Joshua Nassari MB.

Joshua Nassari MB.

Hivi kuvunja Muungano siyo uhaini? Mbona kila siku nasikia watu wengi huko Zanzibar wakitangaza kuvunja Muungano, jambo ambalo linawezekana kabisa kuliko hili la jimbo la ubunge kujitenga, lakini Wazanzibari hao hawajachukuliwa hatua?
 
Kwa mfano Lema angekuwa makini na kauli zake wala asingevuliwa Ubunge! HEKIMA, HEKIMA, HEKIMA!!
Mwanakijiji

Sidhani kipimo unachotumia kuwapimia kina Nassari na Lema kiko sahihi, ukizipima kauli za Lema na Nassari kwa kutumia kipimo cha CCM definitely hazitakuwa njema. Leo hii Slaa amefunguliwa kesi zaidi ya kumi na bado tunasikia anatafutwa na polisi sidhani kama naye hayuko makini. Ndiyo maana nasema kwa kipimo chako wapinzani karibu wote hawatakuwa na Hekima. Hadi sasa karibu wabunge wote wa upinzani (CDM) wana kesi mahakamani siyo kwamba hawana hekima.

Kauli ya Nassari ni sahihi kabisa, kama polisi na serikali nzima inapoteza muda kuhangaika na mtu mmoja 'mdogo' kama Nassari basi itakapovamiwa na Al shaabab itabidi tuombe polisi wa ziada kutoka Kenya. Nassari anakuwa victim si kwa kauli zake bali kwa upande aliko na msimamo wa chama chake.

Si serikali wala polisi inaweza kushinda iwapo itashindana na mtu mmoja mmoja, inatakiwa ijikite kurekebisha mfumo mzima wa utendaji kazi (double standard) na mambo mengine, ijiulize kwa nini mtu 'mdogo' kama huyu amtishie rais wa nchi asikanyage sehemu moja ya nchi yake, what is wrong? Lakini ikiendelea kukimbizana na kina Lema kamwe haitashinda. Tumeona na wewe umeona, walifikiri wakimvua Lema ubunge watapumzika na Arusha itatawalika, katokea Nassari, hata wakimdhibiti Nassari lazima atatokea mwingine.
 
Inchi kama inchi inagawanywa na nani? Or nini? Namuunga mkono mangi marialle aliyetaka kuwe na nchi ya kaskazini. Ukweli ingawa mchungu niambie tafadhali usinifiche! Nakiri hapa na nasema wazi wazi kwamba sisi watu wa kaskazini tunacheleweshwa kimaendeleo kutokana na kuongozwa na viongozi vilaza wanaoegemea udini bila elimu. Ukihoji wanakujibu hawawezi chagua ama kutawaliwa na mchagga! Kama mchagga hawezi chaguliwa kuwa rais wa inchi ili kuharakisha maendeleo kutokana na itikadi za ukanda ukabila na udini? Haina budi kaskazini kujigawa na kujitawala wenyewe na kuiacha hilo eneo lililobakia la kati na kusini kuendelea kuongozwa na vilaza wenye misimamo ya kidini. Nasema kama kweli tunataka inchi yetu iendelee kuwa moja basi tuwe na misimamo katika katiba kwamba rais anaweza toka popote pale katika nchi na sio kusema eti mchaga hawezi kuwa rais, kwani mchaga sio mtanzania? Katiba yasemaje kuhusu haya? Je mchaga ana kasoro gani? Piga uwa kwa misingi na misimamo hii ya chama cha magamba, haina budi kaskazini tujigaweni tuwe nchi kama sudani kusini.
 
wote wanaotetea ujinga kumtetea nasary kuona alichokisema ni sawa,ni wajinga wa fikra na wamezidi kushikiwa akili na wanasiasa ni kweli tunaitaji mabadiliko tuwe wakweli na tutende haki kwa maslahi ya nchi hii,sio kulinganisha ujinga aliofanza lusinde,hata tukimtathimin lusinde alishambulia mtu binafsi xio kutugawa
 
Mwanakijiji ameongea vema kuhusu kauli za baadhi ya viongozi wa Chadema akitolea mfano wa Lema kupoteza ubunge ni sababu ya kauli si vitendo. Hali kadhalika Slaa baadhi ya kesi ni lugha si vitendo. Kinachomsumbua leo Nasari ni lugha si vitendo. Nimeongea hili jana hapa jf lakini mdau mmoja alivyoniporomoshea matusi namsamehe kwa kuwa hajui kuwa najua hajui alitetealo.

