Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Asante kwa kuwa mkweli.Are you serious? Tukiacha ushabiki, Kenya inashika nafasi ya 3 Afrika (nyuma ya Misri yenye watumiaji milioni 49.23 na Nigeria inayoongoza ikiwa na watumiaji milioni 126.078) kwa kuwa watumiaji wengi wa intaneti, ina watu milioni 46.87 wanaotumia intaneti sawa na 87.2% ya population; Uganda (milioni 18.50) sawa na 40.4% ya population na Tanzania (milioni 23.14) sawa na 38.7% ya population, hii ni kwa mujibu wa internet world statistic ya March, 2020...