Joshua Nassary ametoa pesa wapi ya kukodisha Helkopta?

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,060
Reaction score
460
wanabodi nawasalimu sana.

leo katika viwanja vya Seela Singisi mbunge Wa Meru ndugu Joshua Nasary anafanya mkutano Wa hadhara kusemea ilani ya chama chake aliyosimamia miaka takribani mitatu.

mosi karibu wiki mbili mbunge huyu amekuwa akifanya ziara zake kwa kutumia usafiri Wa helkopta katika kata 26 za hapa meru , napata mashaka na maswali kama mwananchi Wake kwamba gharama anayotumia kuzunguka na helkopta hii wakati wanameru wengi bado wanachangamoto kubwa sana kama ukosefu Wa Maji kama kata za Maroroni, kata ya Maji ya Chai , mathalani kijiji anachotoka hivi majuzi shule ya pale ilifungwa kwa ukosefu Wa vyoo.

aghalabu mbunge huyu kakodisha helkopta hii toka nchini Kenya sasa swali la logic inakuwaje gharama ya hizi helkopta asielekeze kutoa misaada kwenye maeneo yenye changamoto kama miundombinu ya barabara n.k

kaleta ambulance bado hajazikabidhi kwa Mkurugenzi Wa haashauri ya Meru ndugu Mallya, mganga Mkuu Wa Wilaya bado hana taarifa ya hizi ambulance , wananchi wanashangaa tu zinapiga ruti kama daladala.

naomba wanaomshauri Nasary wamshauri vizuri , na sisi tunaposema hatuna chuki Bali kukumbushana majukumu.

Nawasilisha.
 
kwani kukodi chopa kwa siku ni kiasi gani visa vis kipato chake...mshahara, seating allowance etc....ukikumbuka kuwa bunge la katiba tu kila mtu alikomba zaidi ya 50ml?.....anatumia kipato chake.
 
Walisema kuna hela pale Mjengoni ndo wanazimendea za wizi. kwani wamezikata??

Anatumia za mboga hizo.
 
Acha kutetea wezi, bunge la katiba ukawa wamekaa muda gani au ndo CDM si wezi ila CCM na ACT??

kwani kukodi chopa kwa siku ni kiasi gani visa vis kipato chake...mshahara, seating allowance etc....ukikumbuka kuwa bunge la katiba tu kila mtu alikomba zaidi ya 50ml?.....anatumia kipato chake.
 
Una macho kweli lkn umeshindwa kuona vya ccm ila upinzani pole umejishushia hadhi sn ww
 
wanabodi nawasalimu sana.leo katika viwanja vya Seela Singisi mbunge Wa Meru ndugu Joshua Nasary anafanya mkutano Wa hadhara kusemea ilani ya chama chake aliyosimamia miaka takribani mitatu.mosi karibu wiki mbili mbunge huyu amekuwa akifanya ziara zake kwa kutumia usafiri Wa helkopta katika kata 26 za hapa meru , napata mashaka na maswali kama mwananchi Wake kwamba gharama anayotumia kuzunguka na helkopta hii wakati wanameru wengi bado wanachangamoto kubwa sana kama ukosefu Wa Maji kama kata za Maroroni, kata ya Maji ya Chai , mathalani kijiji anachotoka hivi majuzi shule ya pale ilifungwa kwa ukosefu Wa vyoo.aghalabu mbunge huyu kakodisha helkopta hii toka nchini Kenya sasa swali la logic inakuwaje gharama ya hizi helkopta asielekeze kutoa misaada kwenye maeneo yenye changamoto kama miundombinu ya barabara n.kkaleta ambulance bado hajazikabidhi kwa Mkurugenzi Wa haashauri ya Meru ndugu Mallya, mganga Mkuu Wa Wilaya bado hana taarifa ya hizi ambulance , wananchi wanashangaa tu zinapiga ruti kama daladala.naomba wanaomshauri Nasary wamshauri vizuri , na sisi tunaposema hatuna chuki Bali kukumbushana majukumu. Nawasilisha.
We hela yako uliyotumia kununua simu yako na kununua bando umeitoa wapi? Hujui kuna watu wanakosa hata mlo mmoja,kwanini hiyo hela usingewasaidia wagonjwa wasio na ndugu,watoto wa mtaani watu wenye njaa.Huoni kuwa una matumizi mabaya ya pesa.Nadhani una washauri wabaya
 
Sina hakika kama haya mambo kweli yapo kama ulivyolalama kwenye thread yako.Ila kuna jambo moja ambalo nalihisi hapa.Ulalamishi huu sio bure,lipo jambo lililojificha nyuma yaa, sio swala la helicopter tu.Hata hivyo nakubaliana na wewe kwamba Nasari would have used the helicopter hire money better.Kutembelea jimbo na helicopter sio fasheni.
wanabodi nawasalimu sana.

leo katika viwanja vya Seela Singisi mbunge Wa Meru ndugu Joshua Nasary anafanya mkutano Wa hadhara kusemea ilani ya chama chake aliyosimamia miaka takribani mitatu.

mosi karibu wiki mbili mbunge huyu amekuwa akifanya ziara zake kwa kutumia usafiri Wa helkopta katika kata 26 za hapa meru , napata mashaka na maswali kama mwananchi Wake kwamba gharama anayotumia kuzunguka na helkopta hii wakati wanameru wengi bado wanachangamoto kubwa sana kama ukosefu Wa Maji kama kata za Maroroni, kata ya Maji ya Chai , mathalani kijiji anachotoka hivi majuzi shule ya pale ilifungwa kwa ukosefu Wa vyoo.

aghalabu mbunge huyu kakodisha helkopta hii toka nchini Kenya sasa swali la logic inakuwaje gharama ya hizi helkopta asielekeze kutoa misaada kwenye maeneo yenye changamoto kama miundombinu ya barabara n.k

kaleta ambulance bado hajazikabidhi kwa Mkurugenzi Wa haashauri ya Meru ndugu Mallya, mganga Mkuu Wa Wilaya bado hana taarifa ya hizi ambulance , wananchi wanashangaa tu zinapiga ruti kama daladala.

naomba wanaomshauri Nasary wamshauri vizuri , na sisi tunaposema hatuna chuki Bali kukumbushana majukumu.

Nawasilisha.
 
Mleta uzi naona hujashirikisha akili yako vizuri. Tangu lini umeanza kumpangia mtu namna ya kutumis fedha zake binafsi? Mmeshindwa kuwawajibisha wezi walioiba mchana kweupe badala yake unatuletea tongotongo zako hapa!..ccm mna laana kubwa sana

katoa wapi pesa Nasary .
 
We hela yako uliyotumia kununua simu yako na kununua bando umeitoa wapi? Hujui kuna watu wanakosa hata mlo mmoja,kwanini hiyo hela usingewasaidia wagonjwa wasio na ndugu,watoto wa mtaani watu wenye njaa.Huoni kuwa una matumizi mabaya ya pesa.Nadhani una washauri wabaya

hujitambui Nasary anakula kodi zetu wameru kukodisha helkopta.
 
Back
Top Bottom