Elimu ya usemaji ni muhimu sana katika majukwaa, si kupanda na kuropoka kikutokacho kichwani, licha ya kujiandaa namna gani uwepo jukwaani kama alivyotokea mbunge wa Tabora wakati wa Kampeni Igunga kupanda jukwaani na trigger. Profesa moja alituambia chuoni, kama huweze kuwa msetirivu katika mada yako na kushtukia unayumba kutoka nje ya mada jitahidi kuandika na uyasome uliyoyaandaa hadi utakakuwa mzoefu wa kudadafula dhamira inayokusudia bila kutoka nje ya dhamira.

Ni nadharia ya kawaida upandapo jukwaani utakuwa umejiandaa vya kutosha nini utaenda kuongea hadharani. Ni bora uandike na uanze kusoma tangu mwanzo mpaka mwishi kama unaona unashindwa kuzuia ulimi wako kuropoka kila kikutokacho kwani uliyojiandaa huwa umeshayachuja yapi yanafaa kwa watu utakaokutana nao badala ya kuongea tu kukujiacho uwapo jukwaani ndio matokeo yake mbunge anafikia hatua ya kumwekea mipaka Rais wa nchi asigusi ndani ya mipaka ya jimbo au ukanda wake, ni kitu kisichoingia akilini mwa wengi wenye upeo wa kuelewa nini dhamana ya viogozi wetu watarajiwa.

Uongozi bora haupimwi kwa usemaji mwingi jukwaani, bali busara hekima na maoni ya umoja kitaifa ndiyo kigezo cha kujenga nchi kwa amani na utulivu. Siasa inaweza kukugeukia upande mbaya mara moja kutokana na kosa moja tu hata kama umefanya mengi mazuri.

Kesi karibu zote zilizopo mahamakani ni za maneno ya uchochezi, hilo ni jambo ambalo Viongozi wa Chadema wanapaswa kuwa waangalifu sana. Viongozi wa Chadema wasidanganywe na uwingi wa watu kuona kwamba ndio kigezo cha kuongea watakavyo bila kupima nini kinatakiwa kuongelewa katika nafasi walizo nazo mikutanoni na kuonyesha umahiri wao wa kisiasa. Mvuto wa kisiasa ni uwezo wa kujenga hoja nzuri na kuzitetea na wala si kutukana au kusema kauli za kuashiria uchochezi.
 
Alichokisema huyu na wanachokisema UAMKO kule Zanzibar kuna tofauti?

kwa kuna ubaya gani tukawa na majimbo?
 
My brother, you are going on the wrong way, think twice what you saying. Chunga kauli yangu hiyo.
 
wote wanaotetea ujinga kumtetea nasary kuona alichokisema ni sawa,ni wajinga wa fikra na wamezidi kushikiwa akili na wanasiasa ni kweli tunaitaji mabadiliko tuwe wakweli na tutende haki kwa maslahi ya nchi hii,sio kulinganisha ujinga aliofanza lusinde,hata tukimtathimin lusinde alishambulia mtu binafsi xio kutugawa

