Jukwaa linahusu Kenya lakini waanzisha thread karibia wote ni wa TZ

Sijasema kuwa Waganda ni wengi kuliko Watanzania, soma tena posti yangu. Lakini kitu cha pili ni kwamba wingi pekee bado hausaidii bali pia ni jinsi gani watu wanachangamkia posti zinazohusu mambo ya nchi yao (uzalendo), na pia kuna suala la ubaguzi. Waganda wana tabia ya ubaguzi, wanabaguana, hasa kama mtu anatumia lugha isiyokuwa ya Kiingereza au Kiganda. Kwa mfano Jose Chameleon alikuwa anabagulia sana nchini Uganda kwa kuwa anaimba kwa Kiswahili...
Ahaa sasa kumbe kama hivyo ni sawa na kua na akaunti nyingi za fb halafu hazitumiki ,sababu haina maana kuwa mtandaoni halafu hauplay YouTube maana hao wasanii wanapata pesa Kwa watu kutazama nyimbo zao . Na chamilion alikubalika TZ na ndio maana akawa msanii mkubwa tu ingawa alikuwa hakubaliki Uganda sababu ya Kiswahili soko alikua anategemea Sana Tz na Kenya
 
Povu lote kwa kuwa tu tafiti zimewabeba Wakenya, ila zingetu-favour Watanzania usingepiga kelele! Kaazi kwelikweli...
Sio povu lazima ungalie uhalisia haiwezekani aje mzungu na takwimu zake aseme waganda jf wapo wengi kuliko wa Kenya hata huyo mtanzania atapinga hiyo takwimu lazima uangalie na uhalisia anaeleta takwimu ni mtu kama wewe
 
Ni hao hao wazungu waliowaambia kuwa mmeingia uchumi wa kati mkashangilia (wakati kiuhalisia bado). Jambo lolote linaloiweka Kenya mbele ya Tanzania ninyi mashabiki wa Tz vs Ke huwa mnakuja na povu, mimi sina ushabiki wa aina hiyo...
 
mamlaka ni nini wewe!!!!umefungwa na uwezo wa wazungu kufikiri kwa niaba yako,kwani leo ukiabiwa watz milioni 58 kati ya 60 wanatumia mitandao utakubali tu,sababu ni takwimu za mamlaka ya mtandao duniani!!!!???

au ndio nyinyi mliokuwa mkiamini wodi zimejaa wagonjwa wa corona,mpaka manesi na madaktari wanakimbia wagonjwa???
Sasa tuamini data kutoka kichwani mwako na tupuuze data imefanyiwa research na wataalamu???ukijaribu kushirikisha akili ata kidogo utajua population ya nchi haijengwi na wananchi wa hio nchi pekee na pia kuna wale wanaoshikilia accounts zaidi ya moja
 
wataalamu ndio wamekuja na sample za data na kuzikabidhi kama zilivyo bila kuzifanyia upembuzi na kuja na wastani!!!!!.

wataalamu wana njaa hawa.
 
Hakuna aliyekulazimisha kukubali usichokipenda (hata kama ndiyo ukweli wenyewe). Endelea kuamini unachopenda kusikia. Period...
ukweli ni ule ulioandikwa tu,si ndio!!!!

unapima vipi kitu kuujua ukweli,ama huna muda??wewe ni twende tu.
 
Ni hao hao wazungu waliowaambia kuwa mmeingia uchumi wa kati mkashangilia (wakati kiuhalisia bado). Jambo lolote linaloiweka Kenya mbele ya Tanzania ninyi mashabiki wa Tz vs Ke huwa mnakuja na povu, mimi sina ushabiki wa aina hiyo...
kwani wewe unakubali kwamba jirani na bibi yako kule kijijini anaishi zaidi ya dollar moja kwa siku sasa???
 
Bro umeona mbali sana. kisha wengi wa Wabongo wanaomiminika humu jamvini, hawajielewi. hivi unajua kua mti wenye matunda ndio hupurwa mawe sana?

Wabongo wengi sana humu ni vilaza na pia kuna wale wako na mapenzi na Kenya. Wanatamani kuwa kama Kenya au Wakenya lakini bahati yao mbaya sana.

Kenya iko mbali sana kimaendeleo,,, levo tofauti kabisa, kama Europe vile... nawapa pole sana. Kenya na Tanzania ni kama mbingu na jehanam.

wengine wanakuja kujifunza lugha ya malkia kisha wakitinga mitaani, wanajisifia kwa wenzao eti, "unajua leo nimechat na Wakenya?".
yaani Wabongo mie huniacha hoi kusema lile la ukweli. mapimbi kabisa
Vilaza nyie mliefungiwa ndani na watoto wenu wanarudia madarasa mwakani
 
Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya. Hii imekaaje? Tujadiliane.
Kwa sababu sio Kenyans Threads Forum bali ni Kenyan News and Politics Forum! Hata kulivyotokea West Gate Saga, majority tulipata that Kenyan News kupitia CNN, Sky News na BBC na hapakuwa na ulazima kwa Wapasha Habari kuwa Wakenya!!

Una lingine?!
 
Back
Top Bottom