Jukumu nililomkabidhi wife amelishindwa

Jukumu nililomkabidhi wife amelishindwa

Uko sahihi mkuu analeta visingizio vya uongo mtafutie msaidizi
 
Hapo juu umesema huna nyumba ndogo, hapa chini umesema nyumba ndogo ni tatizo la wewe kushindwa kumpa shemeji kazi, anyway JF story zake siyo serious, ngoja tuendelee kutoa ushauri wetu hivyo hivyo.

Nashindwa kumtafutia shemeji kazi

Dah bora bhana myafichuage aya majipu ya kwapa lol ....watu mnatuogopesha kufunga pingu za maisha kwa mastor ya kutunga kila siku...
 
Kama mkeo na yeye ni mtumishi basi unavyomfanyia sio fair sababu anachoka na kazi na anahitaji kupumzika na kiafya nayo sio nzuri sana kufanya sex kiasi hiko. Wewe unaweza ukawa unaridhika lakini unamuumiza tu mwenzio. Kaeni chini mzungumze haina haja ya kutumia nguvu kubwa kwenye haya mambo
 
kwani mkeo ana umri gani....kama anamiaka kuanzia 38 hadi 40s juwa na umri unachangia.lakini pia sio.kila mtu anapenda sana kufanya tendo la ndoa...xo lazima umuelewe mkeo...
 
Mkuu mgawanyo wako wa majukumu na ukubwa wa jukumu la mkeo sina tatizo nao kabisa kwasababu under normal circumstances najua inatekelezeka hasa kama wewe ni mwanaume wa Dar kama mimi. Ha ha ha.

Wasiwasi wangu ni practicability ya hiyo ratiba ya angalau mara 3 kwa siku kwa kuzingatia kuwa wote ni watumishi. Wewe na mkeo mnatoka kazini saa ngapi? Na umesema unataka mkeo akutangulie kufika nyumbani kwa ajili ya maandalizi!!!! Au unaposema angalau mara 3 kwa siku una maanisha nini?? Kila session inakuwa spaced vipi? Kama una maanisha angalau BAO 3 kwa siku hapo naweza kukubaliana na wewe!!! Vinginevyo mkuu nahisi kuna shida kwenye uandishi au labda hii ni chai...
bao tatu za nini mkuu wakati ni mke wangu,bao moja tu ila takatifu kwani mimi huenda hadi lisaa limoja katika tendo,anaanza yeye then me namaliza thats all.kwani sina mpango kabisa wa kutafuta nyumba ndogo
 
sasa mchana unakulaje? wakati upo kazini?
 
Duuh
Mara tatu kwa siku
Kwa wiki 3*7=21
Kwa mwezi 21*4=84
Kwa mwaka 84*12=1008
Mhhhh patakua bonde la ufa sjui sjui patakua na muonekano gani
Na hiyo mara tatu ndo kadirio la chini hahaaaaa sjui ukitaka minimum iwe tano hahahhaaaa huyo shemeji lazima atoroke
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee dunia ina mambo... nyie mnadhani huko chini hakuchoki khaaa mara 3 kwa siku mi pia kazi ingenishinda
 
Back
Top Bottom