Ndugu yangu, mimi siwezi kusema lolote kuhusu uwezo au ujinga wako kiakili hasa kwa vile umehitimisha kuwa watu wasiokubaliana nawe kuhusu jambo hili ni wajinga; hata hivyo ninaona wazi kuwa swala hili unaliangalia kwa kiwango cha mtu mwenye akili finyu sana, na nadhani ndiyo maana unaona kuwa polisi kumtisha Nasari ni sawa kabisa badala ya kutafakari kwa kina uhalali wa kufanya hivyo na standard inayotumiwa na polisi. Kwa bahati mbaya inaonekana watu wa akili ya aina yako ni wengi sana miongoni mwetu, na ndiyo maana polisi watakuwa wanatuonea kila siku. Fahamu kuwa, hata kama maneno aliyosema Nassari wakati wa kampeini hayakuwa mazuri, bado haya-warrant hatua aliyochukuliwa na polisi leo. Kuna sababu kadhaa kuonyesha kwa nini polisi hawakumtendea haki Nassari leo hata kama kweli alisema maneno yale. Kama wanadhani maneno hayo yalivuruga uchaguzi, kuna njia za kufanya bila kumtisha. Bila kuwa na proof kuwa maneno hayo yaliathiri matokeo ya Uchaguzi, hawana sababu ya kudai uchochezi kwa vile walishachelewa kumshika na imeshonekana kuwa hakuchochea fujo zozote; na kama wanadai ni uhaini, watakuwa pia wameshachelewa sana kumkamata kwani sasa hivi hakuna ushaidi wowote wa kama kweli Nassari alikuwa anataka kufanya uhaini. Iwapo wangemkamata on the spot wangekuwa na kisingizio kuwa walikuwa wanazuia asifanye uchochezi kwani wajibu wa kwanza wa polisi ni kuzuia uvunjaji wa sheria, siyo kuvizia watu wavunje sheria ili wakamatwe. Na hata hivyo, kabla ya kumkamata walitakiwa kwanza wampe onyo kuwa maneno yake yalikuwa yanatishia amani na kumtaka aachane naye, iwapo asingesikiliza ndipo wangemkamata.
 
Mbunge Nassari asingezungumza kauli hizo ambazo Polisi wamepata hoja ya kujisalimisha, polisi wasingefanya kitu. Hivyo ni dhahiri licha ya utetezi huo dhaifu kuna tatizo la kupima kauli ya kuongea mbele ya umati wa watu na kabisa masuala ya kitaifa.

Wamelalamikia kutengeliwa Ubunge Lema, lakini ukweli mahakama imeridhia ushahidi uliopo kadiri ya sheria za uchaguzi Lema alikiuka kauli na ndiyo iliyomvua ubunge. Alichoonewa Lema ni kutoruhusiwa kugombea ubunge kwa vile kosa lake linaruhusu kurudi uringoni.

Kwa vyo vyote hapa lugha mbaya haikubaliki, na kabisa lugha inayoonyesha kujenga ukanda badala ya kujenga utaifa.
 
Inchi kama inchi inagawanywa na nani? Or nini? Namuunga mkono mangi marialle aliyetaka kuwe na nchi ya kaskazini. Ukweli ingawa mchungu niambie tafadhali usinifiche! Nakiri hapa na nasema wazi wazi kwamba sisi watu wa kaskazini tunacheleweshwa kimaendeleo kutokana na kuongozwa na viongozi vilaza wanaoegemea udini bila elimu. Ukihoji wanakujibu hawawezi chagua ama kutawaliwa na mchagga! Kama mchagga hawezi chaguliwa kuwa rais wa inchi ili kuharakisha maendeleo kutokana na itikadi za ukanda ukabila na udini? Haina budi kaskazini kujigawa na kujitawala wenyewe na kuiacha hilo eneo lililobakia la kati na kusini kuendelea kuongozwa na vilaza wenye misimamo ya kidini. Nasema kama kweli tunataka inchi yetu iendelee kuwa moja basi tuwe na misimamo katika katiba kwamba rais anaweza toka popote pale katika nchi na sio kusema eti mchaga hawezi kuwa rais, kwani mchaga sio mtanzania? Katiba yasemaje kuhusu haya? Je mchaga ana kasoro gani? Piga uwa kwa misingi na misimamo hii ya chama cha magamba, haina budi kaskazini tujigaweni tuwe nchi kama sudani kusini.

Like like,

That's real hate.
Kama wanataka kuona huko kutengana kunapo watetemesha matumbo kulivyo, wakawatangazie nia ya nasari Kama nia ya wakaskazini na Christians. Utatumika mtindo mmoja naupenda sana.
Tai-chi! Use opponents power!
Watafanikisha jambo Hilo kwa Nguvu zao wenyewe.
Ona sahihi yangu hapa chini.

