jukwaa gani ambalo hujawahi kuingia

Rahabu

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
5,525
3,316
humu kunamajukwaa tele zaid ya 40
hv jukwaa gani ambalo unalisikia ila hujawahi hata kutupa mchango wako pale. mfano wangu jukwaa la siasa, dini, kenya forum n.k
 
njo Kibo10 me ntakupokea usijali ntakufanyia massage ya kutosha na mengine utakayo taka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom