Na mimi nataka.
Angeambiwa achochwe jicho na we ungetaka?
Rich Pol usijali nawe pia njoo nipo mlangoni ntawasubir na mwenzio Kibo10 ila hakikishen mnavaa pensi nyanya, kaboka au trak sut ili kukipa kiungo nafasi ya kujitawala Jinsi no.
maneno ya huyo Angel Nylon yasikutishe
Yale ya kiingilishi.
Jukwaa la wakubwa ndo loko wapi jamani
Afu wewe!
ntaenda badae usijali