8.3 % 5,766 % 21,900Eswatini 1,160,164 10,000 665,245 57.3 % 6,552 % 255,200Ethiopia 114,963,588 10,000 20,507,255 17.8 % 204,972 % 6,007,000Gabon 2,225,734 15,000 1,307,641 58.8 % 8,617 % 743,000Gambia 2,416,668 4,000 442,050 18.3 % 10,951 % 370,100Ghana 31,072,940 30,000 11,737,818 37.8 % 39,026 % 4,900,000Guinea 13,132,795 8,000 2,411,672 18.4 % 30,046 % 2,008,000Guinea-Bissau 1,968,001 1,500 250,000 12.7 % 16,567 % 140,000Kenya 53,771,296 200,000 46,870,422 87.2 % 23,335 % 7,000,000Lesotho 2,142,249 4,000 682,990 31.9 % 16,975 % 445,600Liberia 5,057,681 500 624,610 12.3 % 124,822 % 537,000Libya 6,871,292 10,000 5,100,000 74.2 % 50,900 % 5,094,000Madagascar 27,691,018 30,000 2,643,025 9.5 % 8,710 % 2,317,000Malawi 19,129,952 15,000 2,717,243 14.2 % 18,015 % 500,200Mali 20,250,833 18,800 12,480,176 61.6 % 66,284 % 1,670,100Mauritania 4,649,658 5,000 969,519 20.9 % 19,290 % 796,900Mauritius 1,271,768 87,000 852,000 67.0 % 879 % 852,000Mayotte (FR) 272,815 n/a 107,940 39.6 % n/a 91,400Morocco 36,910,560 100,000 23,739,581 64.3 % 23,639 % 18,330,000Mozambique 31,255,435 30,000 6,523,613 20.9 % 21,645 % 2,448,000Namibia 2,540,905 30,000 1,347,418 53.0 % 4,391 % 692,400Niger 24,206,644 5,000 2,781,266 11.5 % 55,525 % 500,200Nigeria 206,139,589 200,000 126,078,999 61.2 % 62,939 % 27,120,000Reunion (FR) 895,312 130,000 553,000 61.8 % 325 % 544,000Rwanda 12,952,218 5,000 5,981,638 46.2 % 119,532 % 592,400Saint Helena (UK) 6,077 n/a 2,300 37.8 % n/a 2,300Sao Tome & Principe 219,159 6,500 63,864 29.1 % 882 % 58,400Senegal 16,743,927 40,000 9,749,527 58.2 % 24,274 % 3,408,000Seychelles 98,347 6,000 71,300 72.5 % 1,088 % 71,000Sierra Leone 7,976,983 5,000 1,043,725 13.1 % 20,774 % 693,400Somalia 15,893,222 200 1,705,300 10.7 % 852,550 % 1,666,500South Africa 59,308,690 2,400,000 32,615,165 55.0 % 1,259 % 21,280,000South Sudan 11,193,725 n/a 887,722 7.9 % n/a 282,901Sudan 43,849,260 30,000 13,124,100 29.9 % 43,647 % 1,300,000Tanzania 59,734,218 115,000 23,142,960 38.7 % 20,024 % 4,271,000Togo 8,278,724 100,000 1,011,837 12.2 % 912 % 658,100Tunisia 11,818,619 100,000 7,898,534 66.8 % 7,798 % 7,445,000Uganda 45,741,007 40,000 18,502,166 40.4 % 46,155 % 2,471,000Western Sahara 597,339 n/a 28,000 4.7 % n/a 27,000Zambia 18,383,955 20,000 9,870,427 53.7 % 49,252 % 2,253,000Zimbabwe 14,862,924 50,000 8,400,000 56.5 % 16,700 % 994,000TOTAL AFRICA 1,340,598,447 4,514,400 526,710,313 39.3 % 11,567 % 212,911,701Rest of World 6,456,017,263 82.8 % 4,058,868,405 62.9 % 88.5 % 2,011,815,020WORLD TOTAL 7,796,615,710 100.0 % 4,585,578,718 58.8 % 100.0 % 2,224,726,721
umejiuliza jamii forum ni ya wapiWakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya.
Hii imekaaje?
Tujadiliane.