KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
Nasary ana madharau ya kimeru.
Kwahiyo na wewe una madharau ya kimeru? Hahaha!
Nasary ana madharau ya kimeru.
chadema mnafurahisha kwa kweli waksti mwingn jifunzeni kuukubli ukweli hsta kama unaumaAcheni uzembe fanyeni kazi,mi sipendi mijitu inayopenda kupiga mzinga,hivi fikiria kila mtu akimpiga mzinga mbunge atabaki.na shilingi ngapi? Kusoma naye sio tatizo alikuchunia au ulimchunia? We ulichuna halafu ulitegemea ajipendekeze?
shida ni nyie michicha mwiba mnaemuonea wivu mwanaume eti katoa wapi pesa,sasa umeambiwa kapewa na mama zenu mnaanza kubisha pumbav sana nyie
mkuu mi pesa za lowasa nihoji za nini?nikijua alipozitoa itanisaidia nini hata kama kaiba?mmeshindwa kumfukuza huko ccm,mie nachofanya na jamii yangu hatuichagui magamba maana mmelaaniwa duniani na mbinguni.ila lowassa ndio mna haki ya kuhoji pesa zake
wewe ni mpuuzi wala sitaki kuheshimiwa na mtu mwenye wivu wa kike kama wewe
Kwahiyo na wewe una madharau ya kimeru? Hahaha!
wewe tabia zako zinafanana na mwanamke mjane .hahahahaha Mkuu kombajr, Nina ya madharau ya kimarangu.
swali je hizo pesa kazipata wapi kwa mbunge Wa juzi juzi mchanga namna hii.
Mleta uzi naona hujashirikisha akili yako vizuri. Tangu lini umeanza kumpangia mtu namna ya kutumis fedha zake binafsi? Mmeshindwa kuwawajibisha wezi walioiba mchana kweupe badala yake unatuletea tongotongo zako hapa!..ccm mna laana kubwa sana
hahahahaha Mkuu kombajr, Nina ya madharau ya kimarangu.
Tunakushukuru kwa taarifa Bw. Augustino Mushi (mmaranguorigino) .Kwa kifupi washiriki wa jukwaa hili wanakufahamu kwa jina na anayekutumaga kumuandama Nassari hapa. Mwambie tumemsikia kupitia wewe. Sasa nenda an wewe ukapewe Gari Kama wenzako kisikio (paul mafie) na Elipokea Urio.
Mkuu Mbunge ni mfadhili au mwakilishi wa wananchi
Unapomuita mtu anayepingana mawazo nawe CDM unamaanisha nini,wakati unajua kabisa ID yake aliyotumia sio ya CDM?chadema mnafurahisha kwa kweli waksti mwingn jifunzeni kuukubli ukweli hsta kama unauma
Mkuu kombajr, mradi ule bado tunaushughulikia kwasasa makamu Mwenyekiti Wa council ya Meru anaitwa Frida Kaaya anatokea eneo hilo.