Nb. Fanya paragraphing kwenye post yako. (like x nyingi)
 
wote wanaotetea ujinga kumtetea nasary kuona alichokisema ni sawa,ni wajinga wa fikra na wamezidi kushikiwa akili na wanasiasa ni kweli tunaitaji mabadiliko tuwe wakweli na tutende haki kwa maslahi ya nchi hii,sio kulinganisha ujinga aliofanza lusinde,hata tukimtathimin lusinde alishambulia mtu binafsi xio kutugawa

Wewe uliona ni haki?kwani huyo aliyeshambuliwa hana ushawishi kwa wananchi? Acha umagamba wako.
 
Kuna watu humu ni vinara wa ushabiki hadi unawafanya kuwa vipofu wa kuuona Ukweli. Kama wewe unadhani hoja ya Mzee Mwanakijiji si kwa maslahi ya nchi hii basi jijue kwamba uwezo wako wa kufikiri uko chini sana. Hebu fikiria kidogo, CHADEMA imeshika nchi kwa kupata kura nyingi sana mikoa ya Pwani, kusini, nyanda za Juu kusini, Arusha na Kilimanjaro kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.

Itokee Mikoa ya Kanda ya ziwa imeshikiliwa na CCM na mmoja wa wabunge wa CCM anasema "nitaigawa mikoa hii na tuwe na Rais wetu na serikali yetu". Unatarajia Rais aliyeko madarakani wa CHADEMA atafanya nini? Acheni ushabiki usio na tija.

Maslahi ya nchi ni yapi maana imekuwa wimbo unaikinahisha, maslahi ya nchi, maslahi ya nchi, yapi hayo? Kigarama wala usiwe na shaka kwamba chama kingine kitafanya nini. Kiulize kilichopo kinachotawala hivi sasa kinafanya nini (kwa maslahi ya taifa kama unavyodai?) Sasa hivi wala si kesho Wazenji wameanzisha kwa nguvu kubwa, bidii na mikakati (ya vitendo) kujitenga. Hebu ieleze JF kipi kimefanywa na walio madarakani? Wanakimbilia meneno matupu (ulimi hauna mfupa). Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.
Ingekuwa kila kitu kinatekelezeka kwa ngonjera (maneno) tu mbona tungekuwa mbali. Kumbuka kauli zilizowahi na zinazotolewa na watawala wetu (maana hatuna uongozi bora ila utawala bora). Ingekuwa yakisemwa kitu kimefanyika au kitafanyika kama unavyotaka tuamini, nakwambia tungekuwa mbali.
Hivi Waswahili walisema chenye mwanzo kina mwisho (hapa duniani)? Ikiwa ndivyo basi mie najua Tanzania ilikuwa na mwanzo na nina hakika siku moja itakuwa na mwisho. Lakini ule mwisho hauletwi na maneno kama ambvyo mwanzo haukuletwa nayo. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno. Maneno matupu hayavunji mfupa!
Hivi si hawahawa ambao walisema kelele za chura hazimnyimi usingizi mwenye nyumba? Au vyura sasa wameingia vyumbani nini wanakosa usingizi?
 
Mimi nafikiri polisi wangekikamata kikundi cha Zanzibar cha UAMSHO kinachohubiri ubaguzi ingeonekana inafanya kazi kuliko kuhangaika na mtu mmoja. Sasa inaonekana inafanya kazi kisiasa zaidi ya wajibu wao.
 
Mwanakijiji ameongea vema kuhusu kauli za baadhi ya viongozi wa Chadema akitolea mfano wa Lema kupoteza ubunge ni sababu ya kauli si vitendo. Hali kadhalika Slaa baadhi ya kesi ni lugha si vitendo. Kinachomsumbua leo Nasari ni lugha si vitendo. Nimeongea hili jana hapa jf lakini mdau mmoja alivyoniporomoshea matusi namsamehe kwa kuwa hajui kuwa najua hajui alitetealo.

Elimu ya usemaji ni muhimu sana katika majukwaa, si kupanda na kuropoka kikutokacho kichwani, licha ya kujiandaa namna gani uwepo jukwaani kama alivyotokea mbunge wa Tabora wakati wa Kampeni Igunga kupanda jukwaani na trigger. Profesa moja alituambia chuoni, kama huweze kuwa msetirivu katika mada yako na kushtukia unayumba kutoka nje ya mada jitahidi kuandika na uyasome uliyoyaandaa hadi utakakuwa mzoefu wa kudadafula dhamira inayokusudia bila kutoka nje ya dhamira.

