Joshua Nassary ametoa pesa wapi ya kukodisha Helkopta?

Joshua Nassary ametoa pesa wapi ya kukodisha Helkopta?

nashukuru kumuelimisha huyu pro- chadema[/QUOT

mtatafuta pa kutokea ILA hamtapaona ole wenu nyie misukule maana mtaishia kulishwa unga anaewafuga atakua akila hata na mnofu atamrushia MBWA ujue mbwa wake Ni WA thamani kuliko nyie ndio jitambua
go goooooo j.nassary bado miezi michache uapishwe
misukule isikutishe
 
Wafumbue wana wameru tuu pamoja hii misukule isikutishe wala usirudi nyuma kwa maneno ya wahafidhina iruva akwelekyie nshili tikekutereviya
 
Mkuu Mbunge ni mfadhili au mwakilishi wa wananchi

Siku wakielewa hili, raia watajua mahali stahiki kwa kudai huduma bora.
Nchi ina wizara zenye bajeti kwa ajili ya mahitaji ya wananchi, bahati mbaya fedha hizi za bajeti kwa shughuli za maendeleo night mishahara ya wachache
 
angezuka na gar angemaliza lini alafu unataka ujue katoa wap hela ili iweje na cyo kila kitu atangaze
 
Mbona alipotoa magari yale (ambulance) hukuyaandika?Atoe ambulance,alete maji,ajenge vyoo kwa gharama zake serikali inakusanya kodi kwa ajili gani?
 
wanabodi nawasalimu sana.

leo katika viwanja vya Seela Singisi mbunge Wa Meru ndugu Joshua Nasary anafanya mkutano Wa hadhara kusemea ilani ya chama chake aliyosimamia miaka takribani mitatu.

mosi karibu wiki mbili mbunge huyu amekuwa akifanya ziara zake kwa kutumia usafiri Wa helkopta katika kata 26 za hapa meru , napata mashaka na maswali kama mwananchi Wake kwamba gharama anayotumia kuzunguka na helkopta hii wakati wanameru wengi bado wanachangamoto kubwa sana kama ukosefu Wa Maji kama kata za Maroroni, kata ya Maji ya Chai , mathalani kijiji anachotoka hivi majuzi shule ya pale ilifungwa kwa ukosefu Wa vyoo.

aghalabu mbunge huyu kakodisha helkopta hii toka nchini Kenya sasa swali la logic inakuwaje gharama ya hizi helkopta asielekeze kutoa misaada kwenye maeneo yenye changamoto kama miundombinu ya barabara n.k

kaleta ambulance bado hajazikabidhi kwa Mkurugenzi Wa haashauri ya Meru ndugu Mallya, mganga Mkuu Wa Wilaya bado hana taarifa ya hizi ambulance , wananchi wanashangaa tu zinapiga ruti kama daladala.

naomba wanaomshauri Nasary wamshauri vizuri , na sisi tunaposema hatuna chuki Bali kukumbushana majukumu.

Nawasilisha.
mmarangu na meru wapi na wapi? tupishe na wivu wako
 
kukodi chopa ni rahisi kuliko VXV8 aka kilimo kwanza

usisahau wabunge wanalipwa 230M kama kiinua mgongo... mlipanga wenyewe CCM mkidhani mko wenyewe bungeni
 
hujitambui Nasary anakula kodi zetu wameru kukodisha helkopta.

Mkuu mmaranguoriginal hivi unakumbuka swali langu la kitambo kuhusu ule mradi wa maji wa maji ya chai uliyoyeyushwa na team yako? Bado nasubiri majibu mkuu
 
Hela za waingereza zimeingia babu tayari ili mikataba ya siri wameishamalizana na chopa nyingine zitatoka ulaya wakati wauchaguzi, ilo sio la kushangaza cha kushangaza ni namna ya kulipa na vyanzo vya malipo,
 
kukodi chopa ni rahisi kuliko vxv8 aka kilimo kwanza

usisahau wabunge wanalipwa 230m kama kiinua mgongo... Mlipanga wenyewe ccm mkidhani mko wenyewe bungeni

wote wanasiasa hovyo tu hakuna ambaye yuko kwa ajiri ya wananchi wote wachumia tumbo tu sio ccm wala chadema ,mwalimu anafanya kazi miaka 30 pension yake mln 90,wabunge mika 50 mln 230 then wanasema tunaenda bungeni kupigania maslai yenu,yako wapi hapo,,
 
wote wanasiasa hovyo tu hakuna ambaye yuko kwa ajiri ya wananchi wote wachumia tumbo tu sio ccm wala chadema ,mwalimu anafanya kazi miaka 30 pension yake mln 90,wabunge mika 50 mln 230 then wanasema tunaenda bungeni kupigania maslai yenu,yako wapi hapo,,

kwahiyo???
 
Inavyoelekea CHADEMA wakiingia madarakani kila mbunge atakopeshwa Helkopta yake ya kuzungukia jimbo.
 
Back
Top Bottom