Jukumu nililomkabidhi wife amelishindwa

Jukumu nililomkabidhi wife amelishindwa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me naweza shoo c nmempenda mwenyewe nayy kanipenda nampaa hapa angeshindwa angeomba poo....ashk majinun balaa[emoji13] tena nn vitatu....sabaaa kabisa chezo la wk nzima
[emoji27] [emoji27] [emoji27] Na uchovu wa kaz hata siwez dozi za hivyo ningekinai ningemchukia ningekuwa natafuta vusingizio
 
Waislamu wanasema hakh yake usimnyime ni dhambi,unapelekwa wa Mama makungwi na Dini wanaijua haswa
 
Mkuu mgawanyo wako wa majukumu na ukubwa wa jukumu la mkeo sina tatizo nao kabisa kwasababu under normal circumstances najua inatekelezeka hasa kama wewe ni mwanaume wa Dar kama mimi. Ha ha ha.

Wasiwasi wangu ni practicability ya hiyo ratiba ya angalau mara 3 kwa siku kwa kuzingatia kuwa wote ni watumishi. Wewe na mkeo mnatoka kazini saa ngapi? Na umesema unataka mkeo akutangulie kufika nyumbani kwa ajili ya maandalizi!!!! Au unaposema angalau mara 3 kwa siku una maanisha nini?? Kila session inakuwa spaced vipi? Kama una maanisha angalau BAO 3 kwa siku hapo naweza kukubaliana na wewe!!! Vinginevyo mkuu nahisi kuna shida kwenye uandishi au labda hii ni chai...
 
Wachangia mada hii, mmekubali kudanganywa na huyu jamaa bila kujielewa..
Ww mleta mada umeshindwa kuupangilia uongo wako vizuri mm nimekushtukia hiyo ni comedy tu umetuletea..
Ni hivi, umesema ww na huo mlupo wako wote ni watumishi.. sasa huo muda wa kufanya mapenzi mara tatu kwa siku umeupata wapi? Au ki,a siku nyie hamlali mnakesha kama popo?
Heri umemshtukia
 
Ni mwaka sasa tangu nilipoamua kumfutia wife majukumu yote ya nyumbani na kumbakishia jukumu moja.

Ni hivi kifupi mimi na wife wote ni watumishi, sasa nimemwambia majukumu yote yanayohusu hela mimi nitahusika,

Na mengi nimeyafakinikisha bila msaada wake mfano nyumba nimeshamaliza, watoto nawalipia ada, nimemnunulia gari yake, vyakula na mpaka chupi namnunulia,

Cha msingi yeye nimemwambia akitoka kazini anaoga ananisubiri kitandani kwa ajili ya kula tunda angalau mara tatu kwa siku, lakini anaanza porojo ooooh nimechoka oooh sijui mara hiki mara kile.

Nimemwambia ajipanga la sivyo nitafikiria vinginevyo, mimi ugojwa wangu ni pale chini sinywi wala sina starehe nyingine na wala sina nyumba ndogo, nimempa week akishindwa nitabadili mawazo.
Ingwa ni vyema kuomba ushauri na kuleta dukuduku hapa MMU, siyo busara kuleta mambo ya chumbani kwako humu. Kama una tatizo na wife kaeni ndani mlitatue, imeshidikana pelekeni kwa wazee. Hapa jukwaani tunatumia avatar na majina feki ila kujulikana ni easy mno....sasa kukianika chumba chenu mitandaoni ni kuweka ufa kwenye ndoa...jieshimu bro!!!
 
Ni mwaka sasa tangu nilipoamua kumfutia wife majukumu yote ya nyumbani na kumbakishia jukumu moja.

Ni hivi kifupi mimi na wife wote ni watumishi, sasa nimemwambia majukumu yote yanayohusu hela mimi nitahusika,

Na mengi nimeyafakinikisha bila msaada wake mfano nyumba nimeshamaliza, watoto nawalipia ada, nimemnunulia gari yake, vyakula na mpaka chupi namnunulia,

Cha msingi yeye nimemwambia akitoka kazini anaoga ananisubiri kitandani kwa ajili ya kula tunda angalau mara tatu kwa siku, lakini anaanza porojo ooooh nimechoka oooh sijui mara hiki mara kile.

Nimemwambia ajipanga la sivyo nitafikiria vinginevyo, mimi ugojwa wangu ni pale chini sinywi wala sina starehe nyingine na wala sina nyumba ndogo, nimempa week akishindwa nitabadili mawazo.

Haya ni mapenzi au utumwa wa mapenzi??? Hivi huyo mkeo atakuwa anafurahia nini jamani adhabu hiyo ya kutwa Mara tatu kila siku loohhhh.... Akiwaza tuu sasa muda umekaribia na hamu ya tendo inaisha. Ndoa zina mengi sana jamani.... Lolest
 
Back
Top Bottom