mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
- Thread starter
- #141
Weye mwanamke chokoraa umezoea kutukana wanaume.
mkuu ,huyu jamaa shida yake nini kwako.
Weye mwanamke chokoraa umezoea kutukana wanaume.
Mimi bwana nilisoma nae lkn cha ajabu nilikutana nae pale Nmg anaenda Nrb jamaa akala ganzi akajifanya hanijui kabisa watu wakawa wanamfata pale Imagration ya kny wanamgongea akawaambia "sisi wabunge wa upinzani tumekataa posho bungeni fateni wabunge wa ccm wanaochukua posho."!!.

Mimi siyo mganga njaa ndugu kidogo Mungu kanionekania but mtu kukausha haipendezi mpe Hae lkn nilikuwa napita tuuu,
Alichuna una uhakika kuwa alikuona na kukutambua?
Nina wasiwasi na mtoa mada atakuwa nae anagombea jimbo mwaka huu, sio bure.
we gombe sugu sikuwowi mamayo sana!Weye mwanamke chokoraa umezoea kutukana wanaume.
sio hivyo mkuu,ni huyu changu analete mapepo yake hapaMkuu shida nini matusi.
shida ni nyie michicha mwiba mnaemuonea wivu mwanaume eti katoa wapi pesa,sasa umeambiwa kapewa na mama zenu mnaanza kubisha pumbav sana nyiemkuu ,huyu jamaa shida yake nini kwako.
Nasary ana madharau ya kimeru.
Joshua ana madharau ya kimeru tangu awe mbunge.
Mimi siyo mganga njaa ndugu kidogo Mungu kanionekania but mtu kukausha haipendezi mpe Hae lkn nilikuwa napita tuuu,
Mkuu mpe Hae dogo janja nilipita tu,tufunge huo mjadala kama ule wa Sugu na Faiza ulivyofungwa mjengoni.
wewe ni mpuuzi wala sitaki kuheshimiwa na mtu mwenye wivu wa kike kama wewenimekudharau sana kama navyomdharau Nasary.
Mbona tunakutanaga na Ole sendeka tunapiga nae stori hana shida na wtz anaokutana nao Nrb?mtu watu bana...