Jukumu nililomkabidhi wife amelishindwa

Jukumu nililomkabidhi wife amelishindwa

Ni mwaka sasa tangu nilipoamua kumfutia wife majukumu yote ya nyumbani na kumbakishia jukumu moja.

Ni hivi kifupi mimi na wife wote ni watumishi, sasa nimemwambia majukumu yote yanayohusu hela mimi nitahusika,
...
Nimemwambia ajipanga la sivyo nitafikiria vinginevyo, mimi ugojwa wangu ni pale chini sinywi wala sina starehe nyingine na wala sina nyumba ndogo, nimempa week akishindwa nitabadili mawazo.

Hapo juu umesema huna nyumba ndogo, hapa chini umesema nyumba ndogo ni tatizo la wewe kushindwa kumpa shemeji kazi, anyway JF story zake siyo serious, ngoja tuendelee kutoa ushauri wetu hivyo hivyo.

Nashindwa kumtafutia shemeji kazi

Katika hali inayonisikitisha shemeji yangu kamaliza economics chuo flan, sasa hapa kazini kwangu kuna post ambayo mimi naweza kufanya makeke nimuingize kwenye post hiyo kwa kuwa mimi ndio mkuu wa idara na nimeambiwa nichague mtu ninaye mtaka.

Tatizo hapa ofisini nina nyumba ndogo yangu tunakaa vizuri kabisa, sasa najua nikimleta shemeji hapa habari zote zitafika kwa dada yake nyumbani yaani ataharibu timing zangu zote, kama bwai na iwe mbwai atafute kazi sehemu nyingine huko.
Au mnasemaje wadau??
 
Ni mwaka sasa tangu nilipoamua kumfutia wife majukumu yote ya nyumbani na kumbakishia jukumu moja.

Ni hivi kifupi mimi na wife wote ni watumishi, sasa nimemwambia majukumu yote yanayohusu hela mimi nitahusika,

Na mengi nimeyafakinikisha bila msaada wake mfano nyumba nimeshamaliza, watoto nawalipia ada, nimemnunulia gari yake, vyakula na mpaka chupi namnunulia,

Cha msingi yeye nimemwambia akitoka kazini anaoga ananisubiri kitandani kwa ajili ya kula tunda angalau mara tatu kwa siku, lakini anaanza porojo ooooh nimechoka oooh sijui mara hiki mara kile.

Nimemwambia ajipanga la sivyo nitafikiria vinginevyo, mimi ugojwa wangu ni pale chini sinywi wala sina starehe nyingine na wala sina nyumba ndogo, nimempa week akishindwa nitabadili mawazo.
makubwa haya unambaka mkeo
 
'Kula tunda angalau mara tatu kwa siku' yaani si chini ya mara tatu kwa masaa 24 sio njema kabisa kiafya na ninakubaliana na mkeo kwamba lazima atakuwa anachoka halafu ninakubaliana na wewe katika kumuacha na yawezekana ukaoa na kuacha wengi kwa style hiyo. Kwa kifupi kumuacha kwa hiyo programme yako ya mara tatu au zaidi kwa masaa 24 sio busara; halafu kuwa na programme kama hiyo pia sio busara!!
Yaah not fear
 
haya mambo yanahitajii ashki bhana mara 3 kwa siku kila siku maninaaaaaaa anipe talaka mwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me naweza shoo c nmempenda mwenyewe nayy kanipenda nampaa hapa angeshindwa angeomba poo....ashk majinun balaa[emoji13] tena nn vitatu....sabaaa kabisa chezo la wk nzima
 
Usitumie vigezo hivyo kumtumikisha mkeo kingono tendo ni furaha na si vinginevyo kama vipi mtafutie wenzake wawili itasaidia sana kupunguza nyeg#
 
katika watu wanaonishangaza ndo huyu unamtumikisha mkeo kisa nini

mm ningekuwa mkeo ningekucharaza kwa fimbo ndo ungeenda kueleza kwenu
 
Wachangia mada hii, mmekubali kudanganywa na huyu jamaa bila kujielewa..
Ww mleta mada umeshindwa kuupangilia uongo wako vizuri mm nimekushtukia hiyo ni comedy tu umetuletea..
Ni hivi, umesema ww na huo mlupo wako wote ni watumishi.. sasa huo muda wa kufanya mapenzi mara tatu kwa siku umeupata wapi? Au ki,a siku nyie hamlali mnakesha kama popo?
Uwe unasoma unaelewa , pumbafu wewe peleka huko la 7 lako
 
tafuta mchepuko usifikiri wote wanahimili vishindo huenda kazini anachoka sana, kazi zinatofautina.

kama sivyo mwachishe kazi moja ya kuajiriwa abaki na hiyo uliyompangia ya kujiajiri
Umesoma vizuri lakini au unalopoka tu
 
Huyo dada ana haki ya kukataa, yaan saa 12:00 asubuhi, saa 06:00 mchana sina uhakika gemu ya usiku ni saa ngapi. Ukimaliza ukaoge, ukimaliza kuoga tu unahitajika.

Hahahahahaa jukumu limekuwa wajibu bora hata wewe mkuu umempangia ratiba ya kila baada ya masaa 6,
Inawezekana mwenzio ligwalide linaanza saa moja usiku na linaisha saa 11 alfajiri
 
Back
Top Bottom