mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
jibu hoja.
Mmarangu original ukiweza Muuliza riziwan hela kaipata wapi wakati uwakilli kauanza miaka ya juzi juzi tu ningekuona booonge la marangu org. Lakini kwa sasa nakuona mmarangu fake.
jibu hoja.
wanabodi nawasalimu sana.
leo katika viwanja vya Seela Singisi mbunge Wa Meru ndugu Joshua Nasary anafanya mkutano Wa hadhara kusemea ilani ya chama chake aliyosimamia miaka takribani mitatu.
mosi karibu wiki mbili mbunge huyu amekuwa akifanya ziara zake kwa kutumia usafiri Wa helkopta katika kata 26 za hapa meru , napata mashaka na maswali kama mwananchi Wake kwamba gharama anayotumia kuzunguka na helkopta hii wakati wanameru wengi bado wanachangamoto kubwa sana kama ukosefu Wa Maji kama kata za Maroroni, kata ya Maji ya Chai , mathalani kijiji anachotoka hivi majuzi shule ya pale ilifungwa kwa ukosefu Wa vyoo.
aghalabu mbunge huyu kakodisha helkopta hii toka nchini Kenya sasa swali la logic inakuwaje gharama ya hizi helkopta asielekeze kutoa misaada kwenye maeneo yenye changamoto kama miundombinu ya barabara n.k
kaleta ambulance bado hajazikabidhi kwa Mkurugenzi Wa haashauri ya Meru ndugu Mallya, mganga Mkuu Wa Wilaya bado hana taarifa ya hizi ambulance , wananchi wanashangaa tu zinapiga ruti kama daladala.
naomba wanaomshauri Nasary wamshauri vizuri , na sisi tunaposema hatuna chuki Bali kukumbushana majukumu.
Nawasilisha.
naona una njaa sana kijana njoo hapa kwa donii ule ulimi Wa ngo'mbe.
Mmarangu original ukiweza Muuliza riziwan hela kaipata wapi wakati uwakilli kauanza miaka ya juzi juzi tu ningekuona booonge la marangu org. Lakini kwa sasa nakuona mmarangu fake.
We ndo una njaa kichwani mpaka unaanza kuona wivu jasho la mwanaume mwenzako.Post ya kijinga kweli eti kapata wapi pesa,we pesa ya bando na kununua huo wali mbona hatukuulizi ulikopata? Uwe na akili kidogo hata za kuku tu zitakusaidia
Mbona hujauliza pesa za mahari alitoa wapi!!
riziwani anafanya biashara za kijamii.
pesa za mahari inasemekana Nasary alichotewa na wazungu Wa doli mpaka harusi yake waligharamia.
Kwa kuwa weye ni mwanamke basi unadhani na sie wanawake wenzio. Acha viroba na bangi za utotoni mpuuzi weye.unadhalilisha wanawake wenzako boya wewe,jifunze kwa waliofanikiwa sio huyo boya mwenzio mleta chuki hana zuri analolijua kwa nasari
Kwa iyo ulutaka hao wazungu wakupe wewe?
Leka wongo naniii.
Miaka 50?wote wanasiasa hovyo tu hakuna ambaye yuko kwa ajiri ya wananchi wote wachumia tumbo tu sio ccm wala chadema ,mwalimu anafanya kazi miaka 30 pension yake mln 90,wabunge mika 50 mln 230 then wanasema tunaenda bungeni kupigania maslai yenu,yako wapi hapo,,
wangetupa wananchi Wa meru kuna masuala ya miundombinu mibovu kuliko kumhonga Nasary.
Leka wongo naniii.
Haika Mbee!
cwez kuoa mwanamke kama wewe nyoko sana!Kwa kuwa weye ni mwanamke basi unadhani na sie wanawake wenzio. Acha viroba na bangi za utotoni mpuuzi weye.
Leka wongo naniii.
Weye mwanamke chokoraa umezoea kutukana wanaume.cwez kuoa mwanamke kama wewe nyoko sana!
cwez kuoa mwanamke kama wewe nyoko sana!