Ni nadharia ya kawaida upandapo jukwaani utakuwa umejiandaa vya kutosha nini utaenda kuongea hadharani. Ni bora uandike na uanze kusoma tangu mwanzo mpaka mwishi kama unaona unashindwa kuzuia ulimi wako kuropoka kila kikutokacho kwani uliyojiandaa huwa umeshayachuja yapi yanafaa kwa watu utakaokutana nao badala ya kuongea tu kukujiacho uwapo jukwaani ndio matokeo yake mbunge anafikia hatua ya kumwekea mipaka Rais wa nchi asigusi ndani ya mipaka ya jimbo au ukanda wake, ni kitu kisichoingia akilini mwa wengi wenye upeo wa kuelewa nini dhamana ya viogozi wetu watarajiwa.

Uongozi bora haupimwi kwa usemaji mwingi jukwaani, bali busara hekima na maoni ya umoja kitaifa ndiyo kigezo cha kujenga nchi kwa amani na utulivu. Siasa inaweza kukugeukia upande mbaya mara moja kutokana na kosa moja tu hata kama umefanya mengi mazuri.

Kesi karibu zote zilizopo mahamakani ni za maneno ya uchochezi, hilo ni jambo ambalo Viongozi wa Chadema wanapaswa kuwa waangalifu sana. Viongozi wa Chadema wasidanganywe na uwingi wa watu kuona kwamba ndio kigezo cha kuongea watakavyo bila kupima nini kinatakiwa kuongelewa katika nafasi walizo nazo mikutanoni na kuonyesha umahiri wao wa kisiasa. Mvuto wa kisiasa ni uwezo wa kujenga hoja nzuri na kuzitetea na wala si kutukana au kusema kauli za kuashiria uchochezi.

Dear candid,

Heshima mbele sana!

Umeshughulika na sehemu ndogo sana, iliyobaki ndio umeiona Ngumu mmno, lakini indigo tumaini la kweli!
Palipo na msingi Wa kweli umepaogopa- hofu! Usidhani Dogo hajui anochosema.
Sio Ni hawa hawa hawa manyang'au tuliwaamini, tukawakabidhi nchi, wakairarua Kama mafisi?
Kama vile hakuna Tena mwendelezo Wa hata vizazi vyao?
Isitoshe tulipowaambia kuwa tumestuka, wakakimbilia nyuma ya misikiti wakijidai waislam kuomba utetezi. Eti wakanda na wakristu wamekuja kwenye vita na wao.
Maneno ya Dogo nayachukulia very positive, na Kama hili likijaribu kutokea basi hiyo kazi itakuwa kubwa na itafanywa na wao. Nielewe sawa sawa.
Tunaunganisha Africa, baadae dunia hapo Ndoto ya mfalme Daniel itimie.

Vita Ni vita- haina macho!
 
Vinginevyo waende kuisafisha Chadema Kule walipo ichafua, kwa wananchi wawaambie kuwa Chadema Ni ukombozi Wa kwao. Wala sio cha kidini/ wala kanisa/ wala ukanda.
Nasari akapigishwe viboko hadharani Uwanja Wa taifa. (nawaza kwa sauti)
 
Amesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
MMM

I think you felt into the same trap....

You missed his poetry, and you missed the whole context of his words!!!

To me Nassari has taken the Tanzania politics to its level; not a serious game.... If

  • January Makamba thinks Zitto was a public stunt
  • If Lusinde would talk of Lema being fcuked by other men
  • If We could eat nyasi's for the dysfunctional bird
  • If wapinzani ni takataka, tuwakanyage-kanyage
  • If Prezidaa is taking a serious issues kama UPEPOZ
  • If Jairo could call bunge ZE-KOMEDI
  • If MKulo could cause losses that would lead to deaths and he says he is not accountable to bunge
  • If Mponda na Nkya would just ignore Dr. and lead to deaths and suffering
  • If we would have a QS being a president's special advisor to social matters
  • If we would have a minister for health with a very funny CV
  • If we have ministers with "counterfeit degrees"
  • If Zanzibar in public want to defect and we turn blind eyes/ears
  • If leaders turn blind and deaf on calls for support....
  • If we have a DG who approves bad/counterfeits tires using fake/briefcase/counterfeit company and still travel through business class even after being confirmed he is a scam
If all these happen, and yet the country is still intact!!!! who is NAssary to make a simple stupid call and lead to kuvunja taifa?

I THINK HE PLAYED RIGHT TANZANIA POLITICS ALTHOUGH IT IS HEADING TO A WRONG DIRECTION .... WE NEED TO HELP HIM RECOVER HIS WAY RATHER THAN ALWAYS BEING CHE GUEVARA'S OF MODERN LIFE

MMM... YOU ARE ONE OF PEOPLE WHO HAVE MADE A LOT OF SILLY COMMENTS REGARDING TANZANIA POLITICS FOR YEARS....
WE NEED TO HELP TO TURN THINGS RIGHT AND THERE ARE MANY AVENUES....
 
Tusiwe na mapenzi kwa chama kiasi kwamba tunatafuta udhuru wa tabia mbovu. Kuna mambo ambayo sasa CDM inapaswa ikemewe na wale wanaoipenda pasi ya kusita. Mambo mengine yakiachwa yaendelee yana matokeo mabovu huko mbeleni.

maybe our politics ni public stunt
 
polisi wa tanzania ni aibu kufuatilia mambo jambo kama hili mbona kuna mambaya mengi sana hatuoni mkiyavalia njunga kiasi kama hiki. nilitamani nisikie EL, Rostam, Rizi1 etc wawe mmesha wakamata na kuwa hoji maana hawa ndio maadui wa nchi yetu na wala sio huyu Nassari hana hatia kabisa
 
Udogo anaouzungumzia Nassary ni wa kimadaraka na sio wa kuzaliwa, yeye hawezi kumzuia Rais eneo lolote la Tz kutembelea! Hao polisi wanapokea maagizo wafanye nini, hawana weledi wowote. Bado kitambo kidogo watapata uhuru wa kufanya kazi kwa misingi ya sheria, katiba na kanuni za kipolisi.
 
Acha kujikomba kwa Mzee Mwanakiji amechemka sana. Sidhani kama ni yeye ama kaibiwa password.
Siungi na sikubaliani na kauli ya Dogo Janja, lakini pia sikubaliani na pumba alizoongea MMK. Suala la msingi ni kwamba ile kauli haikuwa kauli ya chama, ndiyo maana ilikanushwa pale pale uwanjani na Mbowe, na hili Mzee Mwanakijiji alijua mapema siku hiyo. Jambo alilotakiwa kulijadili Mzee Mwanakijiji kama nguli humu Jf ilitakiwa iwe ni nini kilisababisha Dogo Janja afikie hatua ya kutamka yale manen, nini kiliwaudhi au kilimuudhi. Hii ndiyo ilitakiwa iwe pakuanzia.
Tusiwe kama wapumbavu wanaopiga vita uvutaji wa sigara wakati huo huo wanasimamia uzalishaji wa sigara.
Hii kauli ya Kaskazini kujitenga mnaona kama kauli mbaya ya kibaguzi kuliko kauli ya uvccm mkoa wa pwani ambayo hadi leo hakuna kiongozi wa ccm aliyethubutu kanusha kwa kumwogopa Riz1! Shame on you guys!
Ni afadhali ya CHADEMA waliothubutu kukanusha kauli ya Dogo Janja pale pale.
Kuna watu humu ni vinara wa ushabiki hadi unawafanya kuwa vipofu wa kuuona Ukweli. Kama wewe unadhani hoja ya Mzee Mwanakijiji si kwa maslahi ya nchi hii basi jijue kwamba uwezo wako wa kufikiri uko chini sana. Hebu fikiria kidogo, CHADEMA imeshika nchi kwa kupata kura nyingi sana mikoa ya Pwani, kusini, nyanda za Juu kusini, Arusha na Kilimanjaro kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.

Itokee Mikoa ya Kanda ya ziwa imeshikiliwa na CCM na mmoja wa wabunge wa CCM anasema "nitaigawa mikoa hii na tuwe na Rais wetu na serikali yetu". Unatarajia Rais aliyeko madarakani wa CHADEMA atafanya nini? Acheni ushabiki usio na tija.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom