mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
- Thread starter
- #101
Kwani mama yako alipata wapi za kukupeleka clinic
unaudhalilisha utu Wa mama yako pia.
Kwani mama yako alipata wapi za kukupeleka clinic
wanabodi nawasalimu sana.
leo katika viwanja vya Seela Singisi mbunge Wa Meru ndugu Joshua Nasary anafanya mkutano Wa hadhara kusemea ilani ya chama chake aliyosimamia miaka takribani mitatu.
mosi karibu wiki mbili mbunge huyu amekuwa akifanya ziara zake kwa kutumia usafiri Wa helkopta katika kata 26 za hapa meru , napata mashaka na maswali kama mwananchi Wake kwamba gharama anayotumia kuzunguka na helkopta hii wakati wanameru wengi bado wanachangamoto kubwa sana kama ukosefu Wa Maji kama kata za Maroroni, kata ya Maji ya Chai , mathalani kijiji anachotoka hivi majuzi shule ya pale ilifungwa kwa ukosefu Wa vyoo.
aghalabu mbunge huyu kakodisha helkopta hii toka nchini Kenya sasa swali la logic inakuwaje gharama ya hizi helkopta asielekeze kutoa misaada kwenye maeneo yenye changamoto kama miundombinu ya barabara n.k
kaleta ambulance bado hajazikabidhi kwa Mkurugenzi Wa haashauri ya Meru ndugu Mallya, mganga Mkuu Wa Wilaya bado hana taarifa ya hizi ambulance , wananchi wanashangaa tu zinapiga ruti kama daladala.
naomba wanaomshauri Nasary wamshauri vizuri.
Akili nyingine za hovyo sana. Unakaa unawaza Nassari katowa wapi pesa? Wewe unapata wapi hela? Umeona nassari tu ndo ambaye anakuweka macho unataka ujuwe kapata wapi hela? Jinga sana.
swali je hizo pesa kazipata wapi kwa mbunge Wa juzi juzi mchanga namna hii.
unaudhalilisha utu Wa mama yako pia.
Pesa amepewa na mama yako una swali lingine?Mimi ni mwanachi Wake Nina haki ya kumhoji mbunge wangu kuhusu matumizi mabovu ya pesa zetu ambazo ni kodi zetu.
Mwenyekiti Wa Wilaya Wa Ccm kaumizwa sana na mbunge huyu kutumia helkpta wakati wananchi wanateseka hapa Meru.
Zinapiga ruti kutoka wapi kwenda wapi? Je, umeshauliza kujua ni kwanini mkurugenzi hajakabidhiwa hizo gari?wanabodi nawasalimu sana.
leo katika viwanja vya Seela Singisi mbunge Wa Meru ndugu Joshua Nasary anafanya mkutano Wa hadhara kusemea ilani ya chama chake aliyosimamia miaka takribani mitatu.
mosi karibu wiki mbili mbunge huyu amekuwa akifanya ziara zake kwa kutumia usafiri Wa helkopta katika kata 26 za hapa meru , napata mashaka na maswali kama mwananchi Wake kwamba gharama anayotumia kuzunguka na helkopta hii wakati wanameru wengi bado wanachangamoto kubwa sana kama ukosefu Wa Maji kama kata za Maroroni, kata ya Maji ya Chai , mathalani kijiji anachotoka hivi majuzi shule ya pale ilifungwa kwa ukosefu Wa vyoo.
aghalabu mbunge huyu kakodisha helkopta hii toka nchini Kenya sasa swali la logic inakuwaje gharama ya hizi helkopta asielekeze kutoa misaada kwenye maeneo yenye changamoto kama miundombinu ya barabara n.k
kaleta ambulance bado hajazikabidhi kwa Mkurugenzi Wa haashauri ya Meru ndugu Mallya, mganga Mkuu Wa Wilaya bado hana taarifa ya hizi ambulance , wananchi wanashangaa tu zinapiga ruti kama daladala.
naomba wanaomshauri Nasary wamshauri vizuri , na sisi tunaposema hatuna chuki Bali kukumbushana majukumu.
Nawasilisha.
Mwenyekiti wako anaumizwa yeye alifanya nini kipindi chote cha utawala wa chama chenu?Mimi ni mwanachi Wake Nina haki ya kumhoji mbunge wangu kuhusu matumizi mabovu ya pesa zetu ambazo ni kodi zetu.
Mwenyekiti Wa Wilaya Wa Ccm kaumizwa sana na mbunge huyu kutumia helkpta wakati wananchi wanateseka hapa Meru.
Hapo kwenye red ndo umeharibu. Hayo maccccmmm ndo yamefisadi hela kuanzia epa, richmond na juzi mmegawana za escrow halafu umekaa kimya. Kwani wakati mnagawana mabilion wananchi wa meru hawakuwa wanateseka? Unanitafutia ban.Mimi ni mwanachi Wake Nina haki ya kumhoji mbunge wangu kuhusu matumizi mabovu ya pesa zetu ambazo ni kodi zetu.
Mwenyekiti Wa Wilaya Wa Ccm kaumizwa sana na mbunge huyu kutumia helkpta wakati wananchi wanateseka hapa Meru.
Hapo kwenye red ndo umeharibu. Hayo maccccmmm ndo yamefisadi hela kuanzia epa, richmond na juzi mmegawana za escrow halafu umekaa kimya. Kwani wakati mnagawana mabilion wananchi wa meru hawakuwa wanateseka? Unanitafutia ban.
Mwenyekiti wako anaumizwa yeye alifanya nini kipindi chote cha utawala wa chama chenu?
Pesa za kukodi helkopita ametoa kwa mama yako.
Zinapiga ruti kutoka wapi kwenda wapi? Je, umeshauliza kujua ni kwanini mkurugenzi hajakabidhiwa hizo gari?
Uzi wa kijinga sijapata kuona..
Umeshajibiwa zimetoka hizo pesa ametoa kwa mama yako.mwanaume kama @mmranguoriginal kuwa tabia za umbea umbea kama hizi nakuwa na wasi wasi na jinsia yako.