Jukumu nililomkabidhi wife amelishindwa

Jukumu nililomkabidhi wife amelishindwa

Ni mwaka sasa tangu nilipoamua kumfutia wife majukumu yote ya nyumbani na kumbakishia jukumu moja.

Ni hivi kifupi mimi na wife wote ni watumishi, sasa nimemwambia majukumu yote yanayohusu hela mimi nitahusika,

Na mengi nimeyafakinikisha bila msaada wake mfano nyumba nimeshamaliza, watoto nawalipia ada, nimemnunulia gari yake, vyakula na mpaka chupi namnunulia,

Cha msingi yeye nimemwambia akitoka kazini anaoga ananisubiri kitandani kwa ajili ya kula tunda angalau mara tatu kwa siku, lakini anaanza porojo ooooh nimechoka oooh sijui mara hiki mara kile.

Nimemwambia ajipanga la sivyo nitafikiria vinginevyo, mimi ugojwa wangu ni pale chini sinywi wala sina starehe nyingine na wala sina nyumba ndogo, nimempa week akishindwa nitabadili mawazo.
Huyo ndo wako kwingine ni Ubatili hata yeye pia akitoka kazini anakua hoi usilinganishe hayo majukumu na Tunda.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me naweza shoo c nmempenda mwenyewe nayy kanipenda nampaa hapa angeshindwa angeomba poo....ashk majinun balaa[emoji13] tena nn vitatu....sabaaa kabisa chezo la wk nzima
Naona tupo mkuu
 
'Kula tunda angalau mara tatu kwa siku' yaani si chini ya mara tatu kwa masaa 24 sio njema kabisa kiafya na ninakubaliana na mkeo kwamba lazima atakuwa anachoka halafu ninakubaliana na wewe katika kumuacha na yawezekana ukaoa na kuacha wengi kwa style hiyo. Kwa kifupi kumuacha kwa hiyo programme yako ya mara tatu au zaidi kwa masaa 24 sio busara; halafu kuwa na programme kama hiyo pia sio busara!!


Sio masaa 24 ni masaa 12 maana ameshasema yeye ni mfanya kazi. Wife anatakiwa atoe tunda mara 3 ndani ya masaa 12.
 
Back
Top